Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

Kwani nani anataka kutongozwa na wanawake wengi.Wengine tunawakwepa ninyi mnadhani ni ufahari ufahari. Kuweni muone. !!!
 
Dah! Mi Ni Mfupi Hapo Hapanihusu!
 
Haa haa ila mbona sio mrefu na nina kidude changu kama kidole cha mwisho na sipendwiii...
 
Sasa sisi andunje ndiyo tutalijua Jiji. Lakini huwa tuna compensate kwa kuwa na mifuko mirefu na mikono yenye wepesi wa kutoa kilicho mfukoni!
 
Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume walio warefu. Achilia mbali vitu kama Mshiko(ATM) nk ambavyo vinachangia lakini huwa wanajisikia fahari kuwa na mwanaume mrefu.

Unazungumzia urefu na ufupi wa futi ngapi mkuu????
Urefu zaidi ya futi 6 ni ugonjwa mkuu
 
Kuvutia ni one thing na performance ni another. Ila wanaume wafupi wale wafupi kweli kweli wana inferiority ya hali ya juu which to me is a problem. Kuna kaka nafanya naye kazi yaani anajihisi sana. Yaani waweza kuta bosi kamwambia kitu yeye anaona anamwonea na kumdharau na kumchukulia kama mtoto kwa kuwa ni mfupi. Japo asemi anadhalauriwa sababu ya ufupi, but you can tell yeye kutwa ni kujihisi anadharauliwa. Na hii uwafanya wawe na katabia ka kujitutumua ili nao waonekane wana exist.

Ukija kwenye mapenzi that will depend ufupi na urefu unakuwa ni relative term. Waweza kuta bibi na bwana wote wafupi hapo mi sioni tatizo. Ila ukute bibi mrefu bwana mfupi. Mh hawapendezi kabisa kama couple na wanawake wengi niliokutana nao maishani wanaokuwa na wanaume wafupi kuliko wao utakuta wanajiongelesha kuwa ooh mume wangu ana akili ooh ana kazi nzuri, kujustify the choice.

Mimi huwa naona majamaa mafupi, wakiingia ofisini watasema kila walichonacho na kila wanachofanya. Mara nyumba yangu imefika lenta, mara sijui mwezi huu nitapiga hela ndefu. Nimekuelewa kwamba hawa jamaa hutafuta kitu cha kuwaongezea credit! Wabishi kama nini na wanajifanya kujua kila kitu hata kama wanaenda chaka!
 
Back
Top Bottom