Wanawake, Wanawake, Wanawake! Nimewaita mara 3

"Ngoja nikamwambie mke wangu kama atakubali" that statement
Mwanaume kuisema mbele za watu tayari iko shida mahali. Mwanaume mwenye confidence angebeba lile wazo na kuliwasilisha kwa mke wake kwa jinsi anavyojua yeye wakajadili na kufanya maamuzi
Nilichoona hata kuwasilisha kwa mke wake ni kazi kubwa
 
Umeona mbali Bi Dada..! Lakini watakusikia?
 
Kha kweli

Hapa JF salute ni kicheko na semina za bure bure , watu wanatoa ya moyoni huwezi yapaga mahali popote , sasa kuna yale malezi ya uswahili hasa huambiwa mabintj ‘ chenu chako chako chako ‘ kama wewe umetoka huko na malezi ya kistaarabu unachukulia poa mbeleni unagundua mwenzio anamaanisha kweli anavimba hajali mpo public kuna wageni wala watoto kibri kwenda mbele , unaanza kumzoom jinsi ya kuchukuliana
nae sio upole wala uzoba wala ujinga ni aina ya akili za uongozi walizopewa wanaume kuishi na wake zao . Kujipima tujipime sisi wazazi wa sasa ambao watoto wetu wapo chuo , sec , primary na nursery nidhamu gani za maisha tunawafundisha wanetu kuanzia mavazi,kuongea na wakubwa ,majukumj yao kama watoto wa kiume watakao kuja kuwa wababa ma watoto wa kike watakao kuja kuwa wake , kila mmoja aseme jinsi anavyoandaa kizazi chake ndipo linganisha na hiki kizazi cha sasa utajua kimeandaliwaje kuwa na familia bora kizazi hiki cha uchumi wa kati.
 
Unapenda kulaumu wanawake wewe sijui unataka ku impress wanaume humu as if wewe ni mwanaume, I always prefer a solution taker kuliko a blame person, coz hapa JF mada za kusema wanawake ndio hupata comments nyingi.
Mimi nadhani hii sio issue ya ku impress watu, hili ni tatizo kubwa na linaloendelea kuweka mizizi kwenye jamii. Nia ya kulijadili ni kutaka kujua shida ni nini, wapi tunakosea na nini kifanyike.
 
Maskini. Duniani hapa kuna wanaume wanateseka!
 
Haya mambo magumu sana, japo sio mara zote lakini matatizo mengi yanasababishwa na sie wanaume. Msiniulize maswali mengi ila binafsi naamini hivyo. Wanaume ndio tumewafikisha hapo hao baadhi ya wanawake.
 
Mimi nadhani hii sio issue ya ku impress watu, hili ni tatizo kubwa na linaloendelea kuweka mizizi kwenye jamii. Nia ya kulijadili ni kutaka kujua shida ni nini, wapi tunakosea na nini kifanyike.
Basi tu watu wanaopenda wengine waonekane wabaya wao wema huwa naona something is wrong somewhere, na hapa JF imekuwa trend's kulaumu zaidi ya kutoa solutions, pia ukisema shida nini sidhani matatizo mengine unatumia tu common sense, hafu ujue duniani hamna jipya zaidi ya ujio wa social network na watu kuchaganyika wa makabila tofauti tofauti ndio unaona Kuna tatizo, kumbe nothing new at all, yote ya zamani tu
 
Haya mambo magumu sana, japo sio mara zote lakini matatizo mengi yanadababishwa na sie wanaume. Msiniulize maswali mengi ila binafsi naamini hivyo. Wanaume ndio tumewafikisha hapo hao baadhi ya wanawake.

Uchumi wa kati
 
Wewe Ni TATIZO

Unaiabudu Sanaa 50/50
Wewe tu akili yako ilivokutima vile nimeandika usichokipenda basi 50/50 wakati Mimi sijawaza hyo 50/50 jifunzeni kutofautiana mitazamo mtajaenda sehemu mzalilike bure, na hyo thinking yako imesababishwa na binary system ya malezi tu you don't wanna think outside za box imagine wagunduzi wa vitu mbalimbali duniani wasingejiomgeza na kufikiria tofauti na jamii dunia ingefika hapa ilipo kweli?
 
Nimeandika pale 'wanawake wenye tabia hiyo'..!
Sweetheart please, I'm not so good in this kind of convos..!!
Vita ya kuandamwa na Ke wenzio haiwezi kukwepeka Mama, cha muhimu potezea wala usibishane nao maana hapo bado akina Cariha, Rebecca, n.k hawajawasili waliojaa vinasaba vya "full feminism"

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Huyo kaka naye alimuacha tu??
Aki ya Nani wanaume mna matatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…