agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,640
- 9,414
Hongereni...huwa nawaonaHaha haha haya bana ila maeneo niliyo ishi na hapa nilipo kuna utamaduni kila J'mosi tunaamka alfajiri kwenda jogging na members pia tunakua na Bonanza kila weekend ili kuimarisha afya zetu kulinda heshima ya ndoa