Vyote hivyo natumia ila sipati kitambiIla vyakula vya mafuta mafuta kama ma chips na ma protini mengi yanachangia sana vitambi kwa me na ke.
Ni asili ya mtu tu
Vyote hivyo natumia ila sipati kitambiIla vyakula vya mafuta mafuta kama ma chips na ma protini mengi yanachangia sana vitambi kwa me na ke.
😀😀😀😀😀Kitambi ni asili ya mtu kwanza sikuhizi sio wanawake tu hadi wanaume matumbo kama vifurushi
Ambao haviwaathiri mpo wachache. Tulio wengi lazima tupate vitambi.Vyote hivyo natumia ila sipati kitambi
Ni asili ya mtu tu
Ambao haviwaathiri mpo wachache. Tulio wengi lazima tupate vitambi.
Mwanaume kua na kitambi hiyo imekaa sawa kimaumbile, lakini mwanamke kua na kitambi ni dosari kimaumbile. Yale mafuta kwa mwanamke yanatakiwa yakae kwenye hipsi na makalio ila kwa konfyusheni yanaenda tumboni kufanya kitambi kimakosa. Mwanaume yeye wese likikaa mbele ni sawa kabisaa ila sasa ikitokea konfyusheni wese linaenda kwenye makalio kimakosa.Kitambi ni asili ya mtu kwanza sikuhizi sio wanawake tu hadi wanaume matumbo kama vifurushi
Hatujui namna ya ulaji ndo shida kufukia kwa sana...elimu ya lishe inahitajikaWanaume asili yetu wala haishangazi... mi hua nashangaa wanawake wa kizungu unakuta anawatoto wakubwa kabisa lkn ukimuona kama hajawahi kujifungua yupo smart kila kona labda kovu la kuongezwa njia tu ila mwanamke wa kibantu akishazaa tu basi anakua bibi
Mbaya zaidi kitambi kinapunguza pafomansi kule 6x6Kama ukiona hivyo jitahidi ufanye kazoezi...kitambi sio kizuri basi tu
Mie ikitokea nikapata itanibidi nianze zoezi
Kuna mmoja alinipostia sura, ni kigongo acha utani, sasa juzi tunachati WhatsApp nikampigia video call, aisee..., hata mcheza sumo ni English figure.We huoni hapa JF Wanaishia tu kupiga picha miguu...
Sijui wanatangaza biashara za viatu..!??
Figure ya juu kama wacheza SUMO...!!!!!!
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Khaaa minyamanyama ya tumbo aipendeziWanaume asili yetu wala haishangazi... mi hua nashangaa wanawake wa kizungu unakuta anawatoto wakubwa kabisa lkn ukimuona kama hajawahi kujifungua yupo smart kila kona labda kovu la kuongezwa njia tu ila mwanamke wa kibantu akishazaa tu basi anakua bibi
Mi napiga game fresh tu...Ndio mkiepuke
Hata sasa nafananishwa na watoto wa mwaka 97 wakati nakaribia ubibiWewe na mwili wako una bahati sana.
Hata ukiwa na miaka mingi kama Zari utaendelea kuonekana kigoli tu
Tumebahatika kua na smart phone hautaji kwenda Maktaba kuu ya taifa kuperuzi vitabu tumieni simu vizuri zina manufaa mengi utajifunza kila kitu ulaji mzuri, aina ya vyakula vyenye tija mwilini, Mazoezi ya kuondoa mafuta, kupanga ratiba ya siku yako hadi wiki unakua makini na smartHatujui namna ya ulaji ndo shida kufukia kwa sana...elimu ya lishe inahitajika
Kwa hiyo kwa mwanamke kitambi ni mwizi wa tako ..[emoji851][emoji851] ?Kabisa..
Mbaya zaidi mwanamke akiwa na kitambi ...kinaliiba tako..
kwahiyo umeamua kumsema demiss?We huoni hapa JF Wanaishia tu kupiga picha miguu...
Sijui wanatangaza biashara za viatu..!??
Figure ya juu kama wacheza SUMO...!!!!!!
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]