Ushauri kwa wanasiasa vijana "Usiharibu Kwenu"

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
50,736
Reaction score
40,859
"Usiharibu kwenu" ni msemo wa kiswahili uliobeba maana nzito ya kutunza sifa yako, uhusiano wako, na kutunza heshima, sifa na mazingira ya kwenu unakotoka na au unakoishi.

Ni msemo unaolenga kutukumbusha kama vijana na jamii nzima kwa ujumla, hususani katika siasa kutoleta fujo, kutokuchochea uadui, uharibifu au maafa mahali ambapo ni nyumbani kwako au au kwenu kwenye msingi wa maisha yako.

Kuharibu kwenu iwe ni kwa tabia mbaya ya kuchochea chuki, ghasia, migogoro ya kisiasa au usaliti wa mahali unakoishi, unakofanya kazi, usaliti wa chama chako cha siasa, usaliti kwa serikali au nchi unayotoka, huleta athari kubwa sana kijamii, kiuchumi na kisiasa.

Na miongoni mwa athari kubwa zaidi ya kuharibu kwenu ni pamoja na kupoteza hifadhi salama ya kudumu na msaada wa mwisho wenye amani zaidi wakati wa shida.

Hasara nyingine za kuharibu kwenu,
ni pamoja na kutengwa na jamii, kutanga tanga, kukosa amani ya nafsi yako na kuishi kwa hofu kama sungura, kuharibu sifa ya familia yako, kuandamwa na upweke wenye msongo wa mawazo, kukosa fursa za kiuchumi na kukwamisha maendeleo ya nyumbani kwenu, kuwafungia milango ya fursa watoto wako na kuwakosesha amani familia, ndugu, jamaa na marafiki zako.

Hizo ni athari za kuharibu kwenu kwa uchache tu. Unaweza kuorodhesha na athari zingine nyingi kadiri uwezavyo.

My friends, ladies and gentlemen Siasa ni sayansi,
sasa nyinyi vijana,
ni siasa ya aina gani mnafanya hata muharibu taifa lenu wenyewe na kukimbilia ugenini na kuishi kama digi digi kwenye mataifa ya ugenini? Unaijoy nini sasa hapo kama sio kujitia msongo wa mawazo na kujikosesha amani kwa makusudi?

Why are you trying so hard to make yourselves so special than special itself, while for sure you're nothing and completely fake politicians politically speaking?.

You know politics needs high levels of discipline, proper thinking capacity and ofcourse technics and objectives in digesting, dissecting and executing political issues in acodence to the environment.

Why don't you apply even some of 48 laws of power technics to achieve your political goals instead of insulting the leaders of government in place and running abroad?

Una maoni gani kama mdau wa siasa za Tanzania. Je, kuna faida yoyote ya maana ya kuharibu nyumbani kwenu na kukimbilia ugenini?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
JINI la DAMU la ALLAH Samia na mwanaye Mtume Abdul, kila wakati linataka DAMU.

Hata wewe siku zako ZINAHESABIKA tu.

Walikuwepo kina Polepole na Sheikh Majini, wazee wa MAVI-8.
jikite tu moja kwa moja kwenye hoja mahususi mezani gentleman bila kuendekeza porojo, upotoshaji na ramli useless jukwaani na itapendeza zaidi.

Tafadhali,
usithubutu kuharibu kwenu, ni mbaya sana aise 🐒
 
Hata wewe hapo UTAKUFA.
 
"Usiharibu kwenu" ni msemo wa kiswahili uliobeba maana nzito ya kutunza sifa yako, uhusiano wako, na kutunza heshima, sifa na mazingira ya kwenu unakotoka na au unakoishi.

Ni msemo unaolenga kutukumbusha kama vijana na jamii nzima kwa ujumla, hususani katika siasa kutoleta fujo, kutokuchochea uadui, uharibifu au maafa mahali ambapo ni nyumbani kwako au au kwenu kwenye msingi wa maisha yako.

Kuharibu kwenu iwe ni kwa tabia mbaya ya kuchochea chuki, ghasia, migogoro ya kisiasa au usaliti wa mahali unakoishi, unakofanya kazi, usaliti wa chama chako cha siasa, usaliti kwa serikali au nchi unayotoka, huleta athari kubwa sana kijamii, kiuchumi na kisiasa.

Na miongoni mwa athari kubwa zaidi ya kuharibu kwenu ni pamoja na kupoteza hifadhi salama ya kudumu na msaada wa mwisho wenye amani zaidi wakati wa shida.

Hasara nyingine za kuharibu kwenu,
ni pamoja na kutengwa na jamii, kutanga tanga, kukosa amani ya nafsi yako na kuishi kwa hofu kama sungura, kuharibu sifa ya familia yako, kuandamwa na upweke wenye msongo wa mawazo, kukosa fursa za kiuchumi na kukwamisha maendeleo ya nyumbani kwenu, kuwafungia milango ya fursa watoto wako na kuwakosesha amani familia, ndugu, jamaa na marafiki zako.

Hizo ni athari za kuharibu kwenu kwa uchache tu. Unaweza kuorodhesha na athari zingine nyingi kadiri uwezavyo.

My friends, ladies and gentlemen Siasa ni sayansi,
sasa nyinyi vijana ni siasa ya aina gani mnafanya hata muharibu taifa lenu wenyewe na kukimbilia ugenini na kuishi kama digi digi kwenye mataifa ya ugenini? Unaijoy nini sasa hapo kama sio kujitia msongo wa mawazo na kujikosesha amani kwa makusudi?

Why are trying so hard to make yourselves so special than special itself, while for sure you're nothing and completely fake politicians politically speaking?.

You know politics needs high levels of discipline, proper thinking capacity and ofcourse technics and objectives in digesting, dissecting and executing political issues in acodence to the environment.

Why don't you apply some of 48 laws of power technics to achieve your political goals instead of insulting the leaders of government in place and running abroad?

Una maoni gani kama mdau wa siasa za Tanzania. Je, kuna faida yoyote ya maana ya kuharibu nyumbani kwenu na kukimbilia ugenini?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Screenshot_20260816-150515~2.png
 
Ushahuri watawala usiuwe wala kuwatesa watu wako maana maendeleo yataifa hujengwa na watu wako.
Gentleman,
mimi nimetoa ushauri kwa wanasiasa vijana wenzangu,
na in fact nimekumbusha tu jambo ambalo liko wazi maishani.

Usiharibu Nyumbani plz gentleman,
kwasababu madhara yake ni sawa tu na kugoma kula msosi 🤣
 
hili game hatari sana,,, kamari inaanza tayari kila kitu mwananchi keshaliwa mpaka nguo keshaweka bondi na kupewa arifu kabaki na boxa tu....
wananchi wanaaswa kuipenda nchi na kufuata taratibu za kiutawala.. kuwa wapole na kuwasikiliza viongozi,, wasilete ghasia wala machafuko maana wanaambiwa watapata shida sana 🤣🤣🤣
vijana ndo walengwa maana hawa ndo wasumbufu, lazima wapangwe, wasetiwe, wazuiwe na ikishindikana wakamuliwe 😂😂,,,
wazee hawana shida maana hawa hawana tena la kupigania zaidi ya kutibu matezi dume yao,,, akina mama kama tunavyojua ni watu wa sherehe ukiwapa elf 10 na kanga watakata viuno nakusahau yote...

hii yote inafanyika ili lile tabaka liendelee kukaa pale lilipo liendelee kunyonya... hili tabaka haliwezi kufanya yake bila misukule kuwa watulivu maana wakishaanza kusumbua ooohooooo! mambo yatakuwa si mambo tena..

vijana uhuru pekee wa kweli uko kaburini,,, na haki pekee ulinayo ni kifo.. hili kamari mmeshaliwa.... kilichobaki tianeni tu mimba na mtafute hela ya kula, ukitoboa shikilia bomba haya mengine yalishasetiwa..
 
licha ya kwamba ni ushauri, lakini nadhani ni katika kukumbushana tu, maana ukiharibu kwenu basi umekubali kua mtumwa ugenini kama ambavyo tunaona baadhi ya waTanzania walioharibu kwao na wanavyoishi kwa kutangatanga bila amani ya nafasi zao, familia zao, ndugu, jamaa na marafiki zao.

Na ukiwachunguza vizuri,
hata sio wanasiasa bali walivamia siasa, wakidhani siasa ni kutukana watu na kisha kujishtukia na hatimae kukimbia nchi.

Plz Usiharibu Nyumbani kwa kuvamia taaluma za watu 🐒
 
Yes,
Nyerere alikua sahihi 100% kwamba taifa letu lazima liwe na vijana brilliant mentally, wajeuri na majasiri kifikra, wenye adabu, utii na heshima kwa mamlaka na katiba ya nchi na sio vijana waoga, wenye ujasiri wa kutukana viongozi, kuchochea ghasia, uharibifu na maafa halafu wanakimbia nchi za ugenini wakawe watumwa wa ujinga wao.

I think Nyerere was perfect 100%💪
 
Kuwa na matusi, uzishi na uchochezi ndio quality za uanaharakati east Africa.
hiyo ni kujitesa kijinga kabisa na kuhangaisha familia, ndugu, jamaa na marafiki zao kisaikolojia kindezi kabisa gentleman 🐒
 
Gentleman,
mimi nimetoa ushauri kwa wanasiasa vijana wenzangu,
na in fact nimekumbusha tu jambo ambalo liko wazi maishani.

Usiharibu Nyumbani plz gentleman,
kwasababu madhara yake ni sawa tu na kugoma kula msosi 🤣
Nilicho na uhakika nacho UTAKUF A pia
 
Back
Top Bottom