Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

NI KWELI KWA 100% BILA CHENGA,Mi nna garden love na ndevu ,sio siri sina histoia ya kukauka pesa kwenye akaunti yangu na kuna muda mwingin eninaweza kuhisi naishiwa pesa ghafla unakuta nnaweza nikapigiwa simu,dada nimekuingizia hela labda ni deni nilikuwa nadai au hata zawadi,na kwenye swala la mafanikio ni kweli tupo vizuri kweli sometimes ninaweza nikakaa na mwanaume kama ni mtafutaji nnaweza nikampa mawazo makubwa ambayo yanampa mafanikio ,na nna tabia ambayo nikilala na mwanaume the next day anakuwa na upenyo tofautitofauti wa kuingiza hela,ila shida ambayo huwa naiona ni kwenye relationship kwani tunakuwaga na mawazo makubwa ambayo nadhani kunamuda tunawaboa wanaume tunaokuwaga nao kwani wanaume wanapenda wao ndio wawe na mawazo zaidi ya mwanamke,kwahiyo akiwa na mwanamke wa dizaini hii anaweza akapata mafanikio tu na kula kona,...mafanikio kwa watu tulioumbwa hivi ni makubwa sana mi namshukuru mungu japo watu wakiniona wanashangaa na kuniona mungu kanikosea but mi najisikia vizuri kuwa hivi.
 
Wewe Ni yule afande wa usemaji?
 
Hayo mengine tusubiri kikwete akujibu, ila hili la TANESCO siwezi nyamaza, bei ya umeme ipo juu hata kabla net Group hawajapewa tenda, yaani tuseme tangu shirika lilipo anzishwa, huwa gharama zingine zinatokana na ukweli kwamba baadhi ya watumiaji hawalipi bili, kama serikali, chama nk. Hili linasababisha wanaolipa walipe zaidi.

sababu ingine ni mikataba mibovu ya tangu enzi, ama waliingia hiyo mikataba kwa makusudi ili wapate takrima, ama waliingia hiyo mikataba kutokana na shinikizo la WAKOLONI (k.v. Benki ya dunia nk.) Hivyo usitegemee tanesco ishushe bei wakati bado inaingia mikataba ya kinyonyaji kama ya IPTL na SONGAS, tena shirika bado lina madeni zaidi ya bilioni tano! (utaambiwa walinunua vipuri, sijui kwanini hawakulipa "cash"?)

Suluhisho la yote ni kubadili sera ya nishati, lazima nchi ijitegemee katika nihati na tusibinafsishe au kuwapa wageni jukumu la kutuzalishia nishati.

Lolote lile lifanyike ili taifa liendelee na jukumu la kuzalisha umeme ndipo angalau bei inawaza pungua. vyanzo vya umeme wa uhakika tunavyo kama vile Gesi na makaa ya mawe, nahata maporomoko ya maji bado yapo mahala pengi tu nchini?

Umeme wa maji ndio ulio nafuu baada ya ule wa atomoki, juhudi zifanyike ili kuzalisha umeme mdogo mdogo wa maji katika mito yote nchini.

Pia umeme wa nguvu ya upepo na wa mionzi ya jua unafaa sana hasa vijijini ambako miundombinu ya gridi ya taifa haijafika.

Aisee mkuu hao wanawake kweli wanabahati.
Huyu msemaji wa polisi kabla ya kupandishwa cheo alikuwa ni afisa wa kawaida akiwa na mumewe Senzo 'operesheni kamanda wa mkoa Katavi'. Lakini kutokana na magomvi ya kifamilia walitengana na ndipo hapo huyu mama alipong'ara. Inaonekana yule mume alikua anafunika mafanikio ya mkewe.
 
NI KWELI KWA 100% BILA CHENGA,Mi nna garden love na ndevu ,sio siri sina histoia ya kukauka pesa kwenye akaunti yangu na kuna muda mwingin eninaweza kuhisi naishiwa pesa ghafla unakuta nnaweza nikapigiwa simu,dada nimekuingizia hela labda ni deni nilikuwa nadai au hata zawadi,na kwenye swala la mafanikio ni kweli tupo vizuri kweli sometimes ninaweza nikakaa na mwanaume kama ni mtafutaji nnaweza nikampa mawazo makubwa ambayo yanampa mafanikio ,na nna tabia ambayo nikilala na mwanaume the next day anakuwa na upenyo tofautitofauti wa kuingiza hela,ila shida ambayo huwa naiona ni kwenye relationship kwani tunakuwaga na mawazo makubwa ambayo nadhani kunamuda tunawaboa wanaume tunaokuwaga nao kwani wanaume wanapenda wao ndio wawe na mawazo zaidi ya mwanamke,kwahiyo akiwa na mwanamke wa dizaini hii anaweza akapata mafanikio tu na kula kona,...mafanikio kwa watu tulioumbwa hivi ni makubwa sana mi namshukuru mungu japo watu wakiniona wanashangaa na kuniona mungu kanikosea but mi najisikia vizuri kuwa hivi.

ninakuomba mambo mawili
1)mimi ni mtafutaji na nina kipesa kidogo hapa nimekosa mawazo ya kuinvest wapi embu nishauri

2)ninaomba nilale na wewe ili niwe na mpenyo wa fweza (kuondoa nuksi)

mimi siboeki na mwanamke mwenye mawazo chanya

I can't wait to see those Garden love
 
Ni wazuri coz of ivyo vichocheo vya kiume. KWA UJUMLA HAWA VIUMBE WA KIKE WENYE NDEVU....WANA UTHUBUTU. Very hard worker, skillful etc.
 
I got one...she was so sweeeet....yaaani aking'ang'ania sasa pale anapokaribia kihonda....weeeee...utadahani anakupiga roba
 
Aisee mkuu hao wanawake kweli wanabahati.
Huyu msemaji wa polisi kabla ya kupandishwa cheo alikuwa ni afisa wa kawaida akiwa na mumewe Senzo 'operesheni kamanda wa mkoa Katavi'. Lakini kutokana na magomvi ya kifamilia walitengana na ndipo hapo huyu mama alipong'ara. Inaonekana yule mume alikua anafunika mafanikio ya mkewe.

Nyota hazikuwa sawa.
 
Me ninazo..na maneno ya bujibuji ni kweli kabisa...lakini napenda kuzitoa maana kuna mijamaa uwa yananiambia nipe na mimi ndevu nasikia zina utajirri,nawaona wazushi tu..utajiri kwenye ndevu..

Usizitoe tena dada,kwanza huwa zinapendeza na unapoteza bahati.
 
Back
Top Bottom