Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Nimefanya utafiti sana nimekuja kujua kuwa wanaume wa TZ hawafai kuoa .

1. Mashoga
Asilimia fulani ya wanaume wamekuwa wakijihusisha na mapenzi ya jinsia moja na wanaonyesha wanapendelea hivyo na unaweza olewa na mwanaume mwenye sifa unazotaka kumbe wewe umeolewa na mwanamke mwenzako au umeolewa na konki master anayeingilia wenzie.

2. Hawafiki mwisho wa mechi
Asilimia kubwa ya wanaume wa Tz hawafiki mwisho wa safari, wao ni mbili tena kwa shida sana. Na pia hawajui mapenzi kwa sababu wamekuwa wavivu.

So kama umeolewa nao basi sio shida. Hata matangazo mengi ni jinsi ya kupata nguvu za kiume sababu hawana.

3. Ni walevi
Asilimia kubwa kwa misongo ya mawazo wamekuwa walevi wavivu na wanachukia sana kama wakiulizwa wametoka wapi. Wengine kwa pombe wanapiga wake zao na kuwadhuru hata watoto.

4. Wanachepuka sana
Wao ni wachepukaji wakienda kutest kwanini hawafiki mwisho wa safari ila hawajui ndio imekuwa hali halisi.

5. Wanapenda kuwatumia “tigo”
Wanaume wa Tz wanapenda sana kutumia hii service na kwahiyo ukiolewa jua lazima utoe hiyo service na ina madhara makubwa.

6. Matapeli
Baadhi yao ni matapeli wanakuoa ili apate kitu sio mapenzi ya kweli.

7. Wanapenda ofa sana
Wanaume wa Tz wanapenda ofa sana kuitana baba, mkuu ili wapewe vya bure na mwisho wanaibiwa hadi wake au wachumba.

8. Ni marioo
Waume wengi wanapenda kupewa matunzo na wanawake zao. So kabisa jamani wadada acheni utani oleweni na watu wa nchi zingine kwasababu huku wanaume ni shida.

Hawatulii bado hawafiki mwisho wa safari wengine mashoga dah mwaka huu ni kazi inahitaji maombi.

Sent using Jamii Forums mobile app
We si ulinikataa kakutenda yamekushinda unalia nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yawezekana hata kuolewa hawajaolewa wanadanga tu Humu wanatafuta mabwana so lazma wawe upande wetu hawawezi kukusapoti maana wakikusapoti wataharibu soko lao lililochanua Uko PM.

Me nakusapoti dada angu tuko pamoja km sisi tunawakwaza na kuwadhalilisha na nyie mnanafasi ya kufanya ivo tena Humu Humu.

Wanawake Acheni unafiki.
Unaweza kukuta hata kwenye ndoa unanyanyasika ila kwakua umezoea kumlamba miguu mwanaume unavumilia..
Km huyu kakosea aujalazimishwa kucoment mngepita tu.,
mnakazana kumshambulia eti mnatutetea wanaume Sie lini tumefanya ivo?
Aibu
Wewe utaishi sana na nimefurahi kuona kuna watu wanaosema ukweli nimeshukuru kwa uchangizi wako mkuu napia uendelee kuwapa makavuu.
Hawa wadada ni wanafki sijapata kuona nikweli tunachukiana sana na wao huwa wanadharaulishwa kama nini nabdo wanajigongesha nakucheka cheka na mtu asiye na time Naye anayeongea ukweli wanamponda nakumsema kichini chini.
Ni kweli yote uliyoyasema mimi nikiyaonaga yanakuja kunipondea nayaangalia yalivyo nayaacha hayo makitu yanajiendea hawatumiagi akili wao wapo tu ili waonekane wamecomment nakuwasifia wakaka na wakaa wenyewe wanawadharau kama nini wanawashusha dhamani .
Mpaka aibu eti.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mtoto yuko period msimlaumu bure
Yuko period au ana msongo wa mawazo?

Wanawake wakiingia kwenye siku zao huwa hawaharibiki akili kama huyu mama!
Hata wenye mimba hawawagi hivi. Tatizo la huyu mama anayependa kuonekana msichana ni stress

Huyu ni mama aliyezalishwa watoto kadhaa na wanaume tofautitofauti na wakamuacha ndio maana kapata msongo wa mawazo
 
Post zangu ni za kawaida sana mkuu thats why mods wameziacha zikasurvive mpaka leo zingekuwa za kudhalilisha nafikiri ningeshapigwa ban na nyuzi zote kufutwa.

Cc Zero IQ
Waoo upo nilidhani jimama lilitokea likakuiba oh asante mola kwa kuona umecomment ila kama best yangu kaona kuna baadhi ulizoweka zinatudhalilisha kubali tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe usidhani watu wapo kama nyie sisi hatuwawazi eti na wala hatuwataki wazungu wanaofundisha nyie ukichaa wakurudiana wenyewe kwa wenyewe.
Hivi mwanaume anamkiss mwanaume mwenzake nalamba mtaro anakiss matako yake na nimtu mwenye familia nakuingiziwa nyuma au anaingiza nyuma kwa mwanaume sindo maana hamuoni ladha ya wakula chakula Mungu alichoweka nyie wanaume ni mnalaana kabisa hamna akili yakufikiri akili zenu ziko kwenye mitaro mnagawa kama wanawake.
Ndio maana hamjaoa kisa hamuitaji services zetu soon mtazalishana hao watoto.
Sisi habari yetu kwisha.
Wanaume kama mabinti mnakula mnavaa siku zinaenda vya bure kushinda kupewa wanaume hamna fikira wimbo lady j dee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila umeeleza ukweli mchungu,naona wenyewe wanakutolea mapovu ujue yamewachoma,wao mbona kila siku kuwasema wanawake mara ma singo mazas kila kukicha ila sasa ukiwasema wao wanakujia juu km moto wa kifuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waoo upo nilidhani jimama lilitokea likakuiba oh asante mola kwa kuona umecomment ila kama best yangu kaona kuna baadhi ulizoweka zinatudhalilisha kubali tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe unasadiki kwamba kuna post niliwahi post ya kudhalilisha mkuu,


Kwanza nimekumisi kinyama njoo PM mara moja tuzungumze

Cc Zero IQ
 
Tatizo si wanaume wa tz, tatizo ni nyie mnawotaka wanaume wenye hela na ma-handsome!!
Ila kama ukitaka hawa wa kazi na wenye sura ngumu kama ya mzazi wako wengi sana!!
Sasa wewe endelea kukomaa na wauza sura wa mwenge na sinza kama hujaongeza mtoto mwingine asiye na baba!
😂😂😂😂😂
 
Nimefanya utafiti sana nimekuja kujua kuwa wanaume wa TZ hawafai kuoa .

1. Mashoga
Asilimia fulani ya wanaume wamekuwa wakijihusisha na mapenzi ya jinsia moja na wanaonyesha wanapendelea hivyo na unaweza olewa na mwanaume mwenye sifa unazotaka kumbe wewe umeolewa na mwanamke mwenzako au umeolewa na konki master anayeingilia wenzie.

2. Hawafiki mwisho wa mechi
Asilimia kubwa ya wanaume wa Tz hawafiki mwisho wa safari, wao ni mbili tena kwa shida sana. Na pia hawajui mapenzi kwa sababu wamekuwa wavivu.

So kama umeolewa nao basi sio shida. Hata matangazo mengi ni jinsi ya kupata nguvu za kiume sababu hawana.

3. Ni walevi
Asilimia kubwa kwa misongo ya mawazo wamekuwa walevi wavivu na wanachukia sana kama wakiulizwa wametoka wapi. Wengine kwa pombe wanapiga wake zao na kuwadhuru hata watoto.

4. Wanachepuka sana
Wao ni wachepukaji wakienda kutest kwanini hawafiki mwisho wa safari ila hawajui ndio imekuwa hali halisi.

5. Wanapenda kuwatumia “tigo”
Wanaume wa Tz wanapenda sana kutumia hii service na kwahiyo ukiolewa jua lazima utoe hiyo service na ina madhara makubwa.

6. Matapeli
Baadhi yao ni matapeli wanakuoa ili apate kitu sio mapenzi ya kweli.

7. Wanapenda ofa sana
Wanaume wa Tz wanapenda ofa sana kuitana baba, mkuu ili wapewe vya bure na mwisho wanaibiwa hadi wake au wachumba.

8. Ni marioo
Waume wengi wanapenda kupewa matunzo na wanawake zao. So kabisa jamani wadada acheni utani oleweni na watu wa nchi zingine kwasababu huku wanaume ni shida.

Hawatulii bado hawafiki mwisho wa safari wengine mashoga dah mwaka huu ni kazi inahitaji maombi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wewe huna jipya walikuzalisha ukajifanya unanyodo wame kutema, ukampata jamaa mjeshi akamega akasepa, ukampata msabato aka tindua difu amekacha kiana , unajifanya mzuri kwanza wewe muhindi hujui hata kutembea , kama unafikiri wewe unafedha za kummiliki mwanaumwe sahau, , vocom the nertwork that we would like to grow mze mama, wewe jizekee tuu ukidhani unahela.

sumsung galaxy s10 oreo 8.0
 
Nadiriki kusema wewe una matatizo ya akili.

Fanya kwenda kumuona daktari wa akili haraka sana!

Babaako, kaka zako, wajomba zako na mababu zako wako namba ngapi kati ya hizo ulizoorodhesha hapo?
Shenzi kabisa ndio maana unatabakia maskini na hivyo vidharau vyako na mtalipeana nyie kwa nyie tu ngoja endeleeni naujuaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom