Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Umeonaeee. Hizo tabia hatukatai zipo ila sio kwa Me wote kama anavyotaka kutuaminisha.

Wenye kuona Katoto yupo sahihi ataungana nao wawachambe hao wanaume. 😅😅😅😅😅
Haku kosea kukuweka ndani mapema mtani:
pongozi in advance kwa ushindi, endeleeni kutushikia nafasi yetu.
 
Wewe unataka likes na attention tu
Huu ujumbe mtumie baba yako mzazi hakika unamuhusu.

Tahadhari wazazi wengine wawe wanatumia condom kuliko kituzalia wapumbavu wa namna hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
All in All alichokusudia kutwambia kiwa tanzania ushoga ni jambo la kawaida kwaio liruhusiwe.

Inawezekana mleta mada akawa shoga nae.
 
All in All alichokusudia kutwambia kiwa tanzania ushoga ni jambo la kawaida kwaio liruhusiwe.

Inawezekana mleta mada akawa shoga nae.
Shoga mi mwanaume nyie wanaume humu akili zimo nusu nusu hamuwazi vitu ambavyo vitaangamiza taifa la leo Na kwesho upo tu.
Unacomment ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba yako amemzalisha mamako na bado sio mwanaume hahaaa mnachekesha kweli ww umejaribu asilimia ngapi ya wanaume wa tz?

Sent using Jamii Forums mobile app
Zamani wenzako asilimia 99.1 walikuwa marijali wanapiga ingini zote kwa ufasaha hadi watoto saba kumi na zaidi saivi mnaweka tu ilimradi aitwe mama.
Na mmekuwa mashoga asilimi kubwa mnafumuliwa marinda mwache mtu aliyekufa kaoza na mifupa haipo .
Jiseme wewe unaweza ligi??
Unaweza timu simba??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo ndio nimeamini wanawake hampendani.
Uyu dada Sio chizi ila Kuna jambo LA ukweli kalionongea, baadhi ya wanaume Humu tunaandika uzi za kudhalilisha wanawake, tena kwa maneno ya kashfa, ila Hakuna mwanaume ambae anasimama na wanawake na km Yupo Basi atapingwa na kila mmoja wetu,

Alivyofanya huyu dada ni vile vile akina Zero IQ wanafanya kuwakosoa na kuwadharirisha hata Kama wamewaoa,..
Leo mwanamke mwenzenu anajibu mnampinga, mnamuona Hana akili [emoji23][emoji23] kwa jambo lile lile tunalolifanya wanaume.

Shida ni moja, nimeiona mnataka kujipatia umaarufu kwamba mko smart,. Nyie Sio wa ovyo ovyo km huyu dada.
Ni vizuri Sana ila mngekaa kimya na kupita tu ningewaona wamaana zaidi
Kwanini mmpingananae wazi wazi.
Sio jambo zuri mnalofanya km hamjapenda mngeenda kuchangia nyuzi nyingine.

Wanawake hampendani, wanawake mnapenda sifa muonekane wamaana mbele yetu wanaume, mnapenda kuwashusha wanawake wenzenu ili muonekane mnaakili kwa kutumia udhaifu wa mwenzenu badala ya kumshika mkono km sisi tunavyofanya.
Mtabaki kuwa chini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu akifanya ujinga achanwe tu live bhana hamna habari yakupotezeana kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh!
sijapata ona uzi wa KE ambamo ameshambuliwa & pande zote mbili kama huu 😂😂
 
Back
Top Bottom