MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,215
- 43,751
Jomba unawashangaa watu wanaoishi mjengoni?Inatisha. Niliwahi kusafiri nikafikia kwa jamaa yangu ni relative. Kajenga nyumba nzuri jamaa ni mtu wa hustle sana. Kwa siku chache nilizokaa pale, hakuna siku tuliangalia taarifa ya habari, kwa sababu jamaa huwa anarudi kwa kuchelewa kama ujuavyo jiji la Dar. So shemeji na wote waliopo home ni mwendo wa tamthilia, wote wanahamia sebuleni kuangalia. Hata ratiba ya kusali ibada haipo. Nawashangaa sana wanawake
Uko nondo, ila nikikusoma kupitia maandishi yako nabaini una ukorofi kiaina.Uwezo wa kuchambua mambo hauna uhusiano na elimu yako, utajua terminologies za kiafya(down syndrome) nitajua za kisheria(malice aforethought), maisha ndivyo yalivyo!
Hata mimi nikija hapa na ma-activist na ma theorists kama Herbert spencer, August comte, frantz fanonz, karl max na max weber, sio kila mtu kawasikia we ukija na kina charles darwin sjui gregor mendel isaac newton mi pia siwasiwajui.
Wewe ni mtu usiye na shukrani kabisa na hufai kukaribishwa popote. Huyo mke wa jamaa asingekuwa mwema hata siku 1 tu usingekaa hapo. Unafikia hatua ya kusema jamaa hana mke kisa tu anaangalia tamthlia? Jitahidi upambane na umaskini ili usiwe unafikia kwa watu.Jamaa mke hana
Sio kiaina mi ni mkorofi kijanaUko nondo, ila nikikusoma kupitia maandishi yako nabaini una ukorofi kiaina.
Yaani ndo ukutane na kina sie ni kupigana tu humo ndani.Sio kiaina mi ni mkorofi kijana
Ndio raha ya mapenzi jamaaYaani ndo ukutane na kina sie ni kupigana tu humo ndani.
Nilifikia hotel ila jamaa akaniomba nikakae kwake ni mwanangu sana sikuwa na sababu ya kukataaWewe ni mtu usiye na shukrani kabisa na hufai kukaribishwa popote. Huyo mke wa jamaa asingekuwa mwema hata siku 1 tu usingekaa hapo. Unafikia hatua ya kusema jamaa hana mke kisa tu anaangalia tamthlia? Jitahidi upambane na umaskini ili usiwe unafikia kwa watu.
Umesema vyemaHata Mange alikuwa anapata hela nyingi kwenye app yake toka kwa wanawake.
Yeah kuna vibe fulani hivi, mnazinguana hata wiki then, mna-reconcile kwa mnyanduano mmoja heavy.😁Ndio raha ya mapenzi jamaa
Mkuu kubeti nako ni akili? Aisee kazi ipo wajameni. Mfano mimi hapa sijui kubeti wala kucheza bonanza sijui wala sina muda nayo lakini kuna madogo wa darasa la pili wanajua kucheza bonanza kwanini?Sio wote mkuu,
kuna mademu wanajua kila kitu huwadanganyi ...mfano
Ujue kuna wanawake mpaka wana_bet wanachambua odds kama hawana akili timamu
Yeah sasa nyie mnataka wa ku-slay muda wote wengine kazi ngumu bro ni ngumi humo ndani hatucheki na mtu😂Yeah kuna vibe fulani hivi, mnazinguana hata wiki then, mna-reconcile kwa mnyanduano mmoja heavy.😁
Hapo nimezungumza kwenye angle ya sportsMkuu kubeti nako ni akili? Aisee kazi ipo wajameni. Mfano mimi hapa sijui kubeti wala kucheza bonanza sijui wala sina muda nayo lakini kuna madogo wa darasa la pili wanajua kucheza bonanza kwanini?
Ila kwa comment yako nimekushangaa sana mkuu
Nitajie wachambuzi mahili hapa nchini kwenye angle ya sport.Hapo nimezungumza kwenye angle ya sports
Halima juma,mwanaisha abdallah,Priska kishamba ..nkNitajie wachambuzi mahili hapa nchini kwenye angle ya sport.
Salama Ngare ukimuweka hapo unamuonea tu hakuna mchumbuzi hapo
🤔🤔 inasikitisha sana hili jibu lako.Nilifikia hotel ila jamaa akaniomba nikakae kwake ni mwanangu sana sikuwa na sababu ya kukataa
Si wote mkuu 😂. Kweli Kuna baadhi wako ngamgari katika umbea na mizagamuano jambo ambalo hufanywa na wanaume pia.Usininange ndege,,
tumeshaambiwa sie ni umbea na mizagamuano tu!!!! Huko pengine tuna0+