uungwana classic
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 2,301
- 2,092
Uchunguzi wako umefanya kwa njia gani? Ili tujue uhalali wake uzuri mi ni mtu nayekubaligi ukweli na mm ni mwanaume sina uwezo wakujua wenzangu wapoje, hebu sema njia ulizotumia kufanya uchunguzi huoZamani wenzako asilimia 99.1 walikuwa marijali wanapiga ingini zote kwa ufasaha hadi watoto saba kumi na zaidi saivi mnaweka tu ilimradi aitwe mama.
Na mmekuwa mashoga asilimi kubwa mnafumuliwa marinda mwache mtu aliyekufa kaoza na mifupa haipo .
Jiseme wewe unaweza ligi??
Unaweza timu simba??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app