Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Haaa kumbe kaletewa badala ya kutafuta mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah eti nawe unamdomo siku hizi sijajua eti na stress kwani wewe huna mpaka unapewa mke kijijini huoni kama nawe bibi aliona umekosa ramani.
Mpaka akaamua kukutafutia?
Kutongozwa na mwanaume halafu nini wa tz siku hizi unaogopa.
1.huyu ni shoga
2.labda ni mario
3.jogoo hapandi mtungi au hamalizi safari yake .

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hasa nyie wadada mnataka nini, ttukiwahurumia kuwasugua mnatusema wazembe,kama uongo sasa mbona huwa mnalia?hamko wazi sana kitukama tamu sema tamu siyo unililie me
Kama hujui wanaliliaga pesa zako mkuu fanya u FBI vizuri, pesa pesa baba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
,Waheshimu wajinga ili uepukane na mabalaa, and You can learn something even from stupid knowledge.

Naona mtoa mada ameshambuliwa sana, lakini Mimi nashauri tujifunze kuheshimu mawazo mbadala ya wenzetu hata kama hatukubaliani nayo.Tupingane KWA hoja, tena tupingane KWA hekima, upole NA Busara kubwa.

Isitoshe, , siyo kila kitu alichoainisha mtoa hoja kwenye Uzi wake ni cha uongo, NA wala siyo kila kitu ni cha ukweli.
 
Wewe mi sichizi mbona mkiwasema wasichana mnachangia hoja eti wife material hawapo TZ .
Hivi kwa mtu mwenye moyo akisoma huo ujumbe anajisikiaje??
Nyie mimi sinaga unafiki kama hao wengine mimi nasema ukweli kuwa single sio shida mara mnanisema mimi sio mzuri akilini kwanza naepuka magonjwa ya azinaa na vile vile naepuka stress zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani kidogo wewe ni single mother?
Na huyo mtoto wako ulizaa na hawa watz au wa nchi jirani?
Na kwa nini umekuwa single mum?
 
Back
Top Bottom