Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,347
- 201,621
khaaaaaSio kweli, kitambi cha mwanamke ni makalio yake na mapaja.
Kitambi ni kwa ajili ya mwanaume tu ndo mfuko ulipo.
Mwanamke mwenye kitambi huyo ni mgonjwa hata akilala anakoroma kama anakata roho
[emoji23][emoji23][emoji23]ndo shida ya kupungua inamaliza na tako sasa na sie wenye vya kukalia tabu tupu[emoji853]Protien haileti kitambi hata siku moja, sukari, wanga na mafuta ndio vinavyoleta kitambi.
Ukianza diet ya kula protien vegetables na maji mengi ukakata sukari na mafuta ndani ya miezi 6 tu watu wanaweza sema umeathirika na ukimwi! It removes all the excess fats za tumboni sema na tako pia litaisha.
😂😂😂😂😂 pole sana mrembo[emoji23][emoji23][emoji23]ndo shida ya kupungua inamaliza na tako sasa na sie wenye vya kukalia tabu tupu[emoji853]
Sema kweli? Inatengeneza wowowo niifanye iwe doziTatizo ndimu na maji ya moto inatoa kitambi vilevile inatengeneza wowowo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha Inna hivyo ulivyo unataka kuongeza wowowo tenaSema kweli? Inatengeneza wowowo niifanye iwe dozi
[emoji23][emoji23]asantee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole sana mrembo
"You are what you eat"
Hahah rafiki angu apa hamna kitu flat screen nipe maujuzi ya kuongeza basiHahaha Inna hivyo ulivyo unataka kuongeza wowowo tena
Mpendwa shemeji yangu kanifata pm kanambia kakupendea hiyo flat screen yako na kanipa mkwara nisikuelekezeHahah rafiki angu apa hamna kitu flat screen nipe maujuzi ya kuongeza basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji114]Mpendwa shemeji yangu kanifata pm kanambia kakupendea hiyo flat screen yako na kanipa mkwara nisikuelekeze
Kwa kweli mamy shemeji yangu hataki upendeze 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji114]
Ataibiwa eee[emoji3][emoji3]Kwa kweli mamy shemeji yangu hataki upendeze [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anajua ukiwa na chura upinzani utakuwa mwingi kwakeAtaibiwa eee[emoji3][emoji3]
Nawasalimu
CAG naona hili hajaliona yaani sijui kuna shida gani..Nichukue nafasi hii kuwashauri maana mimi ukiwa na kitambi nakupiga chini.
Kuleni kistaarabu sasa unatoka na mamzi anaagiza chipsi mayai mishaki mitatu sosegi mbili na kuku nusu anasema afungiwe seriously..
Aya kama haotoshi mnatoka apo bidada unakuta anapiga bia zaidi yako..no way lazima likitambi lije..Alafu bora angekuwa anafanya mazoezi.
Msipoolewa mnasema hamna bahati.Badilikeni bhana la sivyo mtaishia kuzalishwa na kuachwa.
"Xnnxx" zama hapo"Kila Kona labda kovu la kuongezewa njia tu,wapo smart wanawake wa kizungu". Mkuu salute kwako.Umewahi kuwachunguza physically wakati unasimamia show/style ya ng'ombe kagoma kunywa maji au unaangalia picha za nyuchi zao kupitia YouTube?
Hahahahaha!!!
Nawasalimu
CAG naona hili hajaliona yaani sijui kuna shida gani..Nichukue nafasi hii kuwashauri maana mimi ukiwa na kitambi nakupiga chini.
Kuleni kistaarabu sasa unatoka na mamzi anaagiza chipsi mayai mishaki mitatu sosegi mbili na kuku nusu anasema afungiwe seriously..
Aya kama haotoshi mnatoka apo bidada unakuta anapiga bia zaidi yako..no way lazima likitambi lije..Alafu bora angekuwa anafanya mazoezi.
Msipoolewa mnasema hamna bahati.Badilikeni bhana la sivyo mtaishia kuzalishwa na kuachwa.
Basi mkuu utakua upo vizuri aise I wish nikuoneSio sababu
Ndiyo kitambi siyo kizuri, lakini kikitokea kwa mwanamke inakua taabu zaidi kwa maana biologically/ kimaumbile mwanamke anatakiwa ahifadhi hayo mafuta ya ziada ktk makalio na ma hips. Sasa hayo mafuta yakija tumboni kwa wingi ujue kuna shida kubwa hapo ktk mfumo wa coordination kwa huyo mwanamke kwamba ziada ya wese imeenda ambako siyo mahala pake. Unakuta mwanamke ana kitambi halafu makalio yamenywea kabisaa yaani hiyo ni shida kubwaa. Wese linalotengeneza msambwanda ndo kwa dada zetu wengine linawatengenezea kitambi kimakosa na kuna sababu makosa hayo yatokee. Somo la Nutrition ni pana saana ndugu.Hapana kitambi sio kizuri kwa wote
duh yako au copy and paste?????