Wanawake wanaumwa au wamerogwa?

Wanawake wanaumwa au wamerogwa?

Antennah

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Posts
6,933
Reaction score
9,034
Nimekaa na kuwaza sana baada ya kuangalia ile clip ya Rwakatare kuhusu ule upepo sijui unaitwaje nimeusahau na jina.

Sasa nikajiuliza, hawa viumbe mbona wakija humu ndani kututafuta wanaleta mavigezo mengi mpaka watu tunachanganyikiwa, kumbe Jumapili mnaenda kukumbatia upepo wa kisulisuli.

Wewe mwanamke, yani wewe peke yako unataka mwanaume awe:

1.Handsome
2 Mrefu
3. Mweupe/mweusi
4. Degree na kuendelea
5. Awe na kazi nzuri
6. Atokee mikoa fulani na fulani
7. Awe mcha mungu
8. Awe na nyumba
9. Biashara ya maana.
10. Umri fulani
11. Wa Tecno msijisumbue
12. Ajue kunibembeleza
13. Asiwe bahili

Na mavigezo mengine meeeeeeeeeeengi.

Ina maana mwanaume wa aina hiyo wanawake wengine wooooooote hawakumuona wala yeye hakuwaona akawa anakungoja wewe.

Ukifika miaka 30 and above unaanza kuangaika kwa kina lwakatare kutaka muujiza ambao kipindi cha nyuma ulikuwa unakutana nao kila unapoenda sokoni.

Acheni ujinga wanawake! Hakuna mwanaume perfect kwa zaidi ya asilimia 60% hayupo dunia nzima.

Ukipata mwanaume anakupenda na akawa muwazi kwako kwa mapungufu yeyote alionayo.....basi jitahidi kucopy with the situation.

Hatobaki hivo milele. Just trust him and trust his process then mbeleni everything will be okay.

True love ikiwepo tu kila kitu kinajiweka kwenye mstari taratibu.

La sivyo mtapata taaaaaabu sanaaaaaa, na mtachezewa saaaaanaaaaa huku ndoa mkiziskia tu kwenye mabomba.
 
Wanawake wana matatizo sana mkuu tena Sana,wengi dream yao ni kuwa na ndoa na hao wanaokuja humu kutoa vigezo huwa ni changamsha genge tu,ndio maana wamekuwa mitaji ya akina mwamposa na mama wa kisulisuli,mwanamke yoyote hata awe na pesa kiasi gani Kama hajaolewa kisaikolojia hayupo vizuri kabisa,ataonesha nje kuwa Hana shida ila nafsi yake ni maumivu tu.
 
Maisha yangu yote nimewahi pata mpenzi m 1 tu ninaesema kweli YULE alikua mwanamke

Ni mwanamke tuliekua tukishindana kila mtu kumjali mwenzake

Leo nitamnunulia Kiatu,kesho atanletea vest kesho kutwa nitampa hela ya saloon

Sijakaa vizuri nimeletewa suprise ya Jeans,,ataniomba hela akaninunulie WALLET maana kaona niliyonayo imechakaa

Kesho yake nitaenda town ntamtungulia POCHI la maana

Nitamtoa out this week end,next week end ataniambia twende mahali nimealikwa na marafiki zangu

Tukifika kwakua nakua kama mgeni ataagiza everything mwisho atalipa BILL kisha ataniambia leo niliku suprise

Nilitaka nikutoe out mimi

Aseee yule mwanamke utamfanyia hiki atakulipa kwa kile With lots of love

Ila huwezi amini SISI WANAUME (hasa mimi) macho juu juu Nilimpoteza yule manzi

SASA HIVI NAKUTANA na vinguchiro Vinanikomesha hivyo Hela zinantoka na bado zinaendelea na sioni hata ahueni

Natafuta siku nikatubu MLIMANI sio kwa vi mauza uza hivi ninavyokutana navyo

Unakutana na kidada kinakupendaaa kinakuita bebe unakinunulia/kifanyia kila kitu ila kenyewe kapo TU

walai dunia hii kuna wanawake na ma washi washi
 
tumekusikia mkuu, na sisi kwa moyo mkunjufu kabisa, huku tukiwa na heshima tele bila kusahau nidhamu ya khali ya juu, tunasema kuanzia sasa na hata milele, tupo tayari kuolewa na mwanaume yoyote yule anayevaa suruali haijalishi ameletwa na kisulisuli ama kimbunga..!
 
Fact mkuu,,,wanapenda sana miujiza kuliko uhalisia
Wanawake wana matatizo sana mkuu tena Sana,wengi dream yao ni kuwa na ndoa na hao wanaokuja humu kutoa vigezo huwa ni changamsha genge tu,ndio maana wamekuwa mitaji ya akina mwamposa na mama wa kisulisuli,mwanamke yoyote hata awe na pesa kiasi gani Kama hajaolewa kisaikolojia hayupo vizuri kabisa,ataonesha nje kuwa Hana shida ila nafsi yake ni maumivu tu.
 
Ndo ipo hivo kaka.....katika maisha yetu yote wanaume, mwanamke aliumbwa kukupenda kwa dhati huwa ni mmoja tu,, ukimpoteza basi.......huji kumpata wa aina hyo tena
Maisha yangu yote nimewahi pata mpenzi m 1 tu ninaesema kweli YULE alikua mwanamke

Ni mwanamke tuliekua tukishindana kila mtu kumjali mwenzake

Leo nitamnunulia Kiatu,kesho atanletea vest kesho kutwa nitampa hela ya saloon

Sijakaa vizuri nimeletewa suprise ya Jeans,,ataniomba hela akaninunulie WALLET maana kaona niliyonayo imechakaa

Kesho yake nitaenda town ntamtungulia POCHI la maana

Nitamtoa out this week end,next week end ataniambia twende mahali nimealikwa na marafiki zangu

Tukifika kwakua nakua kama mgeni ataagiza everything mwisho atalipa BILL kisha ataniambia leo niliku suprise

Nilitaka nikutoe out mimi

Aseee yule mwanamke utamfanyia hiki atakulipa kwa kile With lots of love

Ila huwezi amini SISI WANAUME (hasa mimi) macho juu juu Nilimpoteza yule manzi

SASA HIVI NAKUTANA na vinguchiro Vinanikomesha hivyo Hela zinantoka na bado zinaendelea na sioni hata ahueni

Natafuta siku nikatubu MLIMANI sio kwa vi mauza uza hivi ninavyokutana navyo

Unakutana na kidada kinakupendaaa kinakuita bebe unakinunua/kifanyia kila kitu ila kenyewe kapo TU

walai dunia hii kuna wanawake na ma washi washi
 
SHIDA WAIKISHA OLEWA, WANAKUA NA JEURI SUGU, DHARAU ZA HOVYO HOVYO, NA KIBURI CHENYE KUTU. !!! WALIACHIKA AU KUWA NA NDOA NGUMU WANAKIMBILIA KUFANYA ZIARA ZA KUSHITUKIZA KWENYE MAKANISA YA MITUME NA MANABIII. WE UNAFIKIRI WOTE HAWAKUWAHI KUOLEWA PALE??? HALAFU WACHAGA WENGI KWELI
 
Back
Top Bottom