Mbona ni ya siku nyingi?
Hukuiona?
Basi sawa msalimie mumeo..
Baadhi ya wanaume wanawasifia sana wanawake wenye ndevu.
Inasemakana wanautofauti mkubwa sana hasa kwenye mapenzi na mafanikio kimaisha.
Binafsi sijawahi kulidhibitisha hili.
Wadau wa MMU, mnajua nini juu ya hili?
Halafu si wengi wenye nazo.
^^
Nimewahi kusikia mahali kuwa ni wazuri katika biashara,pia ukiwaoa ukawa msikivu ktk ushauri wao unaweza kuwa tajiri.
Sikuamini maana isiwe kama maneno mbofu mbofu ya Hayati Mr.Ebbo
^^
Baadhi ya wanaume wanawasifia sana wanawake wenye ndevu.
Inasemakana wanautofauti mkubwa sana hasa kwenye mapenzi na mafanikio kimaisha.
Binafsi sijawahi kulidhibitisha hili.
Wadau wa MMU, mnajua nini juu ya hili?
Halafu si wengi wenye nazo.
hyu mwanamke hana lolote utonvu tu kumani