- Thread starter
- #61
Ni swali kwangu au kwa huyo ulomquote awali?It is
Ni swali kwangu au kwa huyo ulomquote awali?It is
Ni swali kwangu au kwa huyo ulomquote awali?
Kinakera, kinalimit nguo, kinafanya shape iwe kama mfuko wa ungaHongera sana mama, hiyo ni bahati.
Kwakweli kitambi kinakera.
Kwanini mkuu?1st sipendi mdada wa jf aniite mkuu
Kwanini mkuu?
😀😀😀Tuheshimiane basi
😀😀😀
Bora hata we Mwanaume kuitwa mkuu sio mbaya
Mi nachukiaga sana kuitwa mkuu, agrrr tena mwanamke kabisa yani ananiita mkuu silipendi hili jina
I see!!Sijui kwanini watu huwa tunakimbilia kusambaza mabaya ya ndoa tu wakati yapo mengi mazuri pia. Just emagine hata maisha na wazazi wako yana changamoto, sembuse watu mlokutana ukubwani!! Ndoa ni tamu kama mliooana mnatambua thamani ya kitu mlichokiingia. Nothing comes easly inahitajika wote mjitoe kutengeneza ndoa muitakayo. Aina ya ndoa mtakayoishi inategemeana na foundation mliyoijenga, hata wanangu nawalea ktk misingi imara ili hata wakikutana na dunia iliyovurugika still wakumbuke kuwa bado kuna mazuri mengi humohumo ni wao kuchagua njia iliyo sahihi tu.
Kinakera, kinalimit nguo, kinafanya shape iwe kama mfuko wa unga
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85]Kinakera, kinalimit nguo, kinafanya shape iwe kama mfuko wa unga
Hahahaaa!
Huo umeshakuwa ugonjwa humu jf haswa wanaume unadhani bila kumponda mwanamke kusingekuwa na thread humuKaribu sana bi dada. Nafurahi kusoma uzi kama hizi za kuonyesha watu waliomo kwenye ndoa na wanaishi kwa maelewano hata kwenye afya zao wanashirikiana kwa faida zao binafsi na familia husika. Ni nadra sana kukuta habari kama hizi hapa JF, ni kuponda tu mahusiano na ndoa wanaume hivi wanaume vile, wanawake hivi wanawake vile lakini kuna Watanzania chungu nzima wanafurahia mahusiano yao ndoa zao pamoja na majaribuni chungu nzima yaliyokuwepo.
Nimeona ila kama hizi ni za kuhesabu aiseeHahahahahah lol! umeona eeh!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Hongera sana. Huu uzi uliojaa mazuri kuhusu ndoa wengi huukimbia hutawaona humu lakini ungekuwa umekuja kuandika mabaya kuhusu ndoa saa hizi ungekuwa umeshafika page 30.
Nimeona ila kama hizi ni za kuhesabu aisee
Huu ushirikiano inabidi umuambukize msukuma.[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Nimependa ushirikiano kati yako na mumeo... Safi sana