Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

Mwanamke wako akihudhuria leba ajitahidi kufunga tumbo kwa muda mrefu hata miezi mitatu, amnyonyeshe mtoto hii inasaidia kupunguza mafuta mwilini
Wengi wavivu wa hilo suala anafunga mwezi mmoja basi anaacha tumbo linakua bado halijabana.
 
Wakati huo anakula kila kinachomjia mbele yake!!! Na kunyonyesha hataki lazima uwe kabati tu
Haha haha ndio hasa unakuta mtu toka umemwambia nyama nyekundu mbaya basi anaagiza tu kuku samaki na ndizi + uji kwanini tumbo lisiwe kubwa
 
Maji ya uvuguvugu ndimu bado. Tatizo langu naishiaga njiani

Alternative andaa Maji uweke,Slice za lemon,Cucumber,majani ya mint na tangawizi iliyosagwa,yaweke kwenye fridge over night,kesho yake kunywa glass moja on empty stomach (ukiamka tu) na glass nyingine usiku kabla ya kwenda kulala,ukiwa mzoefu unaweza kunywa glass mbili asubuhi na mbili usiku kabla ya kulala,inakata mafuta ya tumbo vizuri mno na hasa tumbo la chini! Fanya iwe sehemu ya utaratibu wako! Utaona matokeo yake na pia yanaifanya ngozi inakuwa nzuri na laini! Nafanya hivyo na nina watoto wawili kwa C-Section na sina kitambi kabisa!
 
Hivi na wa humu jf wako na figure za SUMO? Hakuna liyewahi weka picha yake.
 
Nimetoka kujifungua na Operation Nina kitambi Kama chote naomba tips.
Nikupe hongera na pole. Kwa kweli umetoka kujifungua kwa operation naweza kukuelekeza ikaleta matatizo ni maji ya uvuguvugu na ndimu unachanganya asubuhi kabla ya kula chochote grass moja
 
Nikupe hongera na pole. Kwa kweli umetoka kujifungua kwa operation naweza kukuelekeza ikaleta matatizo ni maji ya uvuguvugu na ndimu unachanganya asubuhi kabla ya kula chochote grass moja
Asante subiri nitimize miezi sita niaze Hii formula.
 
Ukitoka nae out hakikisha anakula ugali kdg na mboga za majani bila nyama, kama analewa mpatie spirit, Gin au whiskey na Coke bariidi kabisa..

Ukimuachia aagize utasikia kitomoto kilo moja, ndizi 6 na chips kidogo usisahau na chachandu. Utadhania anakula baada ya hapo anaenda kufungwa jela
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wapo wanaume pia wenye vitambi hapajulikani nyuma na mbele ni wap akitembea kote mtetemo
 
Hahaha nimecheka kwa nguvu sana ..

Mh km 5 dada ake tunaweza tukaweka roho zetu rehani...tutaanza na km 2 aise!??
Haahhahhah usijali kaka ake hata hizo mbili ni sawa taratibu tunaenda tatu .nne...halafu tano...Mimi kwa jogging niko vizuri
 
Back
Top Bottom