Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Shenzi kabisa ndio maana unatabakia maskini na hivyo vidharau vyako na mtalipeana nyie kwa nyie tu ngoja endeleeni naujuaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeelewa nilichokuuliza au ni ugonjwa wako umeamka?

Au babaako, kaka zako, wajomba zako na mababu zako sio miongoni mwa wanaume wa Tanzania?

Unahitaji tiba ya akili wewe mama!
 
Yuko period au ana msongo wa mawazo?

Wanawake wakiingia kwenye siku zao huwa hawaharibiki akili kama huyu mama!
Hata wenye mimba hawawagi hivi. Tatizo la huyu mama anayependa kuonekana msichana ni stress

Huyu ni mama aliyezalishwa watoto kadhaa na wanaume tofautitofauti na wakamuacha ndio maana kapata msongo wa mawazo
Mtoto wa watu ametoa sumu zake lakini, kama kweli nampa pole sana! Single parent multiple babie ni tiketi ya kumfanya kuwa hopeless kabisa!
 
Katoto kazuri kuna scientific research nataka nifanye nafikiri mwakani . Nitakutafuta nikushirikishe lakini usiwe biased kabisa kama utapenda lakini
 
Ila wanaume wa humu mungu anawaona zikiletwa mada za kutuponda huwa mnatuponda kweli tena mnaandika wanawake wote sio baadhi Leo zamu yenu mapovu kama yote, sema katoto kazuri siku nyingine punguza ukali wa maandishi humu Kuna baba zako, kaka zako pia.
 
Munatapeliwa na wakongo ,wakameruni na wanaijeria kila siku,na wamewafanya kuwa single mothers,mbona hampati kitu.
 
Mnaangaika na kidemu chenyewe kila ugoro cha Arusha...! Stimu zake za nyege mpaka zitibiliwe na ugoro kisengerema tu hichi ukizingatia utakuta kina umbo km nyoka hakuna boundary kati ya matako na mgongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli, katakua kamekosa wa kukatia sasa kamepanic,kwa taarifa yake sisi hatutii vibudu
 
Kupinga Ushoga ni kuuPromote Katoto kazuri kama ulikuwa hujui. Jinsi unavyokataza jambo fulani ndivyo unavyolifanya lisambae na lifanyike.
Nitatafuta njia ya kumuona makonda au President japo aweke sheria fulani kama wewe nishoga msako fanyike kote nchini watupwe nje ya nchi na passport zao zichomwe kitambulisho cha taifa pia Na chakura vichomwe wabaki nadamu tu ya watanzani fools

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni kweli, katakua kamekosa wa kukatia sasa kamepanic,kwa taarifa yake sisi hatutii vibudu
Unamdomo kama uko hai umekufaga tokea uishi same unashida sana ukakopi hadi ufupi ona huko dar vibwengo haviitajiki kijana.
Utaishilia kapuku forever na ukiona unawasema wasichana sana wewe nishoga unadhani nitakuibia watu wako hapana mwaya sinaga tamaa na watu wahumu tulia utaendelea kufumuliwa tu mwaya pole lakini kwakunizania kuwa nitakuibia .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanaume wapo ila tatizo ni kwamba hamjajua kufanya analysis ya mwanaume anayekufaa na asiekufaa
Nimefanya utafiti sana nimekuja kujua kuwa wanaume wa TZ hawafai kuoa .

1. Mashoga
Asilimia fulani ya wanaume wamekuwa wakijihusisha na mapenzi ya jinsia moja na wanaonyesha wanapendelea hivyo na unaweza olewa na mwanaume mwenye sifa unazotaka kumbe wewe umeolewa na mwanamke mwenzako au umeolewa na konki master anayeingilia wenzie.

2. Hawafiki mwisho wa mechi
Asilimia kubwa ya wanaume wa Tz hawafiki mwisho wa safari, wao ni mbili tena kwa shida sana. Na pia hawajui mapenzi kwa sababu wamekuwa wavivu.

So kama umeolewa nao basi sio shida. Hata matangazo mengi ni jinsi ya kupata nguvu za kiume sababu hawana.

3. Ni walevi
Asilimia kubwa kwa misongo ya mawazo wamekuwa walevi wavivu na wanachukia sana kama wakiulizwa wametoka wapi. Wengine kwa pombe wanapiga wake zao na kuwadhuru hata watoto.

4. Wanachepuka sana
Wao ni wachepukaji wakienda kutest kwanini hawafiki mwisho wa safari ila hawajui ndio imekuwa hali halisi.

5. Wanapenda kuwatumia “tigo”
Wanaume wa Tz wanapenda sana kutumia hii service na kwahiyo ukiolewa jua lazima utoe hiyo service na ina madhara makubwa.

6. Matapeli
Baadhi yao ni matapeli wanakuoa ili apate kitu sio mapenzi ya kweli.

7. Wanapenda ofa sana
Wanaume wa Tz wanapenda ofa sana kuitana baba, mkuu ili wapewe vya bure na mwisho wanaibiwa hadi wake au wachumba.

8. Ni marioo
Waume wengi wanapenda kupewa matunzo na wanawake zao. So kabisa jamani wadada acheni utani oleweni na watu wa nchi zingine kwasababu huku wanaume ni shida.

Hawatulii bado hawafiki mwisho wa safari wengine mashoga dah mwaka huu ni kazi inahitaji maombi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent usingJamii Forums mobile app
 
Unamdomo kama uko hai umekufaga tokea uishi same unashida sana ukakopi hadi ufupi ona huko dar vibwengo haviitajiki kijana.
Utaishilia kapuku forever na ukiona unawasema wasichana sana wewe nishoga unadhani nitakuibia watu wako hapana mwaya sinaga tamaa na watu wahumu tulia utaendelea kufumuliwa tu mwaya pole lakini kwakunizania kuwa nitakuibia .
Sent using Jamii Forums mobile app
we malaya tu,umeliwa tigo huko unakuja kutusema et hamna wanaume, au utakua unanuka k vijana wamekukacha sasa umepagawa, naskia wewe ni manzi ya arusha,ugoro,bang na konyag kwa sana
 
Back
Top Bottom