Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Nashangaa sana humu tukisemwa sisi sio wife material mnacheka nakusifia aliyetoa post lakini nikitoa mimi mwanamke mwenzenu mnawasupport wanaume na mnanikejeli mimi makubwa kwahiyo mmefurahia kuwa vimada raha sana .
Hamtaki kuhalalishwa hongereni ngoja wahalalishwe wa mombasa nyie bakini na tz kuna wanaume .
Alikiba kaenda mombasa AY Rwanda haya ben paul na yeye kenya nyie mta bakia na macho pepe.kazi kunisakama mimi.
Woi kaangalie hizi post za wife material hakuna tz muuulize .
Eti wanaume mtawapatia watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usihangaike na unafiki wa wadada wa bongo bureee, hapa wanaogopa kuonekana hawafai lakini wanaujuwa ukweli na uhalisia.....
Kunywa maji relax, ujumbe wameupata...
Wakizidiwa Sana wataleta mada hapa japo wakiliwa jicho hawawezi sema maana ni siri ya ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada huu ukweli mchungu uloongea tegemea matusi ya kila aina kutoka kwa mashoga wa humu.
[/QUOTE]

Tena wewe ndiye shoga namba moja.🤣🤣
 
Mtoa niruhusu kuja pm tuyapanga niku prove km uko totally wrong

Nitakupiga 9 kwa sku moja nisipofikisha njoo ufungue uzi huku na picha pia post .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameliwa na Nani?
Msingi wa hoja yake ni kuchambua tabia zenu baadhi ya wanaume wa bongo zinazo wavictimize baadhi ya wanawake ambao kila siku takwimu zao zaongezeka,, badala hoja Kwa kupinga with facts or whatever mmejikita kumtusi ili mzidi kudhihirisha unyanyaaji wenu katika mnayoyaona yanafaa kuwatenda wanawake zenu....aibu zenu ...
Sent using Jamii Forums mobile app
unaamini kazunguka tanzania nzima? au anavyosema wa bongo anamaansha sehem aliyopo, huyu ana stress labda imetokea mtu alimpenda sana halafu kamkuta anamatatizo kwahiyo anatuweka wote huko, anachofanya ni kudhalilisha wanaume wa tanzania, samaki m1 akioza sio wote.

ttkwre
 
Nimefanya utafiti sana nimekuja kujua kuwa wanaume wa TZ hawafai kuoa .

1. Mashoga
Asilimia fulani ya wanaume wamekuwa wakijihusisha na mapenzi ya jinsia moja na wanaonyesha wanapendelea hivyo na unaweza olewa na mwanaume mwenye sifa unazotaka kumbe wewe umeolewa na mwanamke mwenzako au umeolewa na konki master anayeingilia wenzie.

2. Hawafiki mwisho wa mechi
Asilimia kubwa ya wanaume wa Tz hawafiki mwisho wa safari, wao ni mbili tena kwa shida sana. Na pia hawajui mapenzi kwa sababu wamekuwa wavivu.

So kama umeolewa nao basi sio shida. Hata matangazo mengi ni jinsi ya kupata nguvu za kiume sababu hawana.

3. Ni walevi
Asilimia kubwa kwa misongo ya mawazo wamekuwa walevi wavivu na wanachukia sana kama wakiulizwa wametoka wapi. Wengine kwa pombe wanapiga wake zao na kuwadhuru hata watoto.

4. Wanachepuka sana
Wao ni wachepukaji wakienda kutest kwanini hawafiki mwisho wa safari ila hawajui ndio imekuwa hali halisi.

5. Wanapenda kuwatumia “tigo”
Wanaume wa Tz wanapenda sana kutumia hii service na kwahiyo ukiolewa jua lazima utoe hiyo service na ina madhara makubwa.

6. Matapeli
Baadhi yao ni matapeli wanakuoa ili apate kitu sio mapenzi ya kweli.

7. Wanapenda ofa sana
Wanaume wa Tz wanapenda ofa sana kuitana baba, mkuu ili wapewe vya bure na mwisho wanaibiwa hadi wake au wachumba.

8. Ni marioo
Waume wengi wanapenda kupewa matunzo na wanawake zao. So kabisa jamani wadada acheni utani oleweni na watu wa nchi zingine kwasababu huku wanaume ni shida.

Hawatulii bado hawafiki mwisho wa safari wengine mashoga dah mwaka huu ni kazi inahitaji maombi.

Sent using Jamii Forums mobile app
sio wote utafit wako ni fake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo ndio nimeamini wanawake hampendani.
Uyu dada Sio chizi ila Kuna jambo LA ukweli kalionongea, baadhi ya wanaume Humu tunaandika uzi za kudhalilisha wanawake, tena kwa maneno ya kashfa, ila Hakuna mwanaume ambae anasimama na wanawake na km Yupo Basi atapingwa na kila mmoja wetu,

Alivyofanya huyu dada ni vile vile akina Zero IQ wanafanya kuwakosoa na kuwadharirisha hata Kama wamewaoa,..
Leo mwanamke mwenzenu anajibu mnampinga, mnamuona Hana akili [emoji23][emoji23] kwa jambo lile lile tunalolifanya wanaume.

Shida ni moja, nimeiona mnataka kujipatia umaarufu kwamba mko smart,. Nyie Sio wa ovyo ovyo km huyu dada.
Ni vizuri Sana ila mngekaa kimya na kupita tu ningewaona wamaana zaidi
Kwanini mmpingananae wazi wazi.
Sio jambo zuri mnalofanya km hamjapenda mngeenda kuchangia nyuzi nyingine.

Wanawake hampendani, wanawake mnapenda sifa muonekane wamaana mbele yetu wanaume, mnapenda kuwashusha wanawake wenzenu ili muonekane mnaakili kwa kutumia udhaifu wa mwenzenu badala ya kumshika mkono km sisi tunavyofanya.
Mtabaki kuwa chini

Sent using Jamii Forums mobile app
Taabu kweli kweli hawa wadada humu....
Hawaoni fact kabisa wanajiunga na wanaume kujitoa ufahamu kumnanga dada wa watu na uchunguzi wake.

Sasa hivi mtoto wa kiume Yuko kwenye risk kubwa Sana kuliko wa kiume, ukikosea kidogo Tu kwenye malezi ashabadilika kuwa wa kike eti utandawazi na haki za binadamu hizo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifa kubwa ya wanaume wa TZ na hasa wa Dar Ni kula TIGO za madada.
Ndio mana wanawake wa TZ wengi wao hawana Marinda ukilinganisha na wanchi jirani za Afrika mashariki.
Inawezekana pia nawewe ukawa ni mmoja wao
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Sasa unapinga nini wakati unaijuwa sifa yenu mbaya hiyo?
Watoto wa kiume ni jinsia iliyo hatarini kupotea hapa nchini kutokana na facts mbalimbali ikiwemo kuendekeza usodoma Kama unavoutetea hapa weye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unaamini kazunguka tanzania nzima? au anavyosema wa bongo anamaansha sehem aliyopo, huyu ana stress labda imetokea mtu alimpenda sana halafu kamkuta anamatatizo kwahiyo anatuweka wote huko, anachofanya ni kudhalilisha wanaume wa tanzania, samaki m1 akioza sio wote.

ttkwre
Sidhani Kama anamaanisha mmoja au wawili alokutana nao....humu jukwaani ninyi wanaume baadhi yenu mara Kwa mara mmekuwa mkileta mada namna gani mnafurahikiwa na tabia za usodoma kwa wanawake huko mitaani....
To some extent ameonyesha namna yenu ila kwakuwa amewagusa mnamnanga bure hapa ukweli mwaufahamu fika.

ukweli wanaume kama hao wapo, lakini anaposema tanzania hakuna wanaume,atakua ana msongo wa mawazo,akipata dume likamkaza vizuri hilo wenge litaisha

p
 
Hayo marinda waliyaondoa wenyewe au ninyi mnaotuhumiwa?
Kama wanawake zenu wanaongoza Kwa kutolewa marinda Nani anaewatoa Kama sio ninyi mnaojitoa ufahamu daily hapa na kuwatusi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mnatolewa kwa mapepe yenu. Wanawake wa TZ wanaongoza kwa kupenda Pesa na Maisha mazuri bila ya kuyakatia jasho, Mfumo wenu wa maisha asilimia 90% ni uchangu doa tu. Lazima mtafumuliwa marinda tu.
 
ukweli wanaume kama hao wapo, lakini anaposema tanzania hakuna wanaume,atakua ana msongo wa mawazo,akipata dume likamkaza vizuri hilo wenge litaisha

p
Mnaangaika na kidemu chenyewe kila ugoro cha Arusha...! Stimu zake za nyege mpaka zitibiliwe na ugoro kisengerema tu hichi ukizingatia utakuta kina umbo km nyoka hakuna boundary kati ya matako na mgongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnatolewa kwa mapepe yenu. Wanawake wa TZ wanaongoza kwa kupenda Pesa na Maisha mazuri bila ya kuyakatia jasho, Mfumo wenu wa maisha asilimia 90% ni uchangu doa tu. Lazima mtafumuliwa marinda tu.
Hoja yake ni sahihi au sio kweli?
Hao wenye tamaa hukutana na wanawake wenzao au wanaume mafirauni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani ngoja nami nichangie kidogo ila samahani nitatumia maneno makali kidogo, nachangia kidogo hapo penye kuwafikisha kileleni, ni hivi nyie wenyewe ndio mnamatatizo unakuta mwanamke amekisugua kisimi na kila aina ya zana, amesuguliwa kisimi na wanaume Wenye mikunyenge saizi tofauti tofauti na hajui hata idadi ya wanaume waliomgonga matokeo yake kisimi kimekomaa kama mtu mtembea peku ambaye hajawahi kuvaa viatu hisia zilishapotea , sasa unataka mtoto wa mwenzio nikukaze masaa nalima ni shamba hilo? Eboo mi kama hujakojoa ndani ya dakika 15 potea.
 
Back
Top Bottom