Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Kaoa eti saivi na ukimpenda mtu inabidi achekiwe afya na huko nyuma kama amelipuliwa dah zamani ilikuwa wanawake sasa ni wanaume dar baba na mama wanapimwa hadi huko nyuma kama walifumuliwa khali

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wanaume wapo, wala usiwaze...

Watasha wanasema 'mnaoverlook'
Ndio maana kama hamwasomi.

Ma-men OG huwa hawaji-advertise.



Sent using LF Electromagnetic Waves
 
Ila kweli humu basi tu ila sipendi huku kwa maana munaanzisha mawasiliano ambayo hamjuani hadi mjuane wai ni muda unajenga hisia zisizo za kweli hii ndio shida ya jf.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake na wanaume wanafumuliwa nyuma hujui mknd sasa ukimpata mtangaza nia unaenda naye akapimwe kama anatumikaga nyuma zamani ilikuwa ni wamawake wanarukwaga ukuta ila sasa niwote wanawake na wanaume wanaliwa tigo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeh....

Hiyo mishoga ipo michache... ila inasababisha wengi tuonekane wa ajabu.

Af hii mitandao ndo inawapa promo...

Wanaume tupo, na tutaendelea tu kuwepo.
Trust me!

Sent using LF Electromagnetic Waves
 
Wanawake wenzake, mme msikia mwenzenuuuu??
 
bila shaka babaako ndio atakuwa na sifa huzo zote halafu wengine tunafwata kwa mbali
 
bila shaka babaako ndio atakuwa na sifa huzo zote halafu wengine tunafwata kwa mbali
Angekuwepo hai angekuwashia moto mpaka ukimbie na kidudu chako kama njiti ya kiberiti nyoo sura hiyo niyako au umepaka poda na wanja uvaa bikini au dira unaenda kupiga umbeya kwa kina halima huyooo jianaume linainamishwa kama nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom