Kizimbuzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 1,569
- 749
Hapana mkuu. Mimi ni mwanaume. SorryWewe
mara nyingi wanaolewa kabla "hakijaota" kumbuka kinakuja baada ya kuzaa.Personality ile bwana, boss wangu ndo anasemaga hiyo!
Kitambi akiwa nacho mmama huwa naona wanapendeza hasa akiwa mrefu halafu ajazie nyuma!
Wadada bana, kitambi sio mpango! Ila sijawahi ona mdada haolewi sababu ya kitambi!
hapana vitambi vinanikata mzuka wa kusukuma kizaziMsukumakizazi duh wewe inabidi upate wenye vitambi
Sina kitambi na majibu sina.Sisi tukiwa nayo, mbuzi kagoma inafaa.
Je, ninyi style gani sasa??
hapana vitambi vinanikata mzuka wa kusukuma kizazi
Hahahaa nimecheka kiboyaSasa nyie mkiwapeleka bar cha kwanza mchemsho wa kuku na castle lite unategemea nini?
Wabadilishieni menu anzeni kuwapa...chai ya rangi na mihogo ya pilipili.
HahahaaKuwa na kitambi ni asili ya mtu tu
Mimi hata nile vipi ama ninenepe namna gani tumbo haliji kabisaaa...na wala sio mtu wa mazoezi
Wewe kama sio mtu wa kuoa usioe ,usisingizie vitambi
Sio wote vinakuja baada ya kuzaa! Wengine huolewa navyo!mara nyingi wanaolewa kabla "hakijaota" kumbuka kinakuja baada ya kuzaa.
Mnatuonea wivu watu na usafiri wetu wa maana😂We huoni hapa JF Wanaishia tu kupiga picha miguu...
Sijui wanatangaza biashara za viatu..!??
Figure ya juu kama wacheza SUMO...!!!!!!
🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Teh teh teh...Nilishawahi andika hapa na narudia tena...
Hao wenye vitambi ndio watamu haswa na raha kweli kuwa nao...
Ile shughuli ya kuitafuta mbunye, inayofanywa na abdalla kichwa wazi inanoga mno...
Yaani unakuta mara abdalla kagonga kitovu mara kagonga uvungu wa tumbo...halafu mwishoooni ndio anazama mahali penyewe....
Leo wenye vitambi siwaoni humu..ngoja nibebe jukumu lote..kwakqwl wenye vitambi tunakula km mchwa..haha balaa
Yaani nitoke out niagize ugali tena na mboga za majani akiii, bora nibaki home niulie huko[emoji3] [emoji3] .Ukitoka nae out hakikisha anakula ugali kdg na mboga za majani bila nyama, kama analewa mpatie spirit, Gin au whiskey na Coke bariidi kabisa..
Ukimuachia aagize utasikia kitomoto kilo moja, ndizi 6 na chips kidogo usisahau na chachandu. Utadhania anakula baada ya hapo anaenda kufungwa jela
Hakuna binadamu mwenye asili ya kitambiWanaume asili yetu wala haishangazi... mi hua nashangaa wanawake wa kizungu unakuta anawatoto wakubwa kabisa lkn ukimuona kama hajawahi kujifungua yupo smart kila kona labda kovu la kuongezwa njia tu ila mwanamke wa kibantu akishazaa tu basi anakua bibi