Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

katoto kazuri

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
6,083
5,659
Nimefanya utafiti sana nimekuja kujua kuwa wanaume wa TZ hawafai kuoa .

1. Mashoga
Asilimia fulani ya wanaume wamekuwa wakijihusisha na mapenzi ya jinsia moja na wanaonyesha wanapendelea hivyo na unaweza olewa na mwanaume mwenye sifa unazotaka kumbe wewe umeolewa na mwanamke mwenzako au umeolewa na konki master anayeingilia wenzie.

2. Hawafiki mwisho wa mechi
Asilimia kubwa ya wanaume wa Tz hawafiki mwisho wa safari, wao ni mbili tena kwa shida sana. Na pia hawajui mapenzi kwa sababu wamekuwa wavivu.

So kama umeolewa nao basi sio shida. Hata matangazo mengi ni jinsi ya kupata nguvu za kiume sababu hawana.

3. Ni walevi
Asilimia kubwa kwa misongo ya mawazo wamekuwa walevi wavivu na wanachukia sana kama wakiulizwa wametoka wapi. Wengine kwa pombe wanapiga wake zao na kuwadhuru hata watoto.

4. Wanachepuka sana
Wao ni wachepukaji wakienda kutest kwanini hawafiki mwisho wa safari ila hawajui ndio imekuwa hali halisi.

5. Wanapenda kuwatumia “tigo”
Wanaume wa Tz wanapenda sana kutumia hii service na kwahiyo ukiolewa jua lazima utoe hiyo service na ina madhara makubwa.

6. Matapeli
Baadhi yao ni matapeli wanakuoa ili apate kitu sio mapenzi ya kweli.

7. Wanapenda ofa sana
Wanaume wa Tz wanapenda ofa sana kuitana baba, mkuu ili wapewe vya bure na mwisho wanaibiwa hadi wake au wachumba.

8. Ni marioo
Waume wengi wanapenda kupewa matunzo na wanawake zao. So kabisa jamani wadada acheni utani oleweni na watu wa nchi zingine kwasababu huku wanaume ni shida.

Hawatulii bado hawafiki mwisho wa safari wengine mashoga dah mwaka huu ni kazi inahitaji maombi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmmh!!! msongo wa mawazo unaokusumbua tafuta msaada sista kabla dishi halijayumba jumla..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naomba kumsaidia kitu mleta mada maana hoja ya ushoga ndiyo ameipa uzito sana, mtu akishakuwa shoga huyo sio mwanaume tena, hiyo ni jinsia nyingine, kwa hiyo mashoga awatoe kwenye orodha ya wanaume wa bongo.
 
Waheshimiwa tafadhali msipanic, namuona pale Mh. de98 anataka kurusha ngumi!

Mh. Spika naomba niongee kwa ufupi, nchi yetu ya Jamiiforums ni nchi ya amani. Sisi Wanaume United tumekubali kejeli na matusi ya timu pinzani. Tunataka kusikia umoja wa Wanawake United, wamekubaliana na hoja za huyu kichaa?
Wewe mi sichizi mbona mkiwasema wasichana mnachangia hoja eti wife material hawapo TZ .
Hivi kwa mtu mwenye moyo akisoma huo ujumbe anajisikiaje??
Nyie mimi sinaga unafiki kama hao wengine mimi nasema ukweli kuwa single sio shida mara mnanisema mimi sio mzuri akilini kwanza naepuka magonjwa ya azinaa na vile vile naepuka stress zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vitu ni hatari sana yani umeandika kiasi kwamba huku zaliwa na baba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Baba yangu mimi alikuwa mtu wazamani na alikuwa hana shida ndio maana nikazaliwa sasa nyie mmendekeza upuuzi ndio maana mnafumulia kama nini yaani stlye yakuchuma mchicha wanawake wanachuma na nyie mnachuma aibu unakuta umeoa ila unaliwa kama jirani yetu alisema kuwa mume wake amekuja toka kazini ila cha kushangaza kuivua boxer ili akaoge mama muhusika akafa kwasababu alikuta kwenye boxer nyuma hata sio mbele sasa mbegu kibao kibao za mwanaume sasa mnalizunguziaje hili hata humu kuna hiyo tabia imejitokeleza ndio maana hata wanawake wengine wamesema kuwa unalala na mume wako ila hakugusi au boyfriend wako ila hakugusi kumbe kafumuliwa hana hata hamu.
Wengine jogoo haliwiki mke anasubiri haki yake hakuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefanya utafiti sana nimekuja kujua kuwa wanaume wa TZ hawafai kuoa .
1.Mashoga
Aslimia ya wanaume wamekuwa wakijiusisha na mapenzi ya jinsia moja na wanaonyesha wanapendelea hivyo na unaweza olewa na mwanaume mwenye sifa unazotaka kumbe wewe umeolewa na mwanamke mwenzako au umeolewa na konki master anayeingilia wenzie .
2.Hawafiki mwisho wa mechi
Asilimia kubwa ya wanaume wa Tz hawafiki mwisho wa safari wao ni mbili tena kwa shida sana .
Napia hawajui mapenzi kwa sababu wamekuwa wavivu.
So kama umeolewa nao basi sio shida.
Hata matangazo mengi ni jinsi yakupata nguvu ya zakiume hawana.
3.Ni walevi
Asilimia kubwa kwa misongo ya mawazo wamekuwa walevi wavivu na wanachukia sana kama wakiulizwa wametoka wapi.
Wengine kwa pombe wanapiga wake zao na kuwadhuru hata watoto.
4.Wanachepuka sana
Wao ni wachepukaji wakienda kutest kwanini hawafiki mwisho wa safari ila hawajui ndio imekuwa hali halisi.
5.Wanapenda kuwatumia Tigo.
Wanaume wa Tz wanapenda sana kutumia hii service na kwa hiyo ukiolewa jua lazima utoe hiyo service na inamadhara makubwa.
6.Matapeli
Badhi yao niwatapeli wanakuolea ili apate kitu sio mapenzi ya kweli.
7.Wanapenda Ofa sana.
Wanaume wa Tz wanapenda ofa sana kuitana baba mkuu ili wapewe vya bure na mwisho wanaibiwa hadi wake au wachumba.
8.Ni mario .
Waume wengi wanapenda kupewa matunzo na wanawake zao.
So kabisa jamani wadada acheni utani oleweni nawatu wa nchi zingine kwasababu huku wanaume ni shida.
Hawatulii bado hawafiki mwisho wa safari wengine mashoga dah mwaka huu nikazi inahitaji maombi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Best research ever...vyote vya ukweli ulivyomention

Hii nimeishuhuduia kitaa...ukweli mtupu

Kama hali imefikia hivi basi hakuna haja kufunga ndoa kabla hamjapimana.
Ni bora muonjane mkubaliane kwa viwango.
Kuliko kuoana leo kesho kuachana kwa kutofika viwango

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefanya utafiti sana nimekuja kujua kuwa wanaume wa TZ hawafai kuoa .
1.Mashoga
Aslimia ya wanaume wamekuwa wakijiusisha na mapenzi ya jinsia moja na wanaonyesha wanapendelea hivyo na unaweza olewa na mwanaume mwenye sifa unazotaka kumbe wewe umeolewa na mwanamke mwenzako au umeolewa na konki master anayeingilia wenzie .
2.Hawafiki mwisho wa mechi
Asilimia kubwa ya wanaume wa Tz hawafiki mwisho wa safari wao ni mbili tena kwa shida sana .
Napia hawajui mapenzi kwa sababu wamekuwa wavivu.
So kama umeolewa nao basi sio shida.
Hata matangazo mengi ni jinsi yakupata nguvu ya zakiume hawana.
3.Ni walevi
Asilimia kubwa kwa misongo ya mawazo wamekuwa walevi wavivu na wanachukia sana kama wakiulizwa wametoka wapi.
Wengine kwa pombe wanapiga wake zao na kuwadhuru hata watoto.
4.Wanachepuka sana
Wao ni wachepukaji wakienda kutest kwanini hawafiki mwisho wa safari ila hawajui ndio imekuwa hali halisi.
5.Wanapenda kuwatumia Tigo.
Wanaume wa Tz wanapenda sana kutumia hii service na kwa hiyo ukiolewa jua lazima utoe hiyo service na inamadhara makubwa.
6.Matapeli
Badhi yao niwatapeli wanakuolea ili apate kitu sio mapenzi ya kweli.
7.Wanapenda Ofa sana.
Wanaume wa Tz wanapenda ofa sana kuitana baba mkuu ili wapewe vya bure na mwisho wanaibiwa hadi wake au wachumba.
8.Ni mario .
Waume wengi wanapenda kupewa matunzo na wanawake zao.
So kabisa jamani wadada acheni utani oleweni nawatu wa nchi zingine kwasababu huku wanaume ni shida.
Hawatulii bado hawafiki mwisho wa safari wengine mashoga dah mwaka huu nikazi inahitaji maombi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri waamke watafoka Kama cobra vile.......
Wao furaha Yao kuwasema vibaya wanawake hivyo hii mada itawakera sana japo ni madhaifu Yao wanayopaswa kijirekebisha ingawa sio wote ila tabia nyingi hapo ni za wengi wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom