Wanawake wenye vitambi wamezidi kuongezeka...

Tairus

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
680
Reaction score
1,068
Nawasalimu

CAG naona hili hajaliona yaani sijui kuna shida gani..Nichukue nafasi hii kuwashauri maana mimi ukiwa na kitambi nakupiga chini.
Kuleni kistaarabu sasa unatoka na mamzi anaagiza chipsi mayai mishaki mitatu sosegi mbili na kuku nusu anasema afungiwe seriously..

Aya kama haotoshi mnatoka apo bidada unakuta anapiga bia zaidi yako..no way lazima likitambi lije..Alafu bora angekuwa anafanya mazoezi.

Msipoolewa mnasema hamna bahati.Badilikeni bhana la sivyo mtaishia kuzalishwa na kuachwa.
 
Ukitoka nae out hakikisha anakula ugali kdg na mboga za majani bila nyama, kama analewa mpatie spirit, Gin au whiskey na Coke bariidi kabisa..

Ukimuachia aagize utasikia kitomoto kilo moja, ndizi 6 na chips kidogo usisahau na chachandu. Utadhania anakula baada ya hapo anaenda kufungwa jela
 
Hata kapicha hakuna aaah
 
We huoni hapa JF Wanaishia tu kupiga picha miguu...
Sijui wanatangaza biashara za viatu..!??

Figure ya juu kama wacheza SUMO...!!!!!!

🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
 
Ukitoka nae out hakikisha anakula ugali kdg na mboga za majani bila nyama, kama analewa mpatie spirit, Gin au whiskey na Coke bariidi kabisa..

Ukimuachia aagize utasikia kitomoto kilo moja, ndizi 6 na chips kidogo usisahau na chachandu. Utadhania anakula baada ya hapo anaenda kufungwa jela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuwa na kitambi ni asili ya mtu tu

Mimi hata nile vipi ama ninenepe namna gani tumbo haliji kabisaaa...na wala sio mtu wa mazoezi

Wewe kama sio mtu wa kuoa usioe ,usisingizie vitambi
Bas ujue una roho mbaya

natania [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kitambi ni asili ya mtu kwanza sikuhizi sio wanawake tu hadi wanaume matumbo kama vifurushi
Wanaume asili yetu wala haishangazi... mi hua nashangaa wanawake wa kizungu unakuta anawatoto wakubwa kabisa lkn ukimuona kama hajawahi kujifungua yupo smart kila kona labda kovu la kuongezwa njia tu ila mwanamke wa kibantu akishazaa tu basi anakua bibi
 
Back
Top Bottom