data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,141
- 22,710
Pole na Hongera kwa Dada zetu.
Marianah anao,jaribu kumwita .
Mimi bado Sina ila nimeona kwa Dada zangu watatu wakila visu
Mmoja amekula Kisu mtoto wake wa nne.
Dk alimwambia kuwa akijifungua kawaida anaweza akafariki..maana BP zilikua juu Sana
Mwingine huyu uzao wake wa tatu...mapacha
Mmoja alitanguliza kichwa,mwingine miguu...dk akamwambia apasuliwe maana Ni hatari Hali km hiyo
Mwingine alipata uchungu amekaa bdae ikashindikana akawa anaenda kupotea...ikabidi wampasue
Yaani walipelekwa leba Huku nyuma tunaomba Sala zote jasho zinatokana.
Kile kidonda si mchezo...
Watu sio Kama wanapenda kupasuliwa
Lizarazu acha kukariri maisha
Kwa mifano hii halisi. Bado kuna kima hazitaelewa..