Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Sonona na msongo, zipo.
Ujue bwana hivi vitu saa nyingine yatupasa tuwe wakweli tu maana kama huyo anayewadiss hao wanaume wa Tz mwisho wa siku ataolewa hapa hapa Tanzania na sio Kenya wala Uganda.

Hivyo yampasa abadili huo Mtazamo wake tu kwa kweli kwa kujua wanaume wenye tabia mbovu wapo na wenye tabia nzuri pia wapo.

katoto kazuri.
 
Hahahaaa. Yule baba hazimtoshi kwa kweli.

Nawaza kungekuwa na block huku sijui kama katoto angetuwacha. [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahah
Tungeshakula zamani sana ni vile block ya jf haisaidii hata ukimbock mtu atakuquote na kukulike
 
Nimefanya utafiti sana nimekuja kujua kuwa wanaume wa TZ hawafai kuoa .

1. Mashoga
Asilimia fulani ya wanaume wamekuwa wakijihusisha na mapenzi ya jinsia moja na wanaonyesha wanapendelea hivyo na unaweza olewa na mwanaume mwenye sifa unazotaka kumbe wewe umeolewa na mwanamke mwenzako au umeolewa na konki master anayeingilia wenzie.

2. Hawafiki mwisho wa mechi
Asilimia kubwa ya wanaume wa Tz hawafiki mwisho wa safari, wao ni mbili tena kwa shida sana. Na pia hawajui mapenzi kwa sababu wamekuwa wavivu.

So kama umeolewa nao basi sio shida. Hata matangazo mengi ni jinsi ya kupata nguvu za kiume sababu hawana.

3. Ni walevi
Asilimia kubwa kwa misongo ya mawazo wamekuwa walevi wavivu na wanachukia sana kama wakiulizwa wametoka wapi. Wengine kwa pombe wanapiga wake zao na kuwadhuru hata watoto.

4. Wanachepuka sana
Wao ni wachepukaji wakienda kutest kwanini hawafiki mwisho wa safari ila hawajui ndio imekuwa hali halisi.

5. Wanapenda kuwatumia “tigo”
Wanaume wa Tz wanapenda sana kutumia hii service na kwahiyo ukiolewa jua lazima utoe hiyo service na ina madhara makubwa.

6. Matapeli
Baadhi yao ni matapeli wanakuoa ili apate kitu sio mapenzi ya kweli.

7. Wanapenda ofa sana
Wanaume wa Tz wanapenda ofa sana kuitana baba, mkuu ili wapewe vya bure na mwisho wanaibiwa hadi wake au wachumba.

8. Ni marioo
Waume wengi wanapenda kupewa matunzo na wanawake zao. So kabisa jamani wadada acheni utani oleweni na watu wa nchi zingine kwasababu huku wanaume ni shida.

Hawatulii bado hawafiki mwisho wa safari wengine mashoga dah mwaka huu ni kazi inahitaji maombi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Katoto kazuri chanua miguu uone moto wake...kama kashata huta ita sha..shata!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume nasi tumechoshwa na wanawake mafundi maana wamepita kwingi, wastaafu na kubakia makungwi tunahitaji damu changa za kuwafundisha na wao. Wewe mwanamke fundi ufundi wako peleka veta. Goli mbili huriziki tafuta punda kiongo steaika atakaekukidhi haja zako.

Hata mimi sipendi vingi ila hata viwili hamufiki siku hizi jitahidini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo ndio nimeamini wanawake hampendani.
Uyu dada Sio chizi ila Kuna jambo LA ukweli kalionongea, baadhi ya wanaume Humu tunaandika uzi za kudhalilisha wanawake, tena kwa maneno ya kashfa, ila Hakuna mwanaume ambae anasimama na wanawake na km Yupo Basi atapingwa na kila mmoja wetu,

Alivyofanya huyu dada ni vile vile akina Zero IQ wanafanya kuwakosoa na kuwadharirisha hata Kama wamewaoa,..
Leo mwanamke mwenzenu anajibu mnampinga, mnamuona Hana akili [emoji23][emoji23] kwa jambo lile lile tunalolifanya wanaume.

Shida ni moja, nimeiona mnataka kujipatia umaarufu kwamba mko smart,. Nyie Sio wa ovyo ovyo km huyu dada.
Ni vizuri Sana ila mngekaa kimya na kupita tu ningewaona wamaana zaidi
Kwanini mmpingananae wazi wazi.
Sio jambo zuri mnalofanya km hamjapenda mngeenda kuchangia nyuzi nyingine.

Wanawake hampendani, wanawake mnapenda sifa muonekane wamaana mbele yetu wanaume, mnapenda kuwashusha wanawake wenzenu ili muonekane mnaakili kwa kutumia udhaifu wa mwenzenu badala ya kumshika mkono km sisi tunavyofanya.
Mtabaki kuwa chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefanya utafiti sana nimekuja kujua kuwa wanaume wa TZ hawafai kuoa .

1. Mashoga
Asilimia fulani ya wanaume wamekuwa wakijihusisha na mapenzi ya jinsia moja na wanaonyesha wanapendelea hivyo na unaweza olewa na mwanaume mwenye sifa unazotaka kumbe wewe umeolewa na mwanamke mwenzako au umeolewa na konki master anayeingilia wenzie.

2. Hawafiki mwisho wa mechi
Asilimia kubwa ya wanaume wa Tz hawafiki mwisho wa safari, wao ni mbili tena kwa shida sana. Na pia hawajui mapenzi kwa sababu wamekuwa wavivu.

So kama umeolewa nao basi sio shida. Hata matangazo mengi ni jinsi ya kupata nguvu za kiume sababu hawana.

3. Ni walevi
Asilimia kubwa kwa misongo ya mawazo wamekuwa walevi wavivu na wanachukia sana kama wakiulizwa wametoka wapi. Wengine kwa pombe wanapiga wake zao na kuwadhuru hata watoto.

4. Wanachepuka sana
Wao ni wachepukaji wakienda kutest kwanini hawafiki mwisho wa safari ila hawajui ndio imekuwa hali halisi.

5. Wanapenda kuwatumia “tigo”
Wanaume wa Tz wanapenda sana kutumia hii service na kwahiyo ukiolewa jua lazima utoe hiyo service na ina madhara makubwa.

6. Matapeli
Baadhi yao ni matapeli wanakuoa ili apate kitu sio mapenzi ya kweli.

7. Wanapenda ofa sana
Wanaume wa Tz wanapenda ofa sana kuitana baba, mkuu ili wapewe vya bure na mwisho wanaibiwa hadi wake au wachumba.

8. Ni marioo
Waume wengi wanapenda kupewa matunzo na wanawake zao. So kabisa jamani wadada acheni utani oleweni na watu wa nchi zingine kwasababu huku wanaume ni shida.

Hawatulii bado hawafiki mwisho wa safari wengine mashoga dah mwaka huu ni kazi inahitaji maombi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sifa kubwa ya wanaume wa TZ na hasa wa Dar Ni kula TIGO za madada.
Ndio mana wanawake wa TZ wengi wao hawana Marinda ukilinganisha na wanchi jirani za Afrika mashariki.
Inawezekana pia nawewe ukawa ni mmoja wao
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Back
Top Bottom