Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

Mzee Baba mie Nyama choma na kitimoto zinaangusha sana jitihada zangu za kupunguza kitambi..

Nimejitahidi sana ku control masuala ya Ma beer na Soda ila hzi Nyama karibia kila siku aisee.
Hahah ni mtihani sana hapo, kuzishinda force za kula mdudu si mchezo!
 
Yeah hatari kweli kweli hasa processed sugars kama za soda ndio noma ukiacha zile za beer zinazotokana na wanga.
Ndio maana wanaokula beer na nyamachoma wanapata vitambi sana.

Hata mie changu kilianza kuja baada ya kujibidiisha kugida serengeti lite na nyamachoma. Asubuhi naamkia supu ila sasa nimejitahidi kujiondoa kwenye ratiba hio mambo sio mabaya. Futa linakatika taratibu na usiku sili sana nakula mboga nyingi chakula kidogo.
Bia na wine kipi kina nafuu ?
 
Unakuta mdada anakitambi mpaka akisimama papuchi haionekani
 
Nawasalimu

CAG naona hili hajaliona yaani sijui kuna shida gani..Nichukue nafasi hii kuwashauri maana mimi ukiwa na kitambi nakupiga chini.
Kuleni kistaarabu sasa unatoka na mamzi anaagiza chipsi mayai mishaki mitatu sosegi mbili na kuku nusu anasema afungiwe seriously..

Aya kama haotoshi mnatoka apo bidada unakuta anapiga bia zaidi yako..no way lazima likitambi lije..Alafu bora angekuwa anafanya mazoezi.

Msipoolewa mnasema hamna bahati.Badilikeni bhana la sivyo mtaishia kuzalishwa na kuachwa.
Unaowaambia wakiacha kutoka vitambi basi na biashara ya chipsi kuku na nyama choma nayo inakufa
 
Kuwa na kitambi ni asili ya mtu tu

Mimi hata nile vipi ama ninenepe namna gani tumbo haliji kabisaaa...na wala sio mtu wa mazoezi

Wewe kama sio mtu wa kuoa usioe ,usisingizie vitambi
@joanah: lete ushahidi wa picha la tumbo lako, vinginevyo unajipigia promo, ila ntakuja PM usinitenge..
 
"Kila Kona labda kovu la kuongezewa njia tu,wapo smart wanawake wa kizungu". Mkuu salute kwako.Umewahi kuwachunguza physically wakati unasimamia show/style ya ng'ombe kagoma kunywa maji au unaangalia picha za nyuchi zao kupitia YouTube?

Hahahahaha!!!
Wanaume asili yetu wala haishangazi... mi hua nashangaa wanawake wa kizungu unakuta anawatoto wakubwa kabisa lkn ukimuona kama hajawahi kujifungua yupo smart kila kona labda kovu la kuongezwa njia tu ila mwanamke wa kibantu akishazaa tu basi anakua bibi
 
kiwango kinachotakiwa na mwili ambacho ukizidi umeanza faulo,mbaya zaidi faulo nila mazoezi
Nimemsikia dr. wa lishe 2kg/week but nilipoenda google nikaambiwa chini zaidi nikakata tamaa.
hiyo ya bombe nimeipata kwa prof swai wa diabetis
 
Kitambi ni asili ya mtu kwanza sikuhizi sio wanawake tu hadi wanaume matumbo kama vifurushi
Sio kweli, kitambi cha mwanamke ni makalio yake na mapaja.
Kitambi ni kwa ajili ya mwanaume tu ndo mfuko ulipo.
Mwanamke mwenye kitambi huyo ni mgonjwa hata akilala anakoroma kama anakata roho
 
Back
Top Bottom