Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

Ni muda mrefu sana nawapenda wadada wenye ndevu,na zaidi zikiwa chache kwny kona ya kidevu...Alhamdulillah

ILa naomba nijuzwe ni kwanini sikuhizi ndio wadada wengi wanaota sana ndevu? Nini sababu? Sidhani kama wote wanakuwa na za kurithi.
 
mmi mwnywe nina vijidevu vinne virefu kidogo,huwa watu wananisifia kwa upole,ukarimu na mvumilivu kwenye ndoa,na wengne husema eti ni kwa sabbu ya vijidevu vyangu,

Yule mdg wako wa kike yeye hana jamani???
 
Jamani hakuna aliepita kwa SSP SENZO yule wa Polisi atujuze kwenye mambo yetu yukoje!!?
 
Hamna kitu maneno, nywele au ndevu ni kiungo tu hakina nyongeza ya tofauti, zinaota na kunyolewa
 
na vipi kuhusu wenye mustach wana sifa ipi?
 
Ninandevu kidevun na kifuan kama dume ni kweli nimebahatika kuolewa yamkini labda ni bahat za midevu yangu lkb sijabahatika kuwa na pesa au utajili labda niache zizidi kuwa ndefu ntapata utajiri
 
Mmmmmmhhhh....hii mada nimesoma post kwa post..neno kwa neno hadi nukta
 
Kisayansi, wanawake wenye ndevu, love garden, manyoya miguuni na mikononi, n.k., huwa wana homoni nyingi za kiume kuliko za kike. Kwa kuwa homoni ndo mambo yote, ni wakakamavu kama midume na kule kwenye sita kwa sita, mara nyingi, wanawazidi wenzao wenye homoni za kike nyingi na za kiume kidogo. With similar reasoning, dume likiwa na sauti nyororo, ndevu hakuna, na mambo mengine, homoni za kike zinakuwa zime dominate za kiume. Jisomee mambo ya projestrone na testosterone. In fact, they are good in doing it....
 
Binafsi napingana na hili,nimethibitisha kwa macho yangu nakuishi nao wanne kwa nyakati tofauti...hakuna ukweli hapo hata kidogo..ni IMANI za kimazoea kama ilivyo imani ya wenye upara wana akili sana...
 
Subir nimtafute mwenye ndefu kam osama itakuwa anabaraka nyingi au hata mfano wake
 
Hahahahah yani leo mmeniacha hoii, huwa zikitokea tu nazichomoa fasta, kuanzia sasa nitakuwa naziacha huku natembeza kidevu juu juu hahahahahah

Pia usisahau kuwasiliana na mm PM kwa ushauri zaidi. karibu sana.
 
Kisayansi, wanawake wenye ndevu, love garden, manyoya miguuni na mikononi, n.k., huwa wana homoni nyingi za kiume kuliko za kike. Kwa kuwa homoni ndo mambo yote, ni wakakamavu kama midume na kule kwenye sita kwa sita, mara nyingi, wanawazidi wenzao wenye homoni za kike nyingi na za kiume kidogo. With similar reasoning, dume likiwa na sauti nyororo, ndevu hakuna, na mambo mengine, homoni za kike zinakuwa zime dominate za kiume. Jisomee mambo ya projestrone na testosterone. In fact, they are good in doing it....

Napita tu hapa ila nitarudi na mrejesho mkuu
 
Back
Top Bottom