Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,653
Sidhani kama kuna ukweli ktk hili mimi nina ndevu na pesa sina
Unatakiwa ugundue kipaji chako 'mbarikiwa' !
Jaribu kujitangaza wewe ni 'Nabii' halafu uone utakavyo tunzwa mapesa, hata Mzee wa upako hatakupata !