Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

Ukiwa jobless utaona haraka nguo fupi,lakini kama ratiba yako ina mambo ya msingi , nguo fupi ni tone katika bahari. Wakati mwingine ushamba unahusika.
 
Reactions: prs

ukiona mtu anashabikia sana issue ya kuwachania kina dada nguo na kuwaweka uchi ujue huyo ni mpiga chabo sugu! tulitegemea katika situation hiyo umfunike huyo binti kwa kanga au hata gunia au gazeti hapo ungekuwa umeonyesha dhamira ya kweli kwa kile usichokitaka. mi naamini hawa jamaa wanafanya hivi ili wapate nafasi ya kuwachungulia dada zetu nyeti zao na wala si vinginevyo.
na ni aibu kwa binadamu kushindwa kucontrol emotion zako, kama unaweza kuchukua maamuzi ya kungonoka kwa sababu tu ya kuona mapaja ya mwanamke basi, you are as good as an animasl that are driven by instincts and not thinking!!!!!
 
Kuna tofauti kati ya sheria na maadili.maana sheria imewekwa na serikali inatoa adhabu au muongozo ila maadili ni vile jamii ilivyozoea kutenda katika usahihi sasa endapo mtu atakwenda kinyume cha maadili serikali haitamchukulia hatua kwani maadili si sheria mfano kuvaa nguo fupi,kuhudhuria msibani,kusalimia watu,kuvaa mlegezo na nk ila sheria ikivunjwa serikali husimama kidete kulishughulikia. Wanachofanya vijana wa mwanza ni kuvunja sheria ya nchi(shambulio la aibu) hivyo wasijione wako sahii hata kidogo.
 
Serikali izuie uovu huo ndivyo wanavyoanzaga kama Bokoharam,Alshababu, Alquida
 

Hata shetani alitumia Biblia kutaka kumshawishi Yesu afuate matakwa tofauti na Mungu, hivyo nawe wafanye vile alivyotaka fanya Lucifa
 

Hao dada zako tayari wanatembea uchi !
Wala huna haja ya kucha nguo kuona hizo nyeti zao mbovu!

We muangushie noti ya shs 5000 chini tu! Akiinama tu! ngoma yoote iko wazi!.

We unaoneka kuwadi au pashkuna mtetea ngono na zinaa inayo sababisha watu kufa hovyo na maradhi ya zinaa!

Nenda kafe kwengine. Hapo mwanza vijana wanafanya kazi ambayo serikali inatakiwa kuifanya!

Na mimi nawapa heko KUBWA SANA!

Watu kama nyie mnaotetea uchafu mnatakiwa mkusanywe mkatupwe kwenye kisiwa kama ukerewe halafu mnyang'anywe zile boti zote!

Mkapakuane huko mpaka mfe! Lkn msitoke nje ya hapo!

we busara zako na Mzito Kabwela na Remote ni sawasawa.

Mnfnsssssssssssss!
 
Last edited by a moderator:
Mtambo wa kurekebisha sheria.
 
Hii ndo komesha yao hao wadada. Wengine wanaiga tu kwani mkivaa nguo ndefu hampendezi,kila kitu kuiga kwa wazungu na mnaiga vibaya. Nguo za ufukweni mnavaa mtaani
 
Huu ni upuuzi na haupaswi kuendekezwa...

Mtu anapovaa nguo anajivalia mwenyewe, hamvalii mtu...
 
Hii ndo komesha yao hao wadada. Wengine wanaiga tu kwani mkivaa nguo ndefu hampendezi,kila kitu kuiga kwa wazungu na mnaiga vibaya. Nguo za ufukweni mnavaa mtaani

Kwani uvaaji wa nguo Waafrika wameiga toka wapi?
 
kumbe na wewe ni mchana nguo za wanawake? pole sana, wapelekeni kwenye vyombo husika, hamna mamlaka ya kujichukulia sharia mkononi

Unafurahishwa na visuruari vya kubana mwili wale ndy wachaniwe pia. Sharia ipi uitakayo AIBU KUTEMBEZA Matekenya wazi ati uonekane soft kumbe minyama iliyojikunja mitepetepe. Aibu wawavue watacheka mbavu hawana kitu na box
 
kumbe na wewe ni mchana nguo za wanawake? pole sana, wapelekeni kwenye vyombo husika, hamna mamlaka ya kujichukulia sharia mkononi

Mkuu hivi Tz kuna mtu anatekeleza sheria kweli? Wako sawa tu mbona zanzibar wanafanyiwa na hamtetei
 
Unafurahishwa na visuruari vya kubana mwili wale ndy wachaniwe pia. Sharia ipi uitakayo AIBU KUTEMBEZA Matekenya wazi ati uonekane soft kumbe minyama iliyojikunja mitepetepe. Aibu wawavue watacheka mbavu hawana kitu na box

Mkuu nini maana ya Sharia,matekanya, ndy?
 

Like t!!!! Well done!!!. Kama ni kufata uzungu yapo mengi ya kuiga mazur na sio kimini. Hiv kwa akili tu wadada hawawezi tofautisha perception kwa anayevaa "yesu ni mwamba" (sket ndefu) na anaevaa min sket. Kuwa mwanachuo au kuelimika sio kuvaa kimin. Education must shape you postively,ndipo twaweza sema umeelimika. Emetoka kwenu kwa baba mchungaji umeingia jijini umeona wewe ndo wewe hakuna mwenye mapaja mazur kama wewe. Vijana wa mwanza nyie mchane tu kesho watapita na yesu ni mwamba na waislam watapita na mahijabu. Wanaotetea kuwa waafrika tunatembea uchi warud shule. Thats not in our culture & norms
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…