Mfano Emmanuel Mbasha Na Joti..unadhani atachaguliwa Nani..Nyekundu ni nyekundu tu haiwi nyeyupe.Mwanamme mrefu ana Advantage over a short man lakini akijisahau yanamkuta ya kumkuta kwenye mahusiano Kwa kulijua Ilo wengi hujibweteka wakiamini watapendwa tu in turn sasa wanawake wameshtuka Hata akiwa mfupi(ila sio ufupi wa Joti)ilimradi kichwani yupo vizuri Na sio fala mwanamke at Go for him...Hao warefu wamejaa humu JF kuanzisha Uzi wa malalamiko ya kukimbiwa(mwanaume anasifiwa maendeleo siku hizi Na si Urefu)Ni urefu na ufupi wa futi ngapi unaoongelewa hapa? ingekuwa poa tukawekana wazi jamani
Ila kama ndivyo, basi nawapa pole walio warefu maana wapo kwenye risk sana.
Yes nakubaliana na ww, hakuna raha kama kum hug tall men afu mwanamke awe mfup kidogo ili anyanyue shingo na miguu raha sanaa, bt ku hug wanaume wafup inabid mwanamke ainame ili amfikia even kissing to tall men is romantic compared to short guy
Uongoo..... Personality ndo mpango mzima... Nawajuwa ma tall kibao ambao confidence 0%, pia nawajuwa wanaume ambao sio tall lakini confident and wanakubalika sana tu kwa wanawake! Urefu ni bonus tuu aiseeKuna siku nilikuwa nimekaa na washkaji zangu wawil mida ya jion (wote wafupi) akaja bint ambaye wao walikuwa wanamfaham,ila mim sikuwa namfaham, basi akawasalimia kwa kuwapa mkono ila alipofka kwangu nikapewa bonge la hug, wote tuliduwa, wakaanza kmnanga yule demu, akajitetea kimtindo but th fact is bcoz am tall n she became attracted
Lipia tangazo mkuuPia uhusiano ni mkubwa wa kuwa na uume mrefu, wadada hupenda uume mrefu, i am sooo tallllll, ni kweli kabisa
hahaa,km ya babako eh.Hawana balance kitandani mamiguu mareeeefuuuuu
Mi nadhani kuanzia futi 12 na kuendelea.!Ni urefu na ufupi wa futi ngapi unaoongelewa hapa? ingekuwa poa tukawekana wazi jamani
Ila kama ndivyo, basi nawapa pole walio warefu maana wapo kwenye risk sana.
Jokate Mwegelo lazima alikuwa na shughuli ya ziada kumeza hogo la Hashim ThabitPia uhusiano ni mkubwa wa kuwa na uume mrefu, wadada hupenda uume mrefu, i am sooo tallllll, ni kweli kabisa
sidhani kama kweli, ila ninachoamini ni kwamba, watu wafupi ni hardworking zaidi ya warefu, na ndio wengi huwa na mafanikio kuliko warefu. wasomi wengi wale waliofika mbali ni watu wafupi, nilikuwa namtania rafiki yangu mmoja, tumetembelea hospitali moja, kila doctor ninayemwangalia naona mfupi hadi unakuwa hauamini kama ana uwezo kukutibu, lakini ndio hivyo tena, ni doctor. wafanya biashara wa level ya kati walio wengi wale waliofanikiwa sana ni wale wafupi kwasababu huwa wanafanya bidii sana ku compensate ufupi wao na mafanikio ili watu hata kama wamewadharau kwasababu ya ufupi basi wawaheshimu kwa mafanikio/pesa. kitu cha kuwashauri watu wafupi ni kwamba, punguzeni hasira na kujionyesha kuwa mnavyo, na pia punguzeni chuki dhidi ya warefu.Utafiti unaonesha kuwa watu wafupi wana IQ kubwa kuliko warefu.