Wanawake wengi huomba kufanyiwa upasuaji badala ya kujifungua kawaida

Pole na Hongera kwa Dada zetu.

Kwa mifano hii halisi. Bado kuna kima hazitaelewa..
 
Alishakupa mfano wa dada yake kule juu.
Utamwambia Nini!? .
Tatizo lake huwa ana waza hasi kila siku.
Anaumia Kwanini yeye atafute hela kwa jasho halafu mkewe asizae kwa uchungu
Mi nadhani kabla hawajashadadia kwamba wanawake wanapenda kupasuliwa inawapasa wajue kwanza kile kidonda uchungu wake ukoje hasa baada ya kujifungua na ile ganzi kuisha, hapo ndio watajua kama yupo anayeitaka basi ana moyo wake au sababu zake ambazo ataona kuwa na kile kidonda ni jambo dogo.
 
Unadhani wanajua Basi.
Bado vijana wadogo.. Wala hawajaoa..
Sio rahisi kujua hayo dada
Pia huyu Lizarazu ana mfumo dume uliopitiliza.. too much is harmful.. yaani hana kiasi kabisa
Lizarazu usome comment ya dada hapo juu
 
Kabisa.
 
Hizo tafiti zako umezifanyia wapi? Una uhusiano upi na vyumba vya kuzalishia?
 

Mkuu ndani ya JF usifikiri mada za kitaalamu unazijua kuliko watu wengine, kwa ufupi ukitaka kuona mkeo anazaa huku unachat na kucheka naye basi tafadhali ni PM ntakuelekeza na kwa reference hebu chukua jina langu hilo la hapa JF halafu google ili ujue ninaongelea kitu gani.
 
Earth creatures, mostly women, never cease to amaze me how they make their decisions.

I mean child birth by operation is more dangerous than vaginal birth - A slight mistake could mean death and they still opt for it just because they want to avoid vaginal laxity. Sad!

People pay funny high prices for a short-lived pleasure, sex. I think there should be a law where child birth by operation is only mitigated when absolutely necessary.
 
Hivi nasikia ukizaa kwa opereation inaacha alama hapa kwenye tumbo?

Heri nije kuzaa kwa uchungu wa kupush kuliko kubakiza alama tumboni
Wenzio wanakwepa kuwa na vikojoleo vipana alama zinatoka tu. Na hivi siku hizi kuna bio oil, alama haziwatishi kabisa. You just apply the oil for some time, and voila, no scars. No nothing!
 
Point na majibu yote yako hapa,kama case ni kuogopa kutanuka maumbile ya uzazi au maziwa kulala,kiuhalisia hii process navyojua huwa inaanza tokea mimba inapoingia,kila kitu kinaongezeka ukubwa ili ku accomodate yajayo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…