Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,550
- 18,440
Madhara ya kutopewa zakhari ya kutosha ndio haya.
Dada sisi acha tukomae nao hawahawa watanzania wenzetu tuliyowazoeaNdio nauliza Dada twende nchi gani ambako tutawapata wanaume?
Hebu mleta uzi anipe jibu maana kusema wa Tz wote hawafai bila kuweka mbadala hiyo ni sawa na habari batili. [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaaa. Umeonaeee.Dada sisi acha tukomae nao hawahawa watanzania wenzetu tuliyowazoea
Nashangaa sana humu tukisemwa sisi sio wife material mnacheka nakusifia aliyetoa post lakini nikitoa mimi mwanamke mwenzenu mnawasupport wanaume na mnanikejeli mimi makubwa kwahiyo mmefurahia kuwa vimada raha sana .Ndio nauliza Dada nchi gani tutawapata wanaume?
Hebu mleta uzi anipe jibu maana kusema wa Tz wote hawafai bila kuweka mbadala hiyo ni sawa na habari batili. [emoji3][emoji3][emoji3]
Nianze kuomba unanijua au unaongea tu.Dada zungumzia uliokutana nao na nakushauri anza kuomba Mungu akupe mwenza sahihi
Zakari yakutosha???Madhara ya kutopewa zakhari ya kutosha ndio haya.
Nimecheka lol.Nashangaa sana humu tukisemwa sisi sio wife material mnacheka nakusifia aliyetoa post lakini nikitoa mimi mwanamke mwenzenu mnawasupport wanaume na mnanikejeli mimi makubwa kwahiyo mmefurahia kuwa vimada raha sana .
Hamtaki kuhalalishwa hongereni ngoja wahalalishwe wa mombasa nyie bakini na tz kuna wanaume .
Alikiba kaenda mombasa AY Rwanda haya ben paul na yeye kenya nyie mta bakia na macho pepe.kazi kunisakama mimi.
Woi kaangalie hizi post za wife material hakuna tz muuulize .
Eti wanaume mtawapatia watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha umeona eenhHahaaa. Umeonaeee.
Maana kama mie kwa Baba Chanja najiona nishafika kigoma mwisho wa reli.
Maji ya baraka dah ya baraka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huku waarusha wapo wachaga wanatutosha kabisa .Nitakuja arusha kukumwagia maji ya baraka..
Na anajua kuandika magazeti bwanaYaan kama unalipwa ndg yangu anapendaga ligi huyu na magazeti yake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nashangaa sana humu tukisemwa sisi sio wife material mnacheka nakusifia aliyetoa post lakini nikitoa mimi mwanamke mwenzenu mnawasupport wanaume na mnanikejeli mimi makubwa kwahiyo mmefurahia kuwa vimada raha sana .
Hamtaki kuhalalishwa hongereni ngoja wahalalishwe wa mombasa nyie bakini na tz kuna wanaume .
Alikiba kaenda mombasa AY Rwanda haya ben paul na yeye kenya nyie mta bakia na macho pepe.kazi kunisakama mimi.
Woi kaangalie hizi post za wife material hakuna tz muuulize .
Eti wanaume mtawapatia watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa. Umeonaeee.
Maana kama mie kwa Baba Chanja najiona nishafika kigoma mwisho wa reli.
Nakazia.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pambana na unaokutana nao tu pole jamani
Hivi wew mkuu una laana au kwako ni sifa ya kijinga.Na sisi wanaume tunaolawiti wanawake na kunyonya tigo za wanawake, tuna-comment wapi? katoto kazuri
Mapungufu yapo ila sio uoelewe nashoga ambaye anakazwa kwa hiyo mnakazwa wote anatext dear wake anakuja kucheza cha 3 play sasa mume tigo mama k halafu tunalipwa hayo sio mapungufu hiyo ni dhambi ambayo haisameeki kirahisi.Hahahaha umeona eenh
Sasa ukimtaka ambaye hana mapungufu inabidi umuunde mwenyewe tu
Hamna kitu ka hicho asubiri wenye mawazo na mtazamo kwa wanaume ka yake waje wawe upande wake.Mwenzenu anachopambania hapa ni utoto sana, eti sababu kunamtu aliunda uzi kuwa tz hakuna wife material, sasa naye kaamua kuilipa ile thread kwa kuwatukana wanaume wote..
Anachotaka ni sapoti yenu.. [emoji74] [emoji74] [emoji74] mwambie na Shunie mwanamama anataka sapoti ya ke wote mliopo jf
Nimecheka lol.
Pole mwaya mdogo wangu.
Maji ya baraka dah ya baraka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huku waarusha wapo wachaga wanatutosha kabisa .
1. Mahandsome
2.wanajua mapenzee
3.hawaringi ringi hadi wageuzwe na wenzao..
Sent using Jamii Forums mobile app