Wanawake walikuwa zamani

Mbona na wanaume walikuwa zamani cku hiz ikibeba mimba akahisi co yake bas vikao na DNA inahusika lkn zamani utasikia kitanda hakizai haramu hp nakumbuka bb yangu mdomo aliongezewa wtt wawili wa jirani yk na alijua lkn hakusema kitu mpk kifo kilipowatenganisha
 
hivi wanawake mmejikomboa au wanaume ndo wamewakomboa, mwanamke akiwezeshwa anaweza, ha! kumbe tumewawezesha mnaturuka?

Maandiko yakifuatwa, maisha ni matamu sana maana kila mtu ataheshimiwa, atapendwa, atatunzwa na kufurahia maisha. Tatizo linakuja watu wanapotaka kuishi kinyume na maandiko..... hapo watafumaniwa, watapigana, kila mmoja atataka awe juu, kila mtu anataka awe kichwa looooh hapo ni full tafrani. Mwenye masikio na asikie neno hili ambalo maandiko yameagiza.
 
Wanaume wa siku izi ni wanaume suruali akinyimwa hela na mwanamke ananuna na kususa kama wangu ni jana tu nimemtolea nje kuhusu hela leo kanuna mbaya na mimi nimesema potelea mabali anune mpaka apasuke

Ay mwache anune atacheka tu kuhongana tena
 

uuuuuwiiiiii hatariii weka mbali na wanaume hii ni balaa
 
wamejirahisisha sana na kujenga mazoea ya ovyo kwa watu ambao hata hawajuani. Siku hizi WANAPENDA FASTA, WANAOLEWA FASTA, WANAZALISHWA FASTA, WANAACHWA FASTA, WANAANZA KUCHAKAA FASTA.

sidhani kama wanaume wa zamani walikuwa wanafanya kama wanaume wa sasa
1. hajafikia umri/nia ya kuoa anatongoza,,,,lakini siku hizi mvulana yupo kwao hana future anatongoza what for?
2. walipenda kwa dhati na c kama ss hv mwanaume anapenda kutmiza haja ya mwili, sura,shepu,mwonekano
3.walitimiza majukumu ya familia waliheshimu wake zao hata kama hawana kazi,,,waliwasikiliza,walishauriana hawakuwa wababe kama wa sasa hv,,,kosa katoa mahari bas yeye ndo yeye atakalosema lifatwe hata kama anakosea,,,hajali(babu yangu hadi leo anajifulia na bibi kakaa,mwanaume wa sasa atakwambia siwezi mi so ----- sijui nini,,pata picha hapo ),hathamini,haeshimu,hasikilizi na wengi wao hawajui hata mke anataka nini, bado kuchepuka nje juu. kweli?? wanawake wa zaman walivumilia kwa 7bu walipendwa kwa dhati,,
 
Hivi hujui hakuna wanaume kama wa zaman? Kwani waliweza kuwatunza wake zao na kuwaridhisha ; je wa siku hizi wanaweza? Na hiyo michepuko je? Jiulize
 

tena ni hao hao wanaopga kelele jf kisa amebaniwa"sex before" na huyo anaedai mchumba ake wakati hata mahari hajatoa,,,zamani haikuwa hivi eti mwanaume wa sasa anajidai hawezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia,,,mpaka atest kha!! wananiudhi!! wanaume wazaman walikuwa na adabu na ndo mana hata wanawake walikuwa na adabu walijithamini utu wao.
 
walikuwa hawapendi hela na walikuwa wanapenda USAFIiiiiiii...walikuwa hawavai pichu za kambaaa..walikuwa wakikojoa WANACHUCHUMAAA...kha wa sasa

WANAKOJOA huku wamesimamaaaaaaaa
 
wanawake zamani bhana, siku hizi wanavaa mawigi utadhani majani ya masale na wengine wanapaka rangi za goldstar machoni
 
wanawake zamani bhana, siku hizi wanavaa mawigi utadhani majani ya masale na wengine wanapaka rangi za goldstar machoni

ni kweli mkuu,,,na wanaume zamani hawakuvaa mlegezo,cheni kifupi hawakuwa na show off kama sasa hana gari anaazima,nguo anaazima ili tu afanane fulani, awapate kina fulani afunue na kufunika then asepe koz hana future. kama una kaka sasa hv utatambulishwa mawifi wa kila rangi,sura,shepu, dzain mpaka basi,,,mabadiliko yakianza kwa wanaume na wanawake watafata.
 
walikuwa hawapendi hela na walikuwa wanapenda USAFIiiiiiii...walikuwa hawavai pichu za kambaaa..walikuwa wakikojoa WANACHUCHUMAAA...kha wa sasa

WANAKOJOA huku wamesimamaaaaaaaa
Vyoo vya zamani vilikuwa vya shimo siku hizi vyakukaa sasa ukikaa utabeba maradhi ya wangapi?.Hao wa zamani walikuwa hawavai kabisa.Walikuwa hawapendi hela kwasababu mwanaume alikuwa anacover nafasi ya hela sasa siku hizi ni taabu ndio maana na wao wamejanjaruka
 
Hivi hujui hakuna wanaume kama wa zaman? Kwani waliweza kuwatunza wake zao na kuwaridhisha ; je wa siku hizi wanaweza? Na hiyo michepuko je? Jiulize

Aisee ukweli ni kwamba wanaume wa zamani walikuwa wababe si kidogo,coz baadhi ya makabila kama wanyaki ili mwanamke aweze kuolewa,lazima awe anaweza kulima sana,na wanaume wengi walikuwa wanaoa zaidi ya mke mmoja ili wanawake hap washindane kufanya shughuli za Shanna wakati Baba anajipumzisha tu kwa Kahawa,kwa upande wa uimara kunako 6 kwa 6 hakika walikuwa vizuri,nliwahi kumsikia rafiki yake Baba akimsimulia mwenzake kuwa aliwahi pigs bao 11,mwanamke aliyekuwa naye cku hiyo aliondoka ucku ucku akaacha nguo zake ndani kwa mzee huyo na hakurudi tena,japo mzee alikuwa Ana lengo la kumuoa kama mke wa tatu!!
 
Mwanamke akikupenda kweli hata demand ya pesa kwako inakuwa ndogo lakini asipokupenda atakufanya ATM machine kweli .
Na nyie wanaume unaweza kumfanya mtu akupende kutokana na unavyo mtreat treat her like a lady upendo lazima uje.wasema love comes slowly!
 
wanawake zamani bhana, siku hizi wanavaa mawigi utadhani majani ya masale na wengine wanapaka rangi za goldstar machoni
Bado hata nisipo vaa mimi utaenda kwa wengine wanaume hamna jema ninyi kila kitu kwenu ni kasoro .
 
Mmetufanya sie ngoma? Mwanaume wa kweli hawezi mpiga mkewe tunapigwa kwa doti ya kanga babu eeeeh lol.....

Siku nkipigwa lile kofi tu hapatatosha masihara na mwili sina.......
 
nyie bana nanyi puuuuuuu
mnataka wanawake wawe kama zamani wakati nyie hamko kama zamani
tusichoshaneeee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…