Wanawake wa kikurya ni nomaa

Wanawake wa kikurya ni nomaa

Kana mwamba mmoja ni jirani yangu alijichanganya akaowa demu wa kikurya(yeye ni mzaramo mix mdengereko) aisee mpaka waga namhulumia.wakianzisha ugonvi wanatangwana kweli kweli.

Jamani hao dada zetu tuachieni wenywe
 
Kabisa !! Sio wachoyo Hawa watu yaani unaweza Kuta umeoa Mwanamke na humo humo kijijini unagongewa na ni kawaida tu.

Kuna muda niliishi nao mkoa wa Mara basi wakawa wananiona muda wote Niko peke yangu nikawakuta siku Moja wadada wanakaanga samaki nilivyonunua wakaniuliza "umepata shemeji hapa kijijini nini? Nikawajubu "humu kijijini mm naona Kila mwanamke amechukuliwa" wakanijibu " mbona unaweza Kuta mtu kaolewa na nje ana Mwanamke? Nikakosacha cha kuwajibu niliona ishara ya hatari maana nilikuwa sijamaliza hata mwaka kijijini
Ewaaah 😹😹
 
Mzanaki na mbibo wambura wapi na wapi
Unajifanya mjuaji, wapi nimeandika Mzanaki? Hujui kusoma? Kabila lake ni Msizaki soma tuliza kichwa hiko. Vitu hamjui mnatunga na chuki zenu. Wakurya hivi mara vile, kuna makabila madogo mengi, hujiita Wakurya kupunguza maswali. Kama wewe nimeandika Msizaki unasema Mzanaki sijui hujui kusoma.
 
Lakini nikiacha utani wanawake wa kikurya wapo wazuri na ukikuta ana mzigo ana mzigo kweri kweri.. kiukweli mwanamke wa kikurya ukikuta kaumbika basi kaumbika haswa...

Kingine wana heshima na wana upendo..

Kuhusu umalaya sidhani kama kuna kabila halina wanawake ambao hawana hizo tabia duniani kote, bora wakurya kama wale wa pwani , Tanga na Dar es salaam wazaramo na wengineo wanaliwa sana hata kwenye vigodoro, halafu wavivu balaa... ila mdomo radio inasoma....

Nadhani wengi humu unakuta aliishi na mkurya mmoja, ama msukuma flani wakiwa majirani akawa na tabia flani basi ana conclude wote, si kweli..
 
Unajifanya mjuaji, wapi nimeandika Mzanaki? Hujui kusoma? Kabila lake ni Msizaki soma tuliza kichwa hiko. Vitu hamjui mnatunga na chuki zenu. Wakurya hivi mara vile, kuna makabila madogo mengi, hujiita Wakurya kupunguza maswali. Kama wewe nimeandika Msizaki unasema Mzanaki sijui hujui kusoma.
Kwangu jipya Hilo kabila, chuki zipi mnalea watoto kikatili utadhani mtawaoa.
Muharibu watoto halafu aje aoe nani,oaneni ninyi kwa ninyi
 
Umekutana na mjita, mkurya hapendi urogi wala kuongea sana hasa kwa mumewe ni mnyenyekevu na msikivu mno. Kwa vile wote wanatoka mkoa wa Mara hata wajita nao hujiita wakurya kuficha identify yao sababu ya sifa zao kuu za kupenda sana madawa na kutokukaa kwenye ndoa. KERATO MOMBAA muelimishe huyo
Sidhani kama atakuelewa. Hawa ni wale watoto wa Dar wanaojua Sakura wanatokea Musoma
 
Kwangu jipya Hilo kabila, chuki zipi mnalea watoto kikatili utadhani mtawaoa.
Muharibu watoto halafu aje aoe nani,oaneni ninyi kwa ninyi
Kwani mmeshikiwa mitutu kuoa wanawake wa kikurya?
Si mkaoe hao hao wenye malezi mazuri huko ambao mnawaponda humu daily kuwa ni single maza?
Tuachieni dada zetu bwana
 
Back
Top Bottom