IGWE
Platinum Member
- Feb 3, 2011
- 9,747
- 8,190
Ni wajinga tu ndio watakao kuelewa na kukuamini,...i,e ----
Katika member ambao walikua wakinipa taabu kujua jinsia zao humu wewe ni mmojawapo....
Swaga zako hazikaa kidada dada kabisa!
Ulimwengu wa roho ukoje?
Chai...
Hahahaaa mkuu kayaman naona unataka kuniletea balaa sasa.mi nilijuaga ni dume mwenye nasaba za kishoga............
Mimi ni gwanda mkuu.Ila kuna gamba nilikua nikilikubali sana ndio maana ukashindwa kunielewa.na wewe unanipa tabu sijui kuwa wewe ni gamba au gwanda!?
Ingia kwenye ulimwengu wa roho Amavubi
Vitu vipo hai lakini havionekani bali kwa hisia
Mapicha mengine bwana tunatishana tu aagh
Sivai wigs, lakini sikubaliani na huo mchoro.
Katika huo ulimwengu wa roho, naonekana hivo na NANI?
Je nikionekana ivo kuna ubaya gani?
Kwetu huku nyoka ni mnyama kama wanyama wengine, so hapo anaweza akawekwa hata pweza.
There is better way of discouraging certain behaviours without threatening.
As for me hiyo picha naona kama Art.
Labda mniambie kingine.
Ms.Lincoln hivi vitu vipo tu for the sake ya kuwepo....! Kuna kitu ambacho si kizuri sana kuzihusu nywele natamani usome post yangu iliyopigwa pini kuhusu nyweleKumbe ni hisia.
Ms.Lincoln hivi vitu vipo tu for the sake ya kuwepo....! Kuna kitu ambacho si kizuri sana kuzihusu nywele natamani usome post yangu iliyopigwa pini kuhusu nywele
Hivi vyote bado vinabaki kuwa ni uumbaji wa Mwenyewe Mungu, hatuna jinsi ya kuviepuka au unaepuka hili lakini lile unalifanya picha kama hizo ni kielelezo tu cha nini kinafikirika kuzihusu nywele huko ulimwengu wa roho
Siku hizi zinatumika zaidi nywele za plastiki tofauti na hapo mwanzo ambapo zilotumika nywele za watu halisi (wengine tukiambiwa ni marehemu, sina hakika na hili). India kulikuwa na wanawake rasmi wa kukuza nywele kwa ajili za kuziuza lakini nywele za namna hii huwa ghali sana
Ukifuatilia mambo ya kiroho unaweza shindwa fanya mambo mengi sana