Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Mleta mada unayosema to an extent yana ukweli ila naona kama ulijiingiza mapenzini na shoga wa Dar au Pwani ukajikuta alikupotezea muda na kuvunja matumaini yako. Japo Pwani kuna mashoga wengi ila hapa naona ni hasira tu ya kusalitiwa na mwanamme mmoja ndiyo imekuharibu. Pole sana dadangu.
 
Nimefanya utafiti sana nimekuja kujua kuwa wanaume wa TZ hawafai kuoa .

1. Mashoga
Asilimia fulani ya wanaume wamekuwa wakijihusisha na mapenzi ya jinsia moja na wanaonyesha wanapendelea hivyo na unaweza olewa na mwanaume mwenye sifa unazotaka kumbe wewe umeolewa na mwanamke mwenzako au umeolewa na konki master anayeingilia wenzie.

2. Hawafiki mwisho wa mechi
Asilimia kubwa ya wanaume wa Tz hawafiki mwisho wa safari, wao ni mbili tena kwa shida sana. Na pia hawajui mapenzi kwa sababu wamekuwa wavivu.

So kama umeolewa nao basi sio shida. Hata matangazo mengi ni jinsi ya kupata nguvu za kiume sababu hawana.

3. Ni walevi
Asilimia kubwa kwa misongo ya mawazo wamekuwa walevi wavivu na wanachukia sana kama wakiulizwa wametoka wapi. Wengine kwa pombe wanapiga wake zao na kuwadhuru hata watoto.

4. Wanachepuka sana
Wao ni wachepukaji wakienda kutest kwanini hawafiki mwisho wa safari ila hawajui ndio imekuwa hali halisi.

5. Wanapenda kuwatumia “tigo”
Wanaume wa Tz wanapenda sana kutumia hii service na kwahiyo ukiolewa jua lazima utoe hiyo service na ina madhara makubwa.

6. Matapeli
Baadhi yao ni matapeli wanakuoa ili apate kitu sio mapenzi ya kweli.

7. Wanapenda ofa sana
Wanaume wa Tz wanapenda ofa sana kuitana baba, mkuu ili wapewe vya bure na mwisho wanaibiwa hadi wake au wachumba.

8. Ni marioo
Waume wengi wanapenda kupewa matunzo na wanawake zao. So kabisa jamani wadada acheni utani oleweni na watu wa nchi zingine kwasababu huku wanaume ni shida.

Hawatulii bado hawafiki mwisho wa safari wengine mashoga dah mwaka huu ni kazi inahitaji maombi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake jamani mbona hamueleweki si mna taka usawa? waume zenu wakiolewa oooh! anatoa tigo mie sitamtaki, si na wewe unayo toa tu yaishe,! wakiwategemea kiuchumi oooh! mwanaume ka binti. mara suruali. utamnyanyasa weeee mpaka basi..... haya basi acha kazi uwe mama wa nyumbani ooh unanionea mfumo dume huo .DOMESTIC VIOLENCE and NAME CALLING mnayo sana ila hamjitambui. lililobaki sasa mkaolewe na majini ndo kiboko yenu baaasi
 
Wanawake jamani mbona hamueleweki si mna taka usawa? waume zenu wakiolewa oooh! anatoa tigo mie sitamtaki, si na wewe unayo toa tu yaishe,! wakiwategemea kiuchumi oooh! mwanaume ka binti. mara suruali. utamnyanyasa weeee mpaka basi..... haya basi acha kazi uwe mama wa nyumbani ooh unanionea mfumo dume huo .DOMESTIC VIOLENCE and NAME CALLING mnayo sana ila hamjitambui. lililobaki sasa mkaolewe na majini ndo kiboko yenu baaasi
Woi woi kwa hiyo ushoga unakubaliana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ulivokurupuka kuandika utadhani marehemu amekurupuka kutoka kwenye jeneza lake na kutimua mbio
 
Angekuwepo hai angekuwashia moto mpaka ukimbie na kidudu chako kama njiti ya kiberiti nyoo sura hiyo niyako au umepaka poda na wanja uvaa bikini au dira unaenda kupiga umbeya kwa kina halima huyooo jianaume linainamishwa kama nini

Sent using Jamii Forums mobile app
we si ndio nasikia una tutako tugumu tunamanyoya mengi halafu una makengeza ukiangalia kusini utadhani unaangalia magharibi
 
NAKUBALIANA NAWE KUWA HAYO MAMBO NI MABAYA NA WANAUME WENYE TABIA HIZO WAOMBE TOBA WABADILIKE WAMRUDIE MUNGU. LAKINI SIKUBALIANI NAWE KUWA WANAUME WOOOTE WA TANZANIA WAKO HIVYO, HAPO UMEKOSEA SANA. UJUE WAPO WATUMISHI WA MUNGU NA WENGINE WA SERIKALI TENA WA NGAZI ZA JUU NA NI WANAUME? JIFUNZE NAMNA YA KUJIELEZA VIZURI. KWA MAELEZO HAYA MWANAUME YEYOTE MTANZANIA AKIAMUA KUKUSHITAKI UTAMLIPA HELA NYINGI SANA. USIRUDIE TENA KUJUISHA WATU WOTE (GERALIZATION) UNAPOTOA KERO YAKO.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaita falase idea. Maana mtu anamwaga maneno hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom