Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,612
Hata mimi nikimtomb.a mwenye kitambi sienjoy kabisa na huwa sikojoi ng'o
😂😂😂😂😂We huoni hapa JF Wanaishia tu kupiga picha miguu...
Sijui wanatangaza biashara za viatu..!??
Figure ya juu kama wacheza SUMO...!!!!!!
🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Ntakuja tu play aerobic dancewe mimi sina kitambi, karibu dar gym Masaki
HahahaaaaahaWe huoni hapa JF Wanaishia tu kupiga picha miguu...
Sijui wanatangaza biashara za viatu..!??
Figure ya juu kama wacheza SUMO...!!!!!!
🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Allahu akbar!!nimecheka sanaaaa!!Ahsante brother[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukitoka nae out hakikisha anakula ugali kdg na mboga za majani bila nyama, kama analewa mpatie spirit, Gin au whiskey na Coke bariidi kabisa..
Ukimuachia aagize utasikia kitomoto kilo moja, ndizi 6 na chips kidogo usisahau na chachandu. Utadhania anakula baada ya hapo anaenda kufungwa jela
Tatizo ndimu na maji ya moto inatoa kitambi vilevile inatengeneza wowowo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hayo ya kupewa Kwa nyuma ndyo aje aje?, sijakuelewaa mkuu, kwahiyo tusile vzr sababu ya vitambi?, tukitolewa out tuagize makande + kabichi, big noooo[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ila kweli tumbo kubwa na manyonyo ya kupewa kwa nyuma vinakata ctimu
Hahaaaa, home nile tembele na out pia dooohHahahaha kula tembele kwa afya acha uoga
Ukitoka nae out hakikisha anakula ugali kdg na mboga za majani bila nyama, kama analewa mpatie spirit, Gin au whiskey na Coke bariidi kabisa..
Ukimuachia aagize utasikia kitomoto kilo moja, ndizi 6 na chips kidogo usisahau na chachandu. Utadhania anakula baada ya hapo anaenda kufungwa jela
Protini inasababisha vp kitambi?, hata mafuta yana mchango mdogo Sana katika kusababisha kitambi visababishi vikuu vya kitambi ni wanga na sukari sababu vikiingia mwilini hubadilishwa na kuhifadhiwa kama mafutaIla vyakula vya mafuta mafuta kama ma chips na ma protini mengi yanachangia sana vitambi kwa me na ke.
Mimi hata uwe fundi kiasi gani ukishakua na kitambi tu no appetiteKuolewa ni zaidi shape kuna tabia na utamu na ufundi.