Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

i need to do some ltl research before i can comment any....
 
Mi nina mafanikio sana.. Na kwenye mapenzi mwenzangu ananikubali sanaaaaaaa ..

Confidence ndio usisemee .

Ila ndevu sina labda kama zimeota ndani kwa ndani.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Basi wenye ndevu watajifanya hadimuuu?

Nitafanya uhakiki mwenyewe...asanteni kwa mawazo endelevu!!!
 
Yule msemaji wa kile chombo cha ulinzi naye kundi hili?
 
Nina midevu, na sijafanikiwa kimaisha wala kimapenzi. Sio kweli..............

hapo ulipo umefanikiwa tayari, ungekuwa huna ndevu labda kwa sasa ungekuwa visiwani unahudumia wavuvi.
 
Asilimia kubwa ya wachangiaji waliothubutu kuwa na mahusiano na hawa warembo wenye ndevu ni ukweli mtupu,,mimi nilikuwa nae,,kwakweli ni mtamu sana,,naninamkubali sana,,alinifanya nipige hatua kimaisha,,sio tegemezi hata kidogo,,mara nyingi alikuwa ananiweka mjini sana tu,,niwapole ,,wanyenyekevu na naniwasikivu sana,,na wakipenda wanapenda kweli,,,kutokana na utukutu wangu,,nilikuwa namliza kila mara,,,,ilifika hatua tukaachana,,lakini mpaka leo najitaidi kumrudisha kwenye imaya yangu,,,imeshindikana,,,,
 
Sidhani kama kuna ukweli ktk hili mimi nina ndevu na pesa sina
 
Back
Top Bottom