Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

Imani za kishirikina ni mbaya sana. hata wanaouwa albino wanategemea kupata mafaninikio maishani!!!
 
NI KWELI KWA 100% BILA CHENGA,Mi nna garden love na ndevu ,sio siri sina histoia ya kukauka pesa kwenye akaunti yangu na kuna muda mwingin eninaweza kuhisi naishiwa pesa ghafla unakuta nnaweza nikapigiwa simu,dada nimekuingizia hela labda ni deni nilikuwa nadai au hata zawadi,na kwenye swala la mafanikio ni kweli tupo vizuri kweli sometimes ninaweza nikakaa na mwanaume kama ni mtafutaji nnaweza nikampa mawazo makubwa ambayo yanampa mafanikio ,na nna tabia ambayo nikilala na mwanaume the next day anakuwa na upenyo tofautitofauti wa kuingiza hela,ila shida ambayo huwa naiona ni kwenye relationship kwani tunakuwaga na mawazo makubwa ambayo nadhani kunamuda tunawaboa wanaume tunaokuwaga nao kwani wanaume wanapenda wao ndio wawe na mawazo zaidi ya mwanamke,kwahiyo akiwa na mwanamke wa dizaini hii anaweza akapata mafanikio tu na kula kona,...mafanikio kwa watu tulioumbwa hivi ni makubwa sana mi namshukuru mungu japo watu wakiniona wanashangaa na kuniona mungu kanikosea but mi najisikia vizuri kuwa hivi.
appliciate you!
 
Back
Top Bottom