Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,203
Umejaribu maji ya moto na ndimuNina mwaka wa pili nahangaika kutoa huu mtambi na bado umenigomea..Nimeamua kufanya mambo mengine...
Umejaribu maji ya moto na ndimuNina mwaka wa pili nahangaika kutoa huu mtambi na bado umenigomea..Nimeamua kufanya mambo mengine...
Hahaha hahaha
Wewe ushajikubali bana! Mimi nisipochomekea sioni utamu wa suruali ama miniskirt... Imagine uchomekee na kitambi!.
Jitahidi bana
Kwa urembo ulio kuwa nao kapeace hata ungekuwa na kitambi unavutia mnoHeko na pongezi ziwafikie waliohudhuria leba na bado hatuna vitambi,,,,, tuheshimuni sana sana nyie wavulana
Mkuu hapo wala hata usihangaike na mazoezi saaaaana, ni misosi tuu ndo uirekebishe. Punguza kula nyama, bia, soda, processed foods & drinks na mi vyakula mingi ya wanga. Pendelea kula matunda, mboga nyingi, ugali dona au wali kidogo, white meat, viazi, asali, mafuta kama ya alizeti n.k, achana na masupu na ma vitafunwa meengi yalokaangwa asubuhi ..unaweza piga ndizi zako tatu au nne ukatulia. Pata maji ya kutosha. Tatizo wenye vitambi wengi wao wanakua na apetite kubwa saana muda mwingi huhitaji kula kula sasa hapo ndo unahitaji kuji control. Swala ni kupunguza kalories tunazoziingiza kwanza kwa chakula mwilini kabla ya kufikilia namna ya kuzi burn through mazoezi. Ukiweza tuu kua na nidhamu ktk kula inaweza kukutolea huo mtambi bila hata kwenda gym kila siku.Nina mwaka wa pili nahangaika kutoa huu mtambi na bado umenigomea..Nimeamua kufanya mambo mengine...
Maji ya uvuguvugu ndimu bado. Tatizo langu naishiaga njianiUmejaribu maji ya moto na ndimu
Yaani ukikaza ndani ya miezi miwili tuu kinapotea!Kama unanipa hamasa hvi...Hebu ngoja tuone itakavyokuwa.
Ukitoka nae out hakikisha anakula ugali kdg na mboga za majani bila nyama, kama analewa mpatie spirit, Gin au whiskey na Coke bariidi kabisa..
Ukimuachia aagize utasikia kitomoto kilo moja, ndizi 6 na chips kidogo usisahau na chachandu. Utadhania anakula baada ya hapo anaenda kufungwa jela
Mawazo yanini badala ufurahi umevuna ulichopanda sasa unaanza kuwaza jamaa atahamia nyumba ndogo kupunguza mbegu zake lea mtoto kwa furaha hachelewi kukua utarudi kwenye ramaniMatunzo yanachangia we mtu umetoka kujifungua una mawazo gunia nzima kingine baadhi ya wanawake wengi hatuna utamaduni wa kufanya mazoezi.
Mkuu hapo wala hata usihangaike na mazoezi saaaaana, ni misosi tuu ndo uirekebishe. Punguza kula nyama, bia, soda, processed foods & drinks na mi vyakula mingi ya wanga. Pendelea kula matunda, mboga nyingi, ugali dona au wali kidogo, white meat, viazi, asali, mafuta kama ya alizeti n.k, achana na masupu na ma vitafunwa meengi yalokaangwa asubuhi ..unaweza piga ndizi zako tatu au nne ukatulia. Pata maji ya kutosha. Tatizo wenye vitambi wengi wao wanakua na apetite kubwa saana muda mwingi huhitaji kula kula sasa hapo ndo unahitaji kuji control. Swala ni kupunguza kalories tunazoziingiza kwanza kwa chakula mwilini kabla ya kufikilia namna ya kuzi burn through mazoezi. Ukiweza tuu kua na nidhamu ktk kula inaweza kukutolea huo mtambi bila hata kwenda gym kila siku.
Yaani ukikaza ndani ya miezi miwili tuu kinapotea!
Fact 👏👏👏Mkuu hapo wala hata usihangaike na mazoezi saaaaana, ni misosi tuu ndo uirekebishe. Punguza kula nyama, bia, soda, processed foods & drinks na mi vyakula mingi ya wanga. Pendelea kula matunda, mboga nyingi, ugali dona au wali kidogo, white meat, viazi, asali, mafuta kama ya alizeti n.k, achana na masupu na ma vitafunwa meengi yalokaangwa asubuhi ..unaweza piga ndizi zako tatu au nne ukatulia. Pata maji ya kutosha. Tatizo wenye vitambi wengi wao wanakua na apetite kubwa saana muda mwingi huhitaji kula kula sasa hapo ndo unahitaji kuji control. Swala ni kupunguza kalories tunazoziingiza kwanza kwa chakula mwilini kabla ya kufikilia namna ya kuzi burn through mazoezi. Ukiweza tuu kua na nidhamu ktk kula inaweza kukutolea huo mtambi bila hata kwenda gym kila siku.
HahahahaHahahah unategemea mamzi umtoe out akaagize ugali tembele babu? Ataagiza K'moo tu hamna namna
Utakua umezaa miaka mingi iliyopitaHeko na pongezi ziwafikie waliohudhuria leba na bado hatuna vitambi,,,,, tuheshimuni sana sana nyie wavulana
Jaribu mama asubuhi kabla hujaweka kitu chochote tumboni kama home kuna kamba unaluka hata nusu saaMaji ya uvuguvugu ndimu bado. Tatizo langu naishiaga njiani
Protien haileti kitambi hata siku moja, sukari, wanga na mafuta ndio vinavyoleta kitambi.Vyote hivyo natumia ila sipati kitambi
Ni asili ya mtu tu
Acha kabisaaaNa wewe unanishauri nisile nyama???
Hahaha hahaha hahahaProtien haileti kitambi hata siku moja, sukari, wanga na mafuta ndio vinavyoleta kitambi.
Ukianza diet ya kula protien vegetables na maji mengi ukakata sukari na mafuta ndani ya miezi 6 tu watu wanaweza sema umeathirika na ukimwi! It removes all the excess fats za tumboni sema na tako pia litaisha.
Kwenye ubibi hujafikia bna labda kama kuna mambo mengi zaidi ya wembambaHata sasa nafananishwa na watoto wa mwaka 97 wakati nakaribia ubibi
HahahaKwenye ubibi hujafikia bna labda kama kuna mambo mengi zaidi ya wembamba
HahahahhProtien haileti kitambi hata siku moja, sukari, wanga na mafuta ndio vinavyoleta kitambi.
Ukianza diet ya kula protien vegetables na maji mengi ukakata sukari na mafuta ndani ya miezi 6 tu watu wanaweza sema umeathirika na ukimwi! It removes all the excess fats za tumboni sema na tako pia litaisha.