Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,498
- 18,354
Napendelea sweet wineDry Wine
Napendelea sweet wineDry Wine
Mtetemo kama ule wa jenereta ???[emoji2][emoji2][emoji2]Wapo wanaume pia wenye vitambi hapajulikani nyuma na mbele ni wap akitembea kote mtetemo
Sio wote vinakuja baada ya kuzaa! Wengine huolewa navyo!
Acha mulo ulikeeee ndo uhai wenyeweeKitambi ni asili ya mtu kwanza sikuhizi sio wanawake tu hadi wanaume matumbo kama vifurushi
Ohooo....Mnatuonea wivu watu na usafiri wetu wa maana😂
Hahahaha kula tembele kwa afya acha uogaYaani nitoke out niagize ugali tena na mboga za majani akiii, bora nibaki home niulie huko[emoji3] [emoji3] .
Out unakula kitu cha tofauti kidogo, na hiki kitambi kuku mzima ,kilo ya Kitimoto inanihusu hahaaaaaa
Unamaanisha hata wewe unacho cha kukushauri anza mazoezi kuyeyusha mafuta yasio na faida yatakuletea magonjwa tu na kupoteza mvuto wako.Hakuna binadamu mwenye asili ya kitambi
Wapige marufuku kilimo cha viazi mviringo
Wanajifanya wanariadhaWe huoni hapa JF Wanaishia tu kupiga picha miguu...
Sijui wanatangaza biashara za viatu..!??
Figure ya juu kama wacheza SUMO...!!!!!!
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
we mimi sina kitambi, karibu dar gym MasakiUnamaanisha hata wewe unacho cha kukushauri anza mazoezi kuyeyusha mafuta yasio na faida yatakuletea magonjwa tu na kupoteza mvuto wako.
tatizo hawafikishwi kileleni... hasa wanawake wa darNawasalimu
CAG naona hili hajaliona yaani sijui kuna shida gani..Nichukue nafasi hii kuwashauri maana mimi ukiwa na kitambi nakupiga chini.
Kuleni kistaarabu sasa unatoka na mamzi anaagiza chipsi mayai mishaki mitatu sosegi mbili na kuku nusu anasema afungiwe seriously..
Aya kama haotoshi mnatoka apo bidada unakuta anapiga bia zaidi yako..no way lazima likitambi lije..Alafu bora angekuwa anafanya mazoezi.
Msipoolewa mnasema hamna bahati.Badilikeni bhana la sivyo mtaishia kuzalishwa na kuachwa.
Sasa hapo hongera alitakiwa apewe baba wa mtoto co wewe kazi kubwa amefanya ujueAsante.
Ila kweli tumbo kubwa na manyonyo ya kupewa kwa nyuma vinakata ctimuYaani nitoke out niagize ugali tena na mboga za majani akiii, bora nibaki home niulie huko[emoji3] [emoji3] .
Out unakula kitu cha tofauti kidogo, na hiki kitambi kuku mzima ,kilo ya Kitimoto inanihusu hahaaaaaa
We huoni hapa JF Wanaishia tu kupiga picha miguu...
Sijui wanatangaza biashara za viatu..!??
Figure ya juu kama wacheza SUMO...!!!!!!
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hongera ya nini??Sasa hapo hongera alitakiwa apewe baba wa mtoto co wewe kazi kubwa amefanya ujue
Umeonaee wewe kitambi huna na bado hujaolewaKuwa na kitambi ni asili ya mtu tu
Mimi hata nile vipi ama ninenepe namna gani tumbo haliji kabisaaa...na wala sio mtu wa mazoezi
Wewe kama sio mtu wa kuoa usioe ,usisingizie vitambi