Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

^^
Nimewahi kusikia mahali kuwa ni wazuri katika biashara,pia ukiwaoa ukawa msikivu ktk ushauri wao unaweza kuwa tajiri.
Sikuamini maana isiwe kama maneno mbofu mbofu ya Hayati Mr.Ebbo
^^

yeah nikweli kabisa Himidini
 
Last edited by a moderator:
Wana homoni za kiume ndio maana wengi hawaogopi kujaribu, ni wepesi katika kufanya maamuzi magumu na niwavumilivu sana.
Wengi wao wanaweza kusimama kwa miguu yao wenyewe, bila kutegemea buzi wala kidumu.

Wapo ambao hawana ndevu na ni ngangari kinouma kwahiyo hakuna ukweli kutoa maamuzi magum ni ungangari wa mtu tu
 
Na kwa kuongezea...ni watamu sana..mie ninaye. Asikuambie mtu..pia ni smart kichwani...na wanaweka hoja mezani kiasi kwamba ukiwa legelege anakuwa yeye baba wewe unakuwa mama. Kifupi ni majembe na ndio maana wengi wao wana-mafanikio ki-maisha. Go geter attitudes.

Exactly!!!!!!!
 
Wana homoni za kiume ndio maana wengi hawaogopi kujaribu, ni wepesi katika kufanya maamuzi magumu na niwavumilivu sana.
Wengi wao wanaweza kusimama kwa miguu yao wenyewe, bila kutegemea buzi wala kidumu.

we umenena...
 
leo ndo nimejua, ninavyo vijindevu vichache ila bahati sina na hela sina au ndo kwasababu navichomoaga fasta pindi tu vikiota
usikute ndo nafukuza bahati.maana hakuna anayejua ninavyo zaidi ya ndugu yangu wa damu leo nimetoa siri

hahahaaa wewe ni kama mimi, ila thank God mafanikio ya vijindevu nayaona LOL!!!!
 
mkuu bombom... hormon zinaongeza ladha kwenye mapenzi?
Katika kundi hili la hormon ya androgens au steroid kuna testosterone. Homoni hii inapatikana zaidi ktk mwili wa mwanaume, ingawaje ipo pia katika mwili wa mwanamke. Homoni hii, kupitia homoni nyingine iitwayo paracrine hormone husaidia kuzalisha mbegu za kiume. Hormone ya testosterone inahusika moja kwa moja na ukuaji wa kijana wa kiume (kuongezeka sauti, kukua kwa via vya uzazi kama penis, korodani, pamoja na tezi dume -prostate gland).

Kukosekana kwa kiwango cha kutosha kwa homoni hii kunaweza kusababisha mwanaume mwili wake kukosa misuli yenye nguvu, kukosa ndevu au nywele maeneo muhimu, kama kifuani (love garden), kutokusimamisha sawasawa na kupungua kwa nguvu za kiume, kuongezeka kwa mafuta mwilini (body fat). nk
 
Kama ni hivyo huyu asingekuwa ndava


tanzania-security-senso-340_227.jpg


huoni ameshikilia kitengo nyeti cha utungaji uongo na kuusemea public kwa ujasiri bila woga.
 
Mwanamke mwenye ndevu ni utajiri. Ukimpata muoe!
 
Back
Top Bottom