Wanawake wanaovaa mawigi, Kazi kwenu

Wanawake wanaovaa mawigi, Kazi kwenu

Ulimwengu wa roho????
Wapi acheni kudanganya watu!!!!
 
Kwa maana hiyo nyoka yupo kwenye ulimwengu huu wa kawaida na ule wa kiroho bila kubadilika? Halafu mbona nyoka ndio wana haha na binti anatabasamu? Wakitoa wigi wanaonekanaje?
 
Kwa maana hiyo nyoka yupo kwenye ulimwengu huu wa kawaida na ule wa kiroho bila kubadilika? Halafu mbona nyoka ndio wana haha na binti anatabasamu? Wakitoa wigi wanaonekanaje?

Nadhani wanaonekana kama wamevaa maua rose.
 
Nadhani wanaonekana kama wamevaa maua rose.

Basi wanaopata shida ni wale wa ulimwengu huo wa kiroho na wala sio sisi wa huku; hivyo wanawake waendelee tu ili hao wa ulimwengu wa kiroho wakome, hakuna kuwaonesha maua rose. Halafu kumbe muonekano wa ulimwengu wa kiroho sio 'reality'.
 
Back
Top Bottom