Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

Kisayansi, like poles repale each other and unlike poles attrack each other.
Ukifanya utafiti utagundua kuwa hata wanawake warefu hupenda wanaume wafupi.
Katika kuzaana mwanaume mrefu akizaa na mwanamke mfupi wanafanya cross breed ambapo watapata kitu bora zaidi au kitu cha kati.
Hata hivyo wanaume wafupi ni watamu na wanafaidi sex kwa umri mkubwa kuliko wanaume warefu.
Wanaume warefu wakifika umri wa zaidi ya miaka 50 hupata tatizo la kusumbuliwa na kiuno na wanashindwa kuwa active sana kwenye sex
 
We nawe utaweza kujirefusha sasa hata nikikuambia.

No no no no! nimesema tuweze kujiadjust kimawazo na kujiposition. Binafsi mimi ni mrefu na najua mnatumaind. Sasa nilitaka kusikia toka kwenu ili ukiprove otherwise niondokane na fikra nilizonazo.... upo mchumba??
 
Tatizo wengi mnamaringo sana mkifikiri mmemaliza kila kitu kumbe.................

Warefu wazuri kwa show off tu kule kunako shughuli kama bibie shantel alivosema.........mfupi akijikunja utaomba maji
 
Ni mikoa ipi inaongoza kwa kutoa product ya watu wafupi tz

Ni Songea Mkuu. Nakumbuka wabunge wa huko kuna kipindi walilalamika bungeni kuwa vigezo vya kuajiri watu katika jeshi la polisi vinawabagua...
 
Halafu Gaga naona unatutafutia wenzako magumi ya weekend,mwe ngoja nikae kimya.Watoto hawajambo lakini?

Warefu wazuri kwa show off tu kule kunako shughuli kama bibie shantel alivosema.........mfupi akijikunja utaomba maji
 
Watanzania wengi kuanzia miaka 28 na kuendelea tunaowaona ni wafupi, sio kwa sababu genetically ni wafupi, bali kwa sababu ya malnutrition na suluba za kazi nzito kijijni walikokulia. Unakumta akiwa mtoto wakati wa stage ya ukuaji alikuwa anabeba ndoo sita za maji kila siku kilomita tano au zaidi.

Ndio maana unaweza kushangaa siku hizi unaona baba mfupi, mama mfupi (au wa wastani), lakini kitoto kinatoka kingongoti, hiyo sasa ndiyo genetic maana mtoto anakuwa pengine amepata malezi mazuri na laini.

Na ndio maana ukiangalia sasa hivi vijana wengi walio masekondari au vyuoni, majority ni relatively tall (kutoka ft 6 na kuendelea)...
 
Ni kweli mdau urefu ni diet unayokula ndio maana China na Japan new generation ni warefu si kama baba zao. Hata wao wanakili kuwa walikuwa wanakula mboga mboga tu na sea food, ila watoto wao ni full macdonald na nyama kwenda mbele.

Watanzania wengi kuanzia miaka 28 na kuendelea tunaowaona ni wafupi, sio kwa sababu genetically ni wafupi, bali kwa sababu ya malnutrition na suluba za kazi nzito kijijni walikokulia. Unakumta akiwa mtoto wakati wa stage ya ukuaji alikuwa anabeba ndoo sita za maji kila siku kilomita tano au zaidi.

Ndio maana unaweza kushangaa siku hizi unaona baba mfupi, mama mfupi (au wa wastani), lakini kitoto kinatoka kingongoti, hiyo sasa ndiyo genetic maana mtoto anakuwa pengine amepata malezi mazuri na laini.

Na ndio maana ukiangalia sasa hivi vijana wengi walio masekondari au vyuoni, majority ni relatively tall (kutoka ft 6 na kuendelea)...
 
Hawana balance kitandani mamiguu mareeeefuuuuu
Pia wanaume wafupi huwa wanajishughulisha sana kwa sababu hawapendi kujiona uwezo wao ni sawa na urefu wao

Kwanza mamtu marefu hayawezi kwenda round zaidi ya mbili, yakiwa kitandani yanakosa balance na pia huchoka mapema.raha kwa mtu mfupi, atambinua mwanamke kwa staili yeyote na mahali popote, mfano hata kwenye sofa la kukaa mtu mmoja.
a short penis is very active compared to tall penis

Pia uhusiano ni mkubwa wa kuwa na uume mrefu, wadada hupenda uume mrefu, i am sooo tallllll, ni kweli kabisa
Lakini wanakwambia usiingize yote, na kwa sababu huwacho
 
Umeonae...

Na hili limewafanya wanaume wengi warefu kufail mambo mengi katika maisha, kwa kudhani kuwa kila mtu anawaadmire...
Kwenye interview wanashindwa kirahisi sana na wafupi kwa kudhani urefu wao utawabeba. Lakini kwenye kutafuta ela pia...

Duh, Jamani mbona mmekuwa wakali hivyo????? Lakini ukweli upo pale pale kuwa watu warefu wanavutia zaidi.
 
Ni urefu na ufupi wa futi ngapi unaoongelewa hapa? ingekuwa poa tukawekana wazi jamani
Ila kama ndivyo, basi nawapa pole walio warefu maana wapo kwenye risk sana.
Powa mkuu! Karne hii hatupaswi kuongelea urefu na ufupi pasipo kubainisha vipimo. Mara nyingi macho hudanganya. Waweza kumuona mtu kuwa ni mfupi kumbe ni kwa sababu ya unene uliokithiri; au ukamuona mtu ni mrefu kumbe kakonda ndo maana anaonekana mrefu.
Kwa ujumla sikuwahi kumtokea mtu akaingiza hoja ya urefu wangu, na nimetembea na wanaonizidi urefu na ninaowazidi pia. Kuna vitu wanawake wanapenda kwa madume wala sio muonekano wa physically. HABARI NDO HIYO
 
Sijui mi mfupi au mrefu . . . . mmmh!Kwa kweli nime-experience wanawake kupenda wanaume warefu, tena akiwa mweupe wa rangi ya ngozi then unajimudu kimaisha ndo balaa zaid, unawashika wadada mpaka basi. Lakin haya yalikuwa kipindi fulan cha nyuma.Ila kwa kizazi cha sasa, wanawake wanapenda wanaume waliojengeka mwili kimazoezi zaidi, na kimo wala sio ishu tena. Huhitaji kabisa kufika futi 6 tena. We piga tizi, tengeneza 6 pak tumboni, kuwa smart na nadhifu, na wakati wa mitoko ile isiyo ya kikazi kama kutembelea rafiki, au ile ya weekend unaweza kuvaa zile nguo za kushika mwili kiasi, kama T - Shirts, then check mambo uone.Nakwambieni hao warefu, sijui white, sijui Em Bii Ooo ndefu wataonekana ka midori tu. Na pia kwa sasa wengi wenye ndoa imara na wanaooa kwa wingi si wanaume warefu. Hapo ndo mtajua wanawake hawababaiki tena na U-Tall wa mwanaume.
absolutely
 
Back
Top Bottom