Wanawake wengi huomba kufanyiwa upasuaji badala ya kujifungua kawaida

CS inasaidia kuepuka risks nyingi sana. Mie mtoto wangu wa tatu nimepigwa kisu na ningejua tangu mwanzo ni kisu nisingekubali kuteseka.
 
Habari wakuu na wadogo wote.

Hii si habari njema hata kidogo. Kumekuwa na ongezeko la wanawake wanaojifungua kwa njia ya upasuaji kuliko njia ya kawaida. Na habari yakusikitisha ni kwamba, wanawake wengi huomba wenyewe kufanyiwa upasuaji.

Kwanza naomba nisiulizwe chanzo cha habari hii. Huu ni utafiti wangu binafsi, kutokana mizunguko ya kila siku na watu ninaokutana nao. Source kubwa ya habari hii ni mchumba wangu ambaye ni hufanya kazi kwenye idara ya afya sehemu fulani.

Imekuwa ni jambo la kawaida kwa wanawake wengi kuomba wafanyiwe operation badala ya kusubiri kupush kama ambavyo imezoeleka. Kinachowapelekea wengi kupenda kufanyiwa upasuaji ni sababu za urembo tu na kupenda starehe. Hawana lingine. Yaani cosmetic and leisure reasons are behind the whole movement. Wapo wanaodai sehemu zao za siri zitatanuka na hivyo kupoteza mvuto baada ya kujifungua na wengine wakidai kujifungua kwa kupush ni maumivu sana hawawezi kuyavumilia. Wadada hawataki shida kabisa. Ikumbukwe hospitali binafsi ni biashara, na motive za kampuni (biashara) ni kumaximize profit. So ukija unataka kupasuliwa tutakupasua tu sisi tupige hela vizuri.

Kasumba hii inaendelea hata kwenye kunyonyesha watoto. Wanawake hawataki kunyonyesha watoto matiti yao kwa sababu wanadai yataharibika na kupoteza mvuto. Hali si shwari huko mahospitalini, hasa ya private ambako kuna uhuru wa huduma, specilists wengi wanafatwa na wadada wakidai wawapasue hawana mpango wa kupush. Uchunguzi umegundua wengi wa wanaopenda kupasuliwa ni wanawake wenye kipato cha kati ambao wanaweza kumuda gharama za upasuaji, either kwa bima au kwa kulipa cash. Ambao wengi ni wenye kiwango fulani cha elimu yaani tunaowaita wasomi huku katika jamii yetu.

Kule jijini Mwanza kuna afisa wa polisi mmoja mkewe alikua client wangu katika mambo fulani. Dada yule anayeitwa Eunice alikua na watoto 3 mwaka 2016. Watoto wake wote 3 aliwazaa kwa njia ya upasuaji ambapo kuna 2 au wote watatu (sikumbuki vizuri) wanafanana tarehe zao za kuzaliwa ikiwa ni juhudi zake mwenyewe kupitia kujifungua kwa njia ya upasuaji. Kimsingi yeye hataki kabisa masuala ya kuumia uchungu wakati wa kujifungua.

Hiyo ndio hali halisi

Mods kama heading haijakaa vizuri rekebisheni.

Wengi sana wanafanya mapenzi kinyume cha maumbile na wakati wa kusukuma badala ya kutoka mtoto kinyesi kinatoka au wanawekewa mapamba sasa inakuwa ni kero na kutukanwa sana kwa tabia hiyo na hata kujulikana kuwa huwa anajihusisha na tabia hiyo. Mwisho wanaamua kufanyiwa operations
 
Mimi naamini kujipa matumaini ni sawa lakini kujipa matumaini ya uongo ni kosa.

Ukisema itarudi ni sawa lakini sio kama ilivyokuwa kabla.
Inarudi vizuri.
Halafu siku hizi wanawake wengi wanachanika. Ukipata mtaalamu ndio akashona vizuri ndio kabisaa. Sema mtu kama kashonwa vibaya hapo ndio kutafutana.
 
Habari wakuu na wadogo wote.

Hii si habari njema hata kidogo. Kumekuwa na ongezeko la wanawake wanaojifungua kwa njia ya upasuaji kuliko njia ya kawaida. Na habari yakusikitisha ni kwamba, wanawake wengi huomba wenyewe kufanyiwa upasuaji.

Kwanza naomba nisiulizwe chanzo cha habari hii. Huu ni utafiti wangu binafsi, kutokana mizunguko ya kila siku na watu ninaokutana nao. Source kubwa ya habari hii ni mchumba wangu ambaye ni hufanya kazi kwenye idara ya afya sehemu fulani.

Imekuwa ni jambo la kawaida kwa wanawake wengi kuomba wafanyiwe operation badala ya kusubiri kupush kama ambavyo imezoeleka. Kinachowapelekea wengi kupenda kufanyiwa upasuaji ni sababu za urembo tu na kupenda starehe. Hawana lingine. Yaani cosmetic and leisure reasons are behind the whole movement. Wapo wanaodai sehemu zao za siri zitatanuka na hivyo kupoteza mvuto baada ya kujifungua na wengine wakidai kujifungua kwa kupush ni maumivu sana hawawezi kuyavumilia. Wadada hawataki shida kabisa. Ikumbukwe hospitali binafsi ni biashara, na motive za kampuni (biashara) ni kumaximize profit. So ukija unataka kupasuliwa tutakupasua tu sisi tupige hela vizuri.

Kasumba hii inaendelea hata kwenye kunyonyesha watoto. Wanawake hawataki kunyonyesha watoto matiti yao kwa sababu wanadai yataharibika na kupoteza mvuto. Hali si shwari huko mahospitalini, hasa ya private ambako kuna uhuru wa huduma, specilists wengi wanafatwa na wadada wakidai wawapasue hawana mpango wa kupush. Uchunguzi umegundua wengi wa wanaopenda kupasuliwa ni wanawake wenye kipato cha kati ambao wanaweza kumuda gharama za upasuaji, either kwa bima au kwa kulipa cash. Ambao wengi ni wenye kiwango fulani cha elimu yaani tunaowaita wasomi huku katika jamii yetu.

Kule jijini Mwanza kuna afisa wa polisi mmoja mkewe alikua client wangu katika mambo fulani. Dada yule anayeitwa Eunice alikua na watoto 3 mwaka 2016. Watoto wake wote 3 aliwazaa kwa njia ya upasuaji ambapo kuna 2 au wote watatu (sikumbuki vizuri) wanafanana tarehe zao za kuzaliwa ikiwa ni juhudi zake mwenyewe kupitia kujifungua kwa njia ya upasuaji. Kimsingi yeye hataki kabisa masuala ya kuumia uchungu wakati wa kujifungua.

Hiyo ndio hali halisi

Mods kama heading haijakaa vizuri rekebisheni.
Mm nmkumind kumtaja jina mke Wa mwanaume mwenzako..
Unajua mabaharia tunavyowaopoa manesi huko kamazini mwao?

Ukitaka kumuopoa nesi usiwe na papara tulia tu.
Ni pale umempeleka mgonjwa hospital au hata mkeo anapokuwa ameshajifungua. Hapo unamsubir nesi aliyepo zamu unajiweka karibu naye Kama unahitaji huduma ya uangalizi kwa mgonjwa wako.

Unamuomba kwamba naomba uwe unamuangalia Mara kwa Mara mgonjwa wangu maana mm nakuwa sipo mda mwingi, ukisha mwomba unatoa fifty tu unamkeshi hapo unaomba na namba ya simu hahahaaa! Raha sanaa!
Baada ya hapo unaondoka zako ikifika saa nne unarudi kumuona mgonjwa hapo unamkeshi ya chai nesi tena Kama thirty hivi hapo unaondoka zako .

Baadae akitoka shift unamuita mahar anamuachia tena ya matumizi hapo mfupa umeshauvunja kifuatacho ni sound na kibra...
 
Uko sawaaaa.
Kuna dada alishawahi kuniambia kabisa "Jumatano nitapata baby girl" na kweli hiyo Jumatano akajipeleka kufanyiwa upasuaji na hali hakuwa na tatizo lolote
 
Vipi ndonda hilo lilipo ndani ya tumbo lako madaktari wanakwambiaje?

Na kwanini ulijisahau mpaka nyonga zikawa hivyo zilizovyokuwa!? Au nyie ndio mnaoshindaga ndani mmelala tu huku mkifikia machipsi miezi tisa yote?

Tatizo uko pre-informed kwamba wanao ends kwa CS ni uzembe wao..... Jaribu kuwa objective ili Uruhusu mitizamo mingine. Si wezi kuandika zaidi maana hauko dynamic kuhusiana na mada. Good day.
 
Sio kila mtu anachagua CS kwa sababu mlizotaja nyie. Km mtu nyonga ni ndogo akaue mwanae sababu anataka kusifiwa kwamba alipush?? Binafsi wakat najifungua mwanangu nilitamani nipush Ila nikajikuta jumatatu asubuhi mpaka J4 asubuhi mtoto amesogea cm 4 wakati zinatakiwa angalau 10 ndipo upush. Drip 2 za uchungu bado hasogei yani ilibidi nikimbilie kisu. Na ndani ya Dk 30 nilikuwa nimeshamuona mwanangu baada ya kuchoka mateso ambayo pia yangehatarisha uhai wa mwanangu na mm mwenyewe.
Kwa kuwa nshajua nyonga zangu ndogo Safari ijayo nitachagua tu kisu mapemaaa. Mungu anilinde maana huko nako kuna complication zake.
Pole Sana na hongera Sana mama!
Yote kwa yote hakuna furaha duniani Kama ya kuwa na mtoto,
 
Siyo alama tu na ni ulemavu wa maisha aisee maana kidonda kile kipindi cha baridi huwa wanalalamika sana mshono kuuma, Mungu anijaalie watoto wangu wengine niwazae kawaida kama huyu niliyenae, mimi nafikiri operation iwe last choice ili kunusuru maisha ya mama na mtoto au ya mmojawapo ila si suala la kuombea uipate.

Cjawahi kuumwa kipindi cha baridi. In short sio wote wanaumwa ni maumbile ya mtu tu
 
Cha ajabu wanaume ndio mmekazania tuzae kawaida, mnafaidi nini wenzenu wakizaa kawaida na mnapungukiwa nini wakipata mtoto kwa C-section? Mi naona siku hizi wanaume mnashupalia sana yasowahusu.

Kama mnatuonea wivu jifungueni kwa CS na nyie
Tunafikiria kwamba mkizaa kwa Cs mtakuwa mnazibuliwa mitaro Ila mkizaa kwa kawaida basi hamzibuliwi..

Hiki kizazi hatar Sana sisi wenyew wanaume tunajifanya tunapenda kuwala tigo watoto Wa watu wakati huo hatupendi kuona wake zetu wanazibuliwa sasa tunaowazibua wataenda kuolewa na nani?

Utambuzi ni kwamba unayemla tigo Leo ni Wa mwenzio Wa baadae na wakwako utambue analiwa huko pembeni.
 
kila mtu achague njia anayopenda,

zamani ndio option ya kuwa na operation ilikua mpaka kuwe na tatizo mahali...

watu wengi walijifungua kwa njia ya kawaida,.

.ila we paid high cost kwa kupotelewa na ndugu zetu kwenye ku push..

Maternal death is still high kwetu

.sijajua kama operation inapunguza hili tatizo.:rolleyes::rolleyes::rolleyes:

.sijazaa ila kwa ushuhudia tu this must be painful experience,

nikiwa mjamzito nataka nilale(anesthetic),nikiamka kitoto changu kiko pembeni..LOL
Anaetaka njia ya kawaida na azae tu kwa njia ya kawaida. Il a sitaki hata kuisikia.
 
Wengi wao wanaogopwa kuzibwa na matenge pamoja na pamba,maana wanakua weshapoteza compression kwaajili ya michezo ya mtaroni
 
Inarudi vizuri.
Halafu siku hizi wanawake wengi wanachanika. Ukipata mtaalamu ndio akashona vizuri ndio kabisaa. Sema mtu kama kashonwa vibaya hapo ndio kutafutana.
I agree with you. Na kwa kuhofia kushonwa vibaya, nyie, madada mna risk uhai wenu sasa. Sad!
 
Kuna kitu hapo kimefichwa nyuma ya pazia acha nitumbue jipu km mkeo anajifungua kwa oparation anazuga ni kwa ajiri ya urembo nasema hapana.
Sababu ya wanawake kukwepa kupush na kukimbiria kisu ni (USODOMA NA UGOMORA) Wengi wanaogopa ku push wanajua siri itakua imefichuka maana kwenye ku push pale km unafanya iyo michezo ya kishetani lazima kinyesi kipite na pumzi ikate mpka wazibe hilo tundu ndio anaweza ku push

Hivyo basi ukute mkeo anafanya iyo michezo nje ya ndoa mme ajui na mara nyingi ndoa zimevunjika kwenye chumba cha kujifungulia kina mama mme anagundua tabia za kishetani za mke wake kupitia kujifungua sasa sikuizi wamekua wajanja sababu zimekua nyingi ndio maana wote wanakimbilia huko.
Huu ndio ukweli napigia mstari...

Kujifungua kawaida aka kupush hakusababishi uke kutanuka! Ukishajifungua tu uke unarudi katika hali yake ya kawaida tena unarudi kama msichana mdogo vile (unabana kabisa)

Kutanuka kwa uke ni maumbile na pia jinsi unavyojitunza mwenyewe.

Alafu hata upasuaji ni lazima uumwe uchungu kwanza ndio upasuliwe, hata ukienda kabla ya due date unawekewa maji ya uchungu kwanza ndio uingie theatre so binafsi naona wanajidanganya tu.
 
Mm nmkumind kumtaja jina mke Wa mwanaume mwenzako..
Unajua mabaharia tunavyowaopoa manesi huko kamazini mwao?

Ukitaka kumuopoa nesi usiwe na papara tulia tu.
Ni pale umempeleka mgonjwa hospital au hata mkeo anapokuwa ameshajifungua. Hapo unamsubir nesi aliyepo zamu unajiweka karibu naye Kama unahitaji huduma ya uangalizi kwa mgonjwa wako.

Unamuomba kwamba naomba uwe unamuangalia Mara kwa Mara mgonjwa wangu maana mm nakuwa sipo mda mwingi, ukisha mwomba unatoa fifty tu unamkeshi hapo unaomba na namba ya simu hahahaaa! Raha sanaa!
Baada ya hapo unaondoka zako ikifika saa nne unarudi kumuona mgonjwa hapo unamkeshi ya chai nesi tena Kama thirty hivi hapo unaondoka zako .

Baadae akitoka shift unamuita mahar anamuachia tena ya matumizi hapo mfupa umeshauvunja kifuatacho ni sound na kibra...
Kumpa nesi pesa ni muhimu
 
Sio kila mtu anachagua CS kwa sababu mlizotaja nyie. Km mtu nyonga ni ndogo akaue mwanae sababu anataka kusifiwa kwamba alipush?? Binafsi wakat najifungua mwanangu nilitamani nipush Ila nikajikuta jumatatu asubuhi mpaka J4 asubuhi mtoto amesogea cm 4 wakati zinatakiwa angalau 10 ndipo upush. Drip 2 za uchungu bado hasogei yani ilibidi nikimbilie kisu. Na ndani ya Dk 30 nilikuwa nimeshamuona mwanangu baada ya kuchoka mateso ambayo pia yangehatarisha uhai wa mwanangu na mm mwenyewe.
Kwa kuwa nshajua nyonga zangu ndogo Safari ijayo nitachagua tu kisu mapemaaa. Mungu anilinde maana huko nako kuna complication zake.
What we actually said is that one should go for cs if absolutely necessary - kwa sababu za msingi sio kufanya fanya tu eti kwa sababu inawezekana.
 
Mkuu ndani ya JF usifikiri mada za kitaalamu unazijua kuliko watu wengine, kwa ufupi ukitaka kuona mkeo anazaa huku unachat na kucheka naye basi tafadhali ni PM ntakuelekeza na kwa reference hebu chukua jina langu hilo la hapa JF halafu google ili ujue ninaongelea kitu gani.

Pamoja na hizo epidural still complication Kama zipo zipo tu. Binafsi nilikuwa labor na nachati FB kabisa sababu ya epidural lakini bado Dogo aligoma kusogea hadi kisu kikahusika badae. Ila epidural haiwekwi Mara mbili. Wanakupatia mara moja Kama hujajifungua uchungu unarudi Kama kawaida tena hapo wanaweka na drip za uchungu. Kama itakuwa bado kisu kinahusu. Kumbuka epidural inaondoa maumivu Ila haihusiani na kusogea kwa mtoto, au kusukuma mtoto na muda wote wanapokuwekea una kuwa monitored.
 
Operation ndio njia yenye uhakika wa uzazi salama kwa dunia ya leo

Mijini humu unasikia vifo vya wazazi tena?..

Kupush yataka mtu ambae nyonga yake si lelemama..kuzaa natural na kifo ni suala la 50/50
Acha Weee, kumbe vifo vya uzazi vimepungua kwasababu ya operation??
 
Back
Top Bottom