Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,456
- 872,092
Najua ulimwengu wa roho upo, na ile mada niliona.
Sikubaliani sana na kila jambo ninalo ambiwa juu ya ukimwengu wa roho.
Napenda kujua, katika ulimwengu huo wa roho mtu akionekana ivo anapata hasara gani haswa?
Its just a visual issue
So hapo anaweza akaonekana kama pweza sio?
Je atakosa raha ya milele au? So kama ni suala la kuonekana tu na haina athari yeyote
Kumbe ni fikra tu, je zina athari gani katika maisha yangu?
Unajua itategemea unaamini nini kwenye nini...sisi huku Afrika vitu vingi tunaona sawa tu lakini kwa wenzetu kuna baadhi ya mambo ukiyafanya ni taboo kubwa mfano hili la nywele kuna badhi ya imani ni mwiko na ni marufuku kwa mwanamke kuonyesha nywele zake hadharani...! Ni wachache huhoji kwanini au huridhika na majibu wanayopewa
Ndani ya kanisa katoliki ni mwiko kwa mwanamke kuwa Padre, wahindu ni marufuku na ni laana kubwa kula nyama ya nq'ombe kwakuwa kwao ni kama mungu wao
Ndio maana nasema itategemea unaamini nini kwenye nini btw ni vema kujifunza na kuvifahamu hivi vitu kwakuwa after all havikupunguzii chochote zaidi ya kuongeza maaarifa