Wanawake wengi huomba kufanyiwa upasuaji badala ya kujifungua kawaida

Tattoo

Tattoo

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Messages
2,468
Points
2,000
Tattoo

Tattoo

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2018
2,468 2,000
Habari wakuu na wadogo wote.

Hii si habari njema hata kidogo. Kumekuwa na ongezeko la wanawake wanaojifungua kwa njia ya upasuaji kuliko njia ya kawaida. Na habari yakusikitisha ni kwamba, wanawake wengi huomba wenyewe kufanyiwa upasuaji.

Kwanza naomba nisiulizwe chanzo cha habari hii. Huu ni utafiti wangu binafsi, kutokana mizunguko ya kila siku na watu ninaokutana nao. Source kubwa ya habari hii ni mchumba wangu ambaye ni hufanya kazi kwenye idara ya afya sehemu fulani.

Imekuwa ni jambo la kawaida kwa wanawake wengi kuomba wafanyiwe operation badala ya kusubiri kupush kama ambavyo imezoeleka. Kinachowapelekea wengi kupenda kufanyiwa upasuaji ni sababu za urembo tu na kupenda starehe. Hawana lingine. Yaani cosmetic and leisure reasons are behind the whole movement. Wapo wanaodai sehemu zao za siri zitatanuka na hivyo kupoteza mvuto baada ya kujifungua na wengine wakidai kujifungua kwa kupush ni maumivu sana hawawezi kuyavumilia. Wadada hawataki shida kabisa. Ikumbukwe hospitali binafsi ni biashara, na motive za kampuni (biashara) ni kumaximize profit. So ukija unataka kupasuliwa tutakupasua tu sisi tupige hela vizuri.

Kasumba hii inaendelea hata kwenye kunyonyesha watoto. Wanawake hawataki kunyonyesha watoto matiti yao kwa sababu wanadai yataharibika na kupoteza mvuto. Hali si shwari huko mahospitalini, hasa ya private ambako kuna uhuru wa huduma, specilists wengi wanafatwa na wadada wakidai wawapasue hawana mpango wa kupush. Uchunguzi umegundua wengi wa wanaopenda kupasuliwa ni wanawake wenye kipato cha kati ambao wanaweza kumuda gharama za upasuaji, either kwa bima au kwa kulipa cash. Ambao wengi ni wenye kiwango fulani cha elimu yaani tunaowaita wasomi huku katika jamii yetu.

Kule jijini Mwanza kuna afisa wa polisi mmoja mkewe alikua client wangu katika mambo fulani. Dada yule anayeitwa Eunice alikua na watoto 3 mwaka 2016. Watoto wake wote 3 aliwazaa kwa njia ya upasuaji ambapo kuna 2 au wote watatu (sikumbuki vizuri) wanafanana tarehe zao za kuzaliwa ikiwa ni juhudi zake mwenyewe kupitia kujifungua kwa njia ya upasuaji. Kimsingi yeye hataki kabisa masuala ya kuumia uchungu wakati wa kujifungua.

Hiyo ndio hali halisi
 
M

maseyu

Member
Joined
Oct 31, 2016
Messages
37
Points
125
M

maseyu

Member
Joined Oct 31, 2016
37 125
Ni kweli binafsi wanakuja wengi wakiwa na shida mbalimbali za kiafya,ukimuuliza kwa nini una tumbo kubwa utasikia "Nilijifungua kwa upasuaji dr". Ukiuliza ulipatwa na shida gani mpaka ukajifungua kwa upasuaji wengi useme ni kuzuia uke usitanuke ili waume zao wasijetoka nje ya ndoa.Kimsingi dada zetu wanafanya kila wawezacho kuhakikisha waume zao wanaridhika.
 
Depal

Depal

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Messages
2,872
Points
2,000
Depal

Depal

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2018
2,872 2,000
Ni kweli binafsi wanakuja wengi wakiwa na shida mbalimbali za kiafya,ukimuuliza kwa nini una tumbo kubwa utasikia "Nilijifungua kwa upasuaji dr". Ukiuliza ulipatwa na shida gani mpaka ukajifungua kwa upasuaji wengi useme ni kuzuia uke usitanuke ili waume zao wasijetoka nje ya ndoa.Kimsingi dada zetu wanafanya kila wawezacho kuhakikisha waume zao wanaridhika.
Ooh! Kwani ukizaa kwa upasuaji ndio unakuwa na tumbo kubwa au me ndio sijaelewa hapo?
Au umemaanishaje Dr
 
lazalaza

lazalaza

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Messages
2,425
Points
2,000
lazalaza

lazalaza

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2012
2,425 2,000
Wengine wamechelewa kuzaa, kupush wanaogopa kukosa Mtoto, Upasuaji wanakuwa na uhakika wa kupata Mtoto. Umri watu wanawake wengine wanachelewa kupata watoto, wengine mimba kila ukiingia zinatoka, wengine Mtoto anakuwa amejifunga
 
Extra miles

Extra miles

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Messages
1,215
Points
2,000
Extra miles

Extra miles

JF-Expert Member
Joined Apr 18, 2018
1,215 2,000
Baadhi hutaki kujifungua jwa njia ya upasuaji kuepuka kuzaa watoto wenye mtindio wa ubongo kutokana na complications katika kujifungua
 
kamituga

kamituga

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2019
Messages
795
Points
1,000
kamituga

kamituga

JF-Expert Member
Joined May 31, 2019
795 1,000
Kuna kitu hapo kimefichwa nyuma ya pazia acha nitumbue jipu km mkeo anajifungua kwa oparation anazuga ni kwa ajiri ya urembo nasema hapana.
Sababu ya wanawake kukwepa kupush na kukimbiria kisu ni (USODOMA NA UGOMORA) Wengi wanaogopa ku push wanajua siri itakua imefichuka maana kwenye ku push pale km unafanya iyo michezo ya kishetani lazima kinyesi kipite na pumzi ikate mpka wazibe hilo tundu ndio anaweza ku push

Hivyo basi ukute mkeo anafanya iyo michezo nje ya ndoa mme ajui na mara nyingi ndoa zimevunjika kwenye chumba cha kujifungulia kina mama mme anagundua tabia za kishetani za mke wake kupitia kujifungua sasa sikuizi wamekua wajanja sababu zimekua nyingi ndio maana wote wanakimbilia huko.
 
kamituga

kamituga

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2019
Messages
795
Points
1,000
kamituga

kamituga

JF-Expert Member
Joined May 31, 2019
795 1,000
Baadhi yao wanafanya mapeni kinyume na maumbile kwa kukimbia aibu wakat wa kujjifungua wanaamua kutumia njia ya upasuaji
Fact huo urembo wanazuga tu mbona kisu ndio kinaharibu muonekano maana tumbo linakua kubwa hao ni mashetani tu km mashetani wengine.
 

Forum statistics

Threads 1,336,421
Members 512,614
Posts 32,538,891
Top