Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,062
Umeona mmbaba ndio maana nakupendaga wewe sasa ndio kidume hujawa unaoppose hii mada umekubaliana na hoja .
Ulweso ni mdadaa weeeUmeona mmbaba ndio maana nakupendaga wewe sasa ndio kidume hujawa unaoppose hii mada umekubaliana na hoja .
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mwaya sijajua wewe ni mdadaa ila napendaga hoja zako wewe sio mnafiki.
Umeona ehHahahaha
Hii thread imetupa wadada likizo ya kupondwa kwenye zile nyuzi
wanazoanzisha kutuponda
Wanaume wote wamehamia huku kutoa povu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio...Safi Sana
Eh tena ndio vizuri tupewe likizo.Ndio...Safi Sana
Hatimaye tumepumzika jamani [emoji23][emoji23]
Naona wanaume wanatiririka...Uzi unatembea...tunatesa kwa zamu
Kumbe Hadi wao huwa wanajisikia vibaya kupondwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaelewa.njoo uone kama utafika au noo kama hutosahau hadi njia ya kurudia kwenu
Dah eti nawe unamdomo siku hizi sijajua eti na stress kwani wewe huna mpaka unapewa mke kijijini huoni kama nawe bibi aliona umekosa ramani.Wanaoungana na mleta mada ni watu wenye stress za maisha.
Pili hawana sifa ya kutongozwa na Mwanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha,Dah eti nawe unamdomo siku hizi sijajua eti na stress kwani wewe huna mpaka unapewa mke kijijini huoni kama nawe bibi aliona umekosa ramani.
Mpaka akaamua kukutafutia?
Kutongozwa na mwanaume halafu nini wa tz siku hizi unaogopa.
1.huyu ni shoga
2.labda ni mario
3.jogoo hapandi mtungi au hamalizi safari yake .
Sent using Jamii Forums mobile app
Such a hopeless soul,all the best in your out of country wedlock,and keep believing in what makes you happy,mamitta!
Sent using Jamii Forums mobile app