elimuplatform
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,054
- 462
Kuwa huna hata mia special assignment mfate mrembo yeyote na urefu then uje
Mrefu kwenda chinimrefu kwenye account au?
Mrefu kwenda chini
Huo ndo una influence kubwa if men akijua kuutumiahuo wala sio issue waweza kuwa nao na usiwe na influence yoyote
Huo ndo una influence kubwa if men akijua kuutumia
Na ukiwa mfupi chini utaona unavyochapiwa na warefujidanganye uwe mfupi kwenye account utaona mbilikimo wa angle zote watavyokuny'ang'anya tonge kooni[emoji15]
Na ukiwa mfupi chini utaona unavyochapiwa na warefu
Hawana balance kitandani mamiguu mareeeefuuuuu
kama tunazungumzia wa huku bongo, inawezekana mimi ni mrefu kwako mbali sana, kwasababu kwa average ya warefu Tanzania, nikipita mtaani na mimi huwa wananiita mtu mrefu. hatuhitaji kubishana kusumbua akili katika hilo. topic closed.Wewe mfupi kwa wamarekani, sisi warefu kwa wabongo,,Churawee
hakuna kitu wanaume warefu kwanza ni wachovu kitandani wadada wengi wanalalamika ivyooo...alafu wengi wao ni vibamia piaWanawake walio wengi huvutiwa na wanaume walio warefu. Achilia mbali vitu kama Mshiko(ATM) nk ambavyo vinachangia lakini huwa wanajisikia fahari kuwa na mwanaume mrefu.
Ulinzi upi unamaanisha, mi nimeelewa ulinzi kwa mfano unavamiwa na majambazi alafu huyo mwanaume mrefu anawafulumua au kitu chochote kinachotaka kukudhuru huyo mwanaume anakidhibiti. Utanikosoa kama sijapatia.Kwa mtazamo wangu. Mimi binti nikiwa na mwanaume mrefu katika hali ya kawaida tu...simaanishi mrefu ngongoti...hapana anipite mimi kidogo huwa najisikia nina ulinzi ukiachilia mbali hayo mambo mengine.
Lakini nimekuja kugundua ni mitazamo tu. Kile unachodhani unaweza pata kwa mtu mrefu kama ulinzi hata mfupi pia anaweza kukulinda. Usiku mwema.
Wafupi msikasirike. Ukiona mtu anakuponda jua wewe si chaguo lake.
hahahahhaahha afadhali umempa za usooo big upUlinzi upi unamaanisha, mi nimeelewa ulinzi kwa mfano unavamiwa na majambazi alafu huyo mwanaume mrefu anawafulumua au kitu chochote kinachotaka kukudhuru huyo mwanaume anakidhibiti. Utanikosoa kama sijapatia.
Ndio hivyo hivyo.Ulinzi upi unamaanisha, mi nimeelewa ulinzi kwa mfano unavamiwa na majambazi alafu huyo mwanaume mrefu anawafulumua au kitu chochote kinachotaka kukudhuru huyo mwanaume anakidhibiti. Utanikosoa kama sijapatia.
Yaani hawa wanawake wengine ni bure kabisa. Ulinzi ndo kitu gani sasa[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1]hahahahhaahha afadhali umempa za usooo big up
Kwahiyo mrefu ameshawathibiti maadui zako wangapi tangu uwe nayeNdio hivyo hivyo.
badilika ww ata mi mfupi nakupa ulinzi mzuri pengine kuliko ata uyo mrefu wakoNdio hivyo hivyo.