Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Nimefanya utafiti sana nimekuja kujua kuwa wanaume wa TZ hawafai kuoa .

1. Mashoga
Asilimia fulani ya wanaume wamekuwa wakijihusisha na mapenzi ya jinsia moja na wanaonyesha wanapendelea hivyo na unaweza olewa na mwanaume mwenye sifa unazotaka kumbe wewe umeolewa na mwanamke mwenzako au umeolewa na konki master anayeingilia wenzie.

2. Hawafiki mwisho wa mechi
Asilimia kubwa ya wanaume wa Tz hawafiki mwisho wa safari, wao ni mbili tena kwa shida sana. Na pia hawajui mapenzi kwa sababu wamekuwa wavivu.

So kama umeolewa nao basi sio shida. Hata matangazo mengi ni jinsi ya kupata nguvu za kiume sababu hawana.

3. Ni walevi
Asilimia kubwa kwa misongo ya mawazo wamekuwa walevi wavivu na wanachukia sana kama wakiulizwa wametoka wapi. Wengine kwa pombe wanapiga wake zao na kuwadhuru hata watoto.

4. Wanachepuka sana
Wao ni wachepukaji wakienda kutest kwanini hawafiki mwisho wa safari ila hawajui ndio imekuwa hali halisi.

5. Wanapenda kuwatumia “tigo”
Wanaume wa Tz wanapenda sana kutumia hii service na kwahiyo ukiolewa jua lazima utoe hiyo service na ina madhara makubwa.

6. Matapeli
Baadhi yao ni matapeli wanakuoa ili apate kitu sio mapenzi ya kweli.

7. Wanapenda ofa sana
Wanaume wa Tz wanapenda ofa sana kuitana baba, mkuu ili wapewe vya bure na mwisho wanaibiwa hadi wake au wachumba.

8. Ni marioo
Waume wengi wanapenda kupewa matunzo na wanawake zao. So kabisa jamani wadada acheni utani oleweni na watu wa nchi zingine kwasababu huku wanaume ni shida.

Hawatulii bado hawafiki mwisho wa safari wengine mashoga dah mwaka huu ni kazi inahitaji maombi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hasa nyie wadada mnataka nini, ttukiwahurumia kuwasugua mnatusema wazembe,kama uongo sasa mbona huwa mnalia?hamko wazi sana kitukama tamu sema tamu siyo unililie me
 
UMETUKOSEA SANA MKUU.... NAKUHESHIMUGI SANA ILA huu uzi umefanya nikuone hovyoo kabisa utasemaje wanaume wote tz mashoga?? kwa nini usingetumia neno baadhi? ukisema wote uoni Kama umemtukanaa na baba yako.. sawa unataka kulipiza kisasi sijakataa lakin kauli uliotumia sio nzuri
Sijasema wote mimi nimesema wanaume wa tz nikashusha sifa sijasema kuwa niwote nakama umekasirika basi tu nitafanyaje??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba yangu mimi alikuwa mtu wazamani na alikuwa hana shida ndio maana nikazaliwa sasa nyie mmendekeza upuuzi ndio maana mnafumulia kama nini yaani stlye yakuchuma mchicha wanawake wanachuma na nyie mnachuma [emoji41][emoji41][emoji41] aibu unakuta umeoa ila unaliwa kama jirani yetu alisema kuwa mume wake amekuja toka kazini ila cha kushangaza kuivua boxer ili akaoge mama muhusika akafa kwasababu alikuta kwenye boxer nyuma hata sio mbele sasa mbegu kibao kibao za mwanaume sasa mnalizunguziaje hili hata humu kuna hiyo tabia imejitokeleza ndio maana hata wanawake wengine wamesema kuwa unalala na mume wako ila hakugusi au boyfriend wako ila hakugusi kumbe kafumuliwa hana hata hamu.
Wengine jogoo haliwiki mke anasubiri haki yake hakuna [emoji16][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hao wanaowafumua wanatoka wapi tuanzia hapo kwanza?
 
Wakati huo wewe unasema ivyo lakini wanawake wa nchi ya rwanda wanawapenda sana wanaume wa kitanzania nenda kawaulize ujue sababu nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ww unapenda mwanaume akojoe vingapi.. Coz wapi tupo tunao tunao kojoa viwili kwa masaa mawili na nusu hadi matatu.. Sasa inategemea hao unaokutana nao wanatumia muda gani...

Remember, your mind is greatest asset.
 
Kwani ww unapenda mwanaume akojoe vingapi.. Coz wapi tupo tunao tunao kojoa viwili kwa masaa mawili na nusu hadi matatu.. Sasa inategemea hao unaokutana nao wanatumia muda gani...

Remember, your mind is greatest asset.
Nataka asubuhi mpaka lunch nakula nishibe mlo wanguvu lunch mpaka saa nne usiku nakula late dinner unaweza??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom