Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

Me ninazo..na maneno ya bujibuji ni kweli kabisa...lakini napenda kuzitoa maana kuna mijamaa uwa yananiambia nipe na mimi ndevu nasikia zina utajirri,nawaona wazushi tu..utajiri kwenye ndevu..

Kama ni hivyo huyu asingekuwa ndava

tanzania-security-senso-340_227.jpg

Duu, sasa huyu inabidi aende babashopu.

mie mwenyewe nimeona kadhaa na wamefanikiwa pia kwa kiasi chao. Wengi wao wanonekana kuwa stable katika kila wanachofanya.

Lol...hakika imani zipo nyingi hata nyingine twakosa kuzifahamu!

ni kweli wanawake wenye ndevu huwa wana bahati. mi wachache nnaowajua mambo yao safi.

mafanikio yanaendana na confidence na kuthubutu tu, bila hayo hata midevu kama ya kiume haina maana, kama issue ingekuwa ni ndevu basi wanaume wote wangekuwa na maisha bora! ili uwe na ndevu ni kweli inatakiwa kuwa na vichocheo hivyo vya kiume, lakini si ndevu pekee, bali na vitu kadha wa kadha ambavyo vipo ktk vinasaba vinavyomfanya mtu awe aidha jasiri ama la pamoja na fikra ama mitazamo........;

ila kweli wengi wao wanaweza kujisimamia.

Wana homoni za kiume ndio maana wengi hawaogopi kujaribu, ni wepesi katika kufanya maamuzi magumu na niwavumilivu sana.
Wengi wao wanaweza kusimama kwa miguu yao wenyewe, bila kutegemea buzi wala kidumu.

Kweli kabisa baada ya kusoma hii nimegundua kitu!!

Baadhi ya wanaume wanawasifia sana wanawake wenye ndevu,

Inasemakana wanautofauti mkubwa sana hasa kwenye mapenzi na mafanikio kimaisha..

Binafsi sijawahi kulidhibitisha hili...

Wadau wa MMU, mnajua nini juu ya hili?

Afu si wengi wenye nazo!
Hali hii ni matokeo ya kuzidi kwa vichocheo vya kiume (hormonal imbalance) hasa kutokana na kuzidi kwa homoni ya Androgen au kuwepo kwa genes zisizokuwa za kawaida, hali inayofahamika kama hypertrichosis. Kuna wanawake wengi maarufu walikuwa na hali hiyo kama Helena Antonia wa Austria, Annie Jones, Jennifer Miller na wengine wengi ambao siyo tu kwamba walikuwa na ndevu, lakini pia walikuwa na sharafa kabisa kama muonekano wa huyu hapa.View attachment bearded woman.pdf

mkuu bombom... hormon zinaongeza ladha kwenye mapenzi?

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom